Mimi baba wa watoto watatu ratiba yangu ya asubuhi na jioni

Trubarg

JF-Expert Member
Jan 8, 2020
4,261
6,908
RATIBA YA ASUBUHI
  • Naamka saa 11 au 12 kutegemeana na shughuli za siku.
  • Nikiamka saa 11 ujue na shughuli na mama yoyo.
  • Nikiamka saa 12 cha kwanza nachukua nguo za watoto( wawili wanafunzi) na zangu na kuzinyoosha.
  • Muda huo wife anakuwa anapambana na kuwaogesha. Akimaliza kuwaogesha nampokea kuwapaka mafuta na kuwavalisha ( muda huo wife anakuwa anawapikia breakfast).
  • Baada ya hapo naenza kujiandaa mwenyewe kwa ajili ya kwenda kwenye miangaiko. Asubuhi huwa natoka nao hadi kwenye kituo ambacho huwa wanachukuliwa na school bus.
  • Wakishachukuliwa mm ndo huwa naenda kutafuta usafiri wa kwenda kwenye mihangaiko yangu.

RATIBA YA JIONI
  • Huwa najitahidi by saa 11 niwe home.
  • Nakuta watoto wamerudi muda si mrefu, so naoga then naanza fanya nao home work.
  • Wakamimaliza homework natafuta kinywaji changu pendwa na kuanza kusip nikisubr msosi wa usiku..
  • Wadau kwa ratiba yangu hii nyie mnaionaje, ratiba yako wewe ipoje?
 
Niliandika ndefuuuu, nikaja gundua mm nipo single 😂😂😂 anyway, naamka saa 1 na nusu, nakula, naoga,
Saa mbili natoka home,
Narudi saa 6 usiku, nasali, nalala, and the days goes on 😂😂

Nikipata mke na mtoto nitakuja ku update,

Btw, nimependa unavyomsapot mama watoto kulea watoto, inakuwa nzuri sana hio
 
Mimi kuna kile cha usiku nikiamka usingizini mara nyingi siachi kama hana tatizo. Anajua hiyo ratiba keshazoea.
 
RATIBA YA ASUBUHI
  • Naamka saa 11 au 12 kutegemeana na shughuli za siku.
  • Nikiamka saa 11 ujue na shughuli na mama yoyo.
  • Nikiamka saa 12 cha kwanza nachukua nguo za watoto( wawili wanafunzi) na zangu na kuzinyoosha.
  • Muda huo wife anakuwa anapambana na kuwaogesha. Akimaliza kuwaogesha nampokea kuwapaka mafuta na kuwavalisha ( muda huo wife anakuwa anawapikia breakfast).
  • Baada ya hapo naenza kujiandaa mwenyewe kwa ajili ya kwenda kwenye miangaiko. Asubuhi huwa natoka nao hadi kwenye kituo ambacho huwa wanachukuliwa na school bus.
  • Wakishachukuliwa mm ndo huwa naenda kutafuta usafiri wa kwenda kwenye mihangaiko yangu.

RATIBA YA JIONI
  • Huwa najitahidi by saa 11 niwe home.
  • Nakuta watoto wamerudi muda si mrefu, so naoga then naanza fanya nao home work.
  • Wakamimaliza homework natafuta kinywaji changu pendwa na kuanza kusip nikisubr msosi wa usiku..
  • Wadau kwa ratiba yangu hii nyie mnaionaje, ratiba yako wewe ipoje?
Ujengewe sanamu pembeni ya uwanja wa taifa wa Benjamin mkapa.
Kwasababu:
Huna mambo mengi! Alafu umejaliwa kuwa na mke mnayependana! Wengine wangekuwa wameishadumbukiza msichana wa kazi na kuongeza matatizo yasiyokuwa ya lazima!
 
Safi kabisa ni mfano mzuri wa baba bora.Mm nilikua mzee wa kuamka sijali hata wanangu wameamka poa ama vip Jioni narudi mida mibovu mara nyingi nakuta wamelala.Kuna siku niliamua kukaa nyumbani kucheza na watoto nilikuja kugundua kuna kitu sifanyi sawa kama mzazi.Nikabadili ratiba sio siri watoto wako ukiwa nao karibu ni best friend wazuri sana yaaan sio siri nainjoi sana kuwahudumia ama kukaa nao mda mwingi.
 
Kuogesha watoto!
Hell NO!!

Ratiba za kurudi nyumbani mchana ni za kitoto sana, wewe ni mtoto mwenzao kama sio benteni.

Huyo mkeo anarudi sangapi?
. Mimi huwa nawaogesha but mara moja moja. Wakati mwingine watoto huwa wanagoma kuogeshwa na mama wanamtaka baba. So nachip in. Mke huwa anarudi mapema zaidi. Saa tisa au kumi huwa yupo home.
 
RATIBA YA ASUBUHI
  • Naamka saa 11 au 12 kutegemeana na shughuli za siku.
  • Nikiamka saa 11 ujue na shughuli na mama yoyo.
  • Nikiamka saa 12 cha kwanza nachukua nguo za watoto( wawili wanafunzi) na zangu na kuzinyoosha.
  • Muda huo wife anakuwa anapambana na kuwaogesha. Akimaliza kuwaogesha nampokea kuwapaka mafuta na kuwavalisha ( muda huo wife anakuwa anawapikia breakfast).
  • Baada ya hapo naenza kujiandaa mwenyewe kwa ajili ya kwenda kwenye miangaiko. Asubuhi huwa natoka nao hadi kwenye kituo ambacho huwa wanachukuliwa na school bus.
  • Wakishachukuliwa mm ndo huwa naenda kutafuta usafiri wa kwenda kwenye mihangaiko yangu.

RATIBA YA JIONI
  • Huwa najitahidi by saa 11 niwe home.
  • Nakuta watoto wamerudi muda si mrefu, so naoga then naanza fanya nao home work.
  • Wakamimaliza homework natafuta kinywaji changu pendwa na kuanza kusip nikisubr msosi wa usiku..
  • Wadau kwa ratiba yangu hii nyie mnaionaje, ratiba yako wewe ipoje?
Utanenepa na kuwa mzembe.Anza kukaa vijiwe vya kahawa upate umbea wa mtaani.
 
Safi kabisa ni mfano mzuri wa baba bora.Mm nilikua mzee wa kuamka sijali hata wanangu wameamka poa ama vip Jioni narudi mida mibovu mara nyingi nakuta wamelala.Kuna siku niliamua kukaa nyumbani kucheza na watoto nilikuja kugundua kuna kitu sifanyi sawa kama mzazi.Nikabadili ratiba sio siri watoto wako ukiwa nao karibu ni best friend wazuri sana yaaan sio siri nainjoi sana kuwahudumia ama kukaa nao mda mwingi.
Shukurani mkuu. Mm mwenyewe ninegundua familia yapaswa kupewa priority, coz ndiyo sehemu unaweza pata upendo wa kweli
 
Niliandika ndefuuuu, nikaja gundua mm nipo single 😂😂😂 anyway, naamka saa 1 na nusu, nakula, naoga,
Saa mbili natoka home,
Narudi saa 6 usiku, nasali, nalala, and the days goes on 😂😂

Nikipata mke na mtoto nitakuja ku update,

Btw, nimependa unavyomsapot mama watoto kulea watoto, inakuwa nzuri sana hio
Usingo unaraha yake
 
Back
Top Bottom