yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwachiluwi

    Hadithi Ndoa yangu inanitesa

    NDOA YANGU INANITESA Nilikuwa nikifanya kazi katika kampuni moja ya usafirishaji wa madini kutoka Tanzania kupeleka Bang kok nchini Thailand. Kampuni yetu ikiwa ya mtu binafsi na ilikuwa Mkoani Arusha. Mimi Sweedy Kachenje ndiye niliyekuwa idara ya usafirishaji, nikiwa afisa mauzo. Katika maisha...
  2. dvj nasmiletz

    Natafuta waimbaji wa live band katika baa yangu mkoani DSM

    NATAFUTA WAIMBAJI WA LIVE BAND KATIKA BAA YANGU MKOANI DSM Ninahitaji Mtu/watu wenye uwezo wa live band (copy) au cover,kavasha,dancersau hata wachekeshaji au karaoke. Malipo ni kwa makubaliano maalum kila weekend Kwa kuanza sihitaji Band au Msanii mkubwa/Maarufu kwa sababu ndo naanza. Hivyo...
  3. K

    Msaada Kesi yangu ya Ajira Utumishi wa Umma

    Habari, Naomba ushauri kwenye jambo hili ambalo nahisi kuonewa. Nilikua mtumishi wa umma kwa miaka nane. Nimemtumikia mwajiri wangu kwa miaka nane. Mwaka jana nilipata changamoto nikawa na kesi ya Misconduct, kesi ilichukua muda mrefu kiasi mbaka napewa barua ya uamuzi kuna baadhi ya kanuni...
  4. B

    Kero yangu kwa TRA

    Wakuu poleni na majukumu. Nikiwa najishughulisha na biashara ya clearing na forward, Nina KERO kubwa kwa TRA. Quality na Assurance standard inasemaje kwa mafaili yaliyomaliza kufanyiwa kazi. Maana mafaili yanajaa ofisini mpaka yanaanza kuharibikia humo humo kabatini Kwa uzoefu wangu, baada ya...
  5. Fortilo

    Wanawake msikate tamaa, mwaka 2018 nilivunja ndoa ya dada yangu. Tuna vijana wa hovyo sana kama taifa

    Wakuu Habari, huu uzi ni wa kuwatia moyo kina Dada walioamua kuachana na wanaume malofa na kuamua kufuata ndoto zao. Ipo hivi; Nina Dada yangu nampenda sana, baada ya kumaliza masomo tukamsisitiza aendelee kupambana na masomo apate kaz nzur, kama wenzake. Akakataa akasema anataka aanze na...
  6. All about Tanzania life

    Safari yangu Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania

    Imetimia idadi ya mikoa 19 Tanzania bara na mkoa mmoja Tanzania visiwani na wilaya zaidi ya 25 nilizotembelea hadi sasa. Wasalaam ndugu zangu. Mwezi wa saba mwaka huu 2023 nilibahatika kutembelea mkoa wa Iringa. Ilikuwa ni safari kutembelea mikoa mitano tofauti ndani ya kanda mbili tofauti...
  7. genius mvivu

    Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

    Habari ndugu wana JF, Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa. Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki...
  8. cold water

    Sijaona hedhi yangu ya mwezi huu July, nitakuwa na mimba?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tarehe zangu za kupata hedhi ni kama ifuatavyo: 19/3/2023, 19/4/2023, 21/5/2023, 20/6/2023 lakini huu mwezi wa saba nilikutana na baba watoto tarehe 4/7/2023 na tarehe 5/7/2023 Nimejaribu kupima kipimo kinaonesha negative ila nikitumia tochi...
  9. ofisa

    Naiogopa miaka yangu 40

    Ni kwamba miaka 11 iliyopita nilimtaliki mke wangu, kabla ya kukubali kuwa nimemtaliki, nilienda kumuomba turejeane. Sasa alikataa na kuniambia ananiona bado nina ujana na utoto mwingi hivyo ataniacha mpaka angalau nifike 40 ndio ataangalia kama anaweza kukubali. Ni kwamba miaka hii 11 nina...
  10. FirstClass

    Nipe maoni yako juu ya hadithi yangu

    Story inahusisha jamaa wanne na mdada mmoja, kwa pamoja wanakuwa MTU TANO. Jamaa walijihusisha na utoaji wa misaada kwa jamii, si kanisani wala misikitini, kote walialikwa na huko walitoa pesa na vifaa mbalimbali vya thamani hali hiyo ilipelekea makundi mbalimbali ya watu kupanga foleni kwa...
  11. K

    Nay wa Mitego na Ukweli mchungu dhidi ya serikali ya Rais Samia na CCM yao

    Msanii huyu huenda akatekwa ama akafanyiwa figisu kubwa, ukweli daima amekua sauti ya walalahoi kwa muda mrefu, hata enzi za Magufuli hakufunga mdomo, alipaza sauti. Ney wa Mitego, amerudi tena na ukweli mchungu, mtegee sikio kwa dakika 5 ameongea mengi ambayo hakuna kiongozi atafurahia maana...
  12. Mwande na Mndewa

    Sitafanya utetezi wa mkataba mbovu kwa nchi yangu kisa mimi ni Muislam

    TUENDELEE KUJADILI MAPUNGUFU YA MKATABA. Baina ya Tanzania na Dubai wa uwekezaji wa Kampuni ya DPW katika bandari zetu zote. Tusitolewe kwenye mstari na kukubali Kujadili Udini. Naomba nitumie muda huu kuwakumbusha Watanzania na watu wengine Duniani kuwa ni jukumu la Muislam kujenga...
  13. YphNet

    Mahesabu app: Kokotoa jumla ya mauzo ya siku

    Hii ni offline app niliyoitengeneza kwa ajili ya matumizi binafsi kwa lengo la kukokotoa jumla ya mauzo ya siku katika fremu yetu ndogo. Nimeiweka Playstore ili kushare na wengine wanaohitaji. Kwa kifupi unavyoanza siku mpya ya biashara unagusa button [J] ili kufungua jalada mpya na utaona...
  14. L

    Siku ya 3 katika safari yangu ya kujifunza programming

    UPDATE 3 Nilikuwa busy siku kadhaa hata mdua wa kusoma sikuweza. Ila leo nilipata mdua nikaamua kujaribu kujikumbusha vitu. Nimeweza kutengeneza code ambazo ukiruni zina demand uweke do list, kisha unaweza kuongeza, do list, ukapunguza, au kumodify. Baada ya hapo unaweza kuweka ulizofanya na...
  15. A

    Mwenye neno lolote aniambie japo kupoza akili yangu

    Ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima. Niende kwenye mada moja kwa Moja. Mimi ni Kijana wa kitanzania na hivi sasa nipo chuo kikuu kimoja hapa Tanzania jijini Dar es Salaam, nachukua shahada ya kwanza ya ualimu sayansi. Natoka katika familia ya kawaida sana yenye jumla ya watoto tisa huku...
  16. Siri yangu

    Nchi yangu Tanzania na wasomi wake wapi tunatamani kufika?

    Mungu ibariki nchi hii na watu wake, Mungu mbariki mmiliki wa mtandao huu na timu nzima ya kazi inayofanywa hapa ili sisi tupate sehemu ya kutolea dukuduku zetu. Ndugu zangu Kwa heshima na taadhima nipo mbele yenu nami kule kero yangu hapa kwa viongozi na wataalamu wetu tuliowapa nafasi...
  17. Money Penny

    Couple goals - tag couple(s) ambao unawa-admire sana JamiiForums na duniani kote

    Haya haya sasa wale couple admirers mkuje sasa mtuambie nani ni mkali akina couple gani mnayo wa admire hapa jamii forum na dunia nzima MIMI wa kwangu ni hawa hapa MIMI wa kwangu ni hawa hapa na hawa NYUZI ZANGU ZINGINE 1. Hii ndiyo sababu ya nguvu za kiume kupungua au kukosekana Kwa...
  18. DON YRN

    SoC03 Jinsi ninavyofaidika na uzalishaji wa hizi bidhaa nilizojifunza mtaani kuliko Elimu yangu lakini tatizo ni kwamba ...

    Jina langu naitwa DON YRN. Mwaka 2012 nilihitimu elimu yangu ya kidato cha nne katika mkoa mmoja wapo ndani ya nchi yetu. Matokeo ya mtihani hayakuweza kufikia kiwango cha mimi kuingia kidato cha tano hivyo kulingana na shinikizo na ushauri mbalimbali wa wazazi, ndugu na jamaa niliamua kuangalia...
  19. Mwizukulu mgikuru

    Namtafuta rafiki yangu Twalal Bungera

    Namtafuta rafiki yangu wa siku nyingi mr Twalal Bungera, mara ya mwisho kuonana ilikuwa mwaka 2014 tukiwa Tamil Nadu nchini India. Mr Twalal Bungera nilipata tetesi alipata ajira kwenye makampuni ya IPP ya marehemu Reginald Mengi. Kwa yeyote mwenye taarifa zake anicheki pm
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Binti yangu, ni Akheri uwe Single mother kuliko uishi na Mwanaume mpumbavu

    BINTI YANGU; NI AKHERI UWE SINGLE MOTHER KULIKO UISHI NA MWANAUME MPUMBAVU. Anaandika, Robert Heriel Baba na Mume. Kama vile Mimi Taikon, Nyota ya Tibeli nisivyoweza kuishi na Mwanamke mpumbavu, hata angekuwa Mama yenu, vivyohivyo nilimuambia Mama yenu kuwa kamwe asijevumilia kuishi na Mimi...
Back
Top Bottom