Kwa mazingira haya wakuu, nifanyeje ili heshima yangu mtaani iweze kurudi?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,421
40,411
Jana nilitembelewa na mzazi mwenzangu (mchepuko) kutoka mkoa wa jirani; na lengo la safari yake ni kwa ajili ya kupeana vitamini S, pamoja na kujadili mambo ya kimaisha, kibiashara n.k

Kwa sababu ni muda mrefu tulikuwa hatujaonana, takribani miezi mitano hivi; ikawa ni furaha kwetu wote kuonana tena.

Ikabidi nimtoe 'out' kidogo, kwa sababu ni mtu anayependa kwanja/kupari/kuosha macho viwanjani.

Baada ya kurudi nyumbani, tukaanza kufanya yetu; ile kuchochea kuni ili moto uwake vizuri, ikawa ni full kuimba pambio; ''equation x weee, equation x wee...''. Mbaya zaidi alikuwa anapiga makelele sana mpaka majirani wakawa wanasikia, na kingine kilichoniuma zaidi ni kuendelea kutaja jina langu.

Baada ya kumaliza zoezi, namuuliza kwa nini ulikuwa unapiga makelele hivyo mpaka kuniaibisha kwa majirani? Akanijibu, alikuwa hapigi kelele na hakumbuki lolote.

Leo asubuhi wakati natoka naenda kwenye ibada, naona majirani wananitazama kwa macho ya chini chini; huku mimi nikiwa sina ujasiri tena.

Kwa mazingira haya wakuu, nifanyeje ili heshima yangu mtaani iweze kurudi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom