yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Naombeni mnisaidie kumwelewa huyu ndugu yangu, Kila nikiongea naye lazima aniulize kuhusu kazi na biashara zangu

    Kwa kifupi huyu ndugu yangu (Shangazi ni mtu poa, nimemfahamu toka utotoni, na sehemu kubwa ya utoto wangu nimekulia kwake, hajawahi kunikwaza kwa chochote, ila kwa hii miaka 5 iliopita ameanza tabia ambayo inanipa maswali kichwani, hadi sasa hivi roho yangu inakua kama inamkwepa.. Yaani kila...
  2. Jugado

    Rafiki yangu alimrusha mtu mwaka 2017/2018: Anamtafuta amwombe msamaha na kumlipa akikubali

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Rafiki yangu alitumiwa pesa kimakosa kwenye no. yake ya mpesa inayoishia na 8650. Baada ya kutumiwa hiyo hela huyo rafiki yangu aliitoa yote. Alipigiwa na aliyekosea mwamala akamrudishia elf 50 Kwa ahadi ya kulipa kilichobaki ila aliposhindwa aliacha...
  3. F

    SoC03 Yangu majuto

    Karatasi nalivuta, Natamani kuandika, Mambo yaliyonikuta, mwili unatetemeka, Nani wa kuyafuta, Machozi yananitoka, Ninaishia kujuta, Kila ninapokumbuka, Nilikua mgomvi, Makundi kutengeneza, Nilikua ajizi, mazuri kuyapoteza, Nilikua jambazi , wanyonge kuwaumiza, Nilikua bazazi , uongo...
  4. S

    Maoni Yangu Kwenye Tume ya Haki Jinai Juu ya Takukuru

    Maoni yangu kwenye tume ya haki jinai juu ya Takukuru Tumekuwa tukishuhudia ziara za Viongozi wakubwa, mawaziri au wakuu wa mikoa wakiibua madudu ktk miradi ya serikali na kuagiza Takukuru wafanye uchunguzi!! Swali langu : Hivi kwanini Takukuru hawafanyi kuchunguza jambo mpk wapewe maagizo ...
  5. S

    Maoni yangu juu ya Mkataba wa Bandari na DP World

    Nimejaribu kusoma na kuisikiliza mijadala juu ya hili sakata la DP World. Kwa kweli mpaka Sasa kama taifa bado tunarumbana juu ya sisi Kwa sisi Cha kushangaza zaidi hata hao wasomi wa Sheria katika nchi hii wameshindwa kuwa na tafsiri ya pamoja katika mkaba huu. Tofauti na ilivyotarajiwa sasa...
  6. S

    Nimegundua ndugu yangu wa damu ni mshirikina

    Habari zenu, Nina jambo ambalo linanitatiza jamani. Mimi ni mkazi wa Dar na asili yangu ni mkoa fulani ukanda wa pwani. Nimetokea kwenye familia za kiswahili, baadhi wamenielewa familia za namna gani. Naomba niende straight to the point ni hivi nimegundua ndugu yangu wa damu ni mshirikina yan...
  7. Sifi Leo

    Nisaidieni: Namnyofoaje baba yangu kwenye Shirika kabla Rais Samia hajamuwajibisha?

    Nipeni ushauri, mshua wangu ni miongoni mwa vikonge vilivyosalia kwenye shirika X, na juzi usiku tukiwa mezani tunakula Kwa mbali nilimwona presha imempanda nilivyomuuliza kisa nini akadai anawaza ile kauli aliyoitoa Rais Dr Samia kuhusu mashirika yasiyo na faida. Mzee anadai hawezi nyofoka...
  8. Mohamed Said

    Namkumbuka Rafiki Yangu Gershom Chihota (1950 - 2023)

    NAMKUMBUKA RAFIKI YANGU WA UDOGONI GERSHOM CHIHOTA (1950 - 2023) Kiasi cha kama siku tatu zilizopita nimepokea taarifa kutoka kwa Ally Max Marekani. Ajabu jinsi kifo kinavyoweza kufungua majalada ndani ya ubongo wa binadamu. Nataka kuanza na Ally Max. Ally Max ni mdogo sana kwetu hapa...
  9. sky soldier

    Rafiki yangu (34) anataka nimwambie binti yangu wa dukani (22) kwamba anampenda, hii ni sawa?

    Wala sina tatizo lolote binti wa dukani kuwa na mahusiano ya kimapenzi maana nae ni mtu mzima tayari mwenye kila sifa ya kupata haki yake ya kimahusiano. wala sina tatizo hata ikitokea rafiki yangu huyo anatoka na binti, ilimradi tu biashara iendelee. Tatizo linakuja kwamba huyu jamaa...
  10. Ivan Stepanov

    Sweta la baba yangu lenye historia ya maisha yangu

    Nimejiskia ku share hii sehemu ndogo ya maisha yangu ambayo sikua naijua kiundani mpaka hivi juzi kati. Twende pamoja. Nilifiwa na mama angu mzazi nikiwa darasa la kwanza 1997. Sikua naishi nae maana mama alikua mchepuko tu kwa mzee hivyo walishindwana mapema baada ya mimi kuzaliwa. Siku...
  11. Desierto

    Kipindi nina miaka chini ya 7 ningesikia baba yangu kafariki ningefurahi sana!

    Kusema ukweli kile kilikuaa ni kipindi kigumu sana kwangu na kwa kaka na Dada zangu, yaani ilikuwa kama ni panya na paka. Nilishuhudia kwa macho yangu mama zetu wakilala kwa Balozi na Mwenyekiti wa Mtaa savabu ya kipigo. Yaani dada zetu wakubwa na kaka zetu wote walitoroka mara kwa mara...
  12. KatetiMQ

    Nyumba yangu inateketea, nifanyaje kuiokoa?

    Nyumba yangu inateketea kwa moto wana JF. Hali ni mbaya, kuna mali nyingi ndani ikiwemo pesa zangu za akiba, ila kikubwa mke wangu na watoto hawapo ndani. Naombeni ushauri nifanyaje kuiokoa, nimeshindwa kuelewa nifanyaje!
  13. T

    Ni bora wananchi tuchangie gharama za ufanisi wa Bandari zetu, ila si kuwapa DP word kwa mkataba sawa na bule!

    Ukweli ni kwamba, nchi yetu ina watu masikini kiasi ambacho wengine ni huruma ukiwaona! Wapo ambao, kula yao inategemea Jirani yake ama wapita njia, Mungu amewapa furaha ya aina gani siku hiyo ili tu kuwapa chochote kitu Baadhi ya wabunge, wanatoka kwenye maeneo ambayo watu wake ni masikini...
  14. mtwa mkulu

    Bajeti yangu ya mwisho ya Tanganyika

  15. M

    List yangu ya movie/series bora za muda wote kutoka industries mbalimbali duniani

    English series 1. Game of thrones 2. Prison break 3. Breaking bad 4. Blindspot Korean Drama 1. Jumong 2. A man called god Spanish series 1. Money heist Indian movies 1. Movie yoyote ambayo yumo Aamir khana au Salman khan. 2. Baahubali the beginning na the conclusion NB: kama zitatokea kali...
  16. M

    Kisa cha kweli: Ndio kusema huyu mama alifunika nyota yangu kwa uchawi?

    Nimejikuta usingizi unakata na kuruka kama mtoto. Baada ya kumaliza fomu six miaka 2000 siku moja nilienda kumtembelea jamaa yangu asubuhi ili tupige stori. Mama yake akaandaa chai ilikuwa, Dar maeneo ya Yombo Kilakala.. Basi wakati anatenga chai akaleta vikombe viwili cha kwangu na cha rafiki...
  17. African Geek

    Nimeigeuza Website yangu kuwa Application

    Nimefanikiwa kuibadilisha website yangu kuwa Mobile App inayofanya kazi kwenye Android & ios devices. Nimetumia Flutter kulifanikisha hili. Hii ni project niliyofanya mwanzo wa mwaka huu kwa kutumia framework ya next.js. 👇 🔗 Home 👈 👈 👈 👈 WEBSITE Na hii ndio App yake niliyoitengeneza kwa...
  18. Crocodiletooth

    Nawezaje kubadili simu yangu bila kuathiri data zangu zote za WhatsApp na vyote toka simu ya awali?

    Nawezaje kubadili simu yangu bila kuathiri data zangu zote za WhatsApp na vyote toka simu ya awali? What can I do? Help?
  19. Shilingii

    Tutakwama sana kwa elimu hii, naihurumia nchi yangu

    Ni Juzi TAMISEMI imetoa mkeka wa wanafunzi wanaojiunga kidato cha Tano!! Niajabu kama taifa hatushtushwi na idadi ndooogo ya wanafunzi wanaojiunga na elimu ya A level!! Taifa la watu milioni 61 na wengi ni vijana kuona wanafunzi takribani 188,000 tuu ndiyo waliochaguliwa kidato cha Tano na vyuo...
  20. B

    Ngoja ninoe kadi yangu ya chama, 2025, tutapambana. Watashindana lakini hawatashinda. Same magharibi nakuja kuwa mkombozi wenu

    Wanaforum poleni na mihangaiko ya weekend. Nimetafakari kwa kina kwa muda mrefu, nafikiri ni wakati sahihi nikaombe ridhaa kwa chama changu CCM panapo majaliwa niwatumike wana same magharibi. Mi ni damu Changa ya kizazi kipya. Kwa miaka nenda rudi Jimbo hili limekuwa na changamoto zile zile...
Back
Top Bottom