Msaada TV yangu aina ya singsung, nchi 25 inawaka kidogo inajizima

desmond3076

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
278
182
Inaonyesha after five minutes inazima ghafla na kujiweka katika standby mode, naomba msaada shida ni nini?

Zoezi hili limekuwa endelevu, nikiizima wiki nzima inaweza onyesha vizuri kama Haina shida, nilimuita fundi ikamshinda, shida ni nini?

Naomba msaada nafahamu wanajamvi mnaweza nipa ushauri just ushauri
 
Hiyo brand ni product dhaifu tangu enzi za uchogo.

Unashindwa nini kununua brand imara na za kueleweka?
 
hizo TV Nakumbuka zilikuwa zina soko sana miaka ya 2010,

ni za kichina, kwa makadirio bidhaa za kichina huwa zina maisha mafupi, kwa sasa itakuwa imeshachoka,

Nunua TV nyingine ama jaribu kwa fundi mwengine.
 
Mbona hata LG ipo hivyo hivyo...nasikia Kuna kifaa kinatakiwa kibadirishwe cha mwanga..hapo andaa kama laki moja kutatua tatizo
 
Inaonyesha after five minutes inazima ghafla na kujiweka katika standby mode, naomba msaada shida ni nini?

Zoezi hili limekuwa endelevu, nikiizima wiki nzima inaweza onyesha vizuri kama Haina shida, nilimuita fundi ikamshinda, shida ni nini?

Naomba msaada nafahamu wanajamvi mnaweza nipa ushauri just ushauri
Muone fundi wa TV na sio tu fundi unapatikana wapi namaanisha mkoa Gani?
 
Mbona hata LG ipo hivyo hivyo...nasikia Kuna kifaa kinatakiwa kibadirishwe cha mwanga..hapo andaa kama laki moja kutatua tatizo
LG ina umarufu Dunia nzima ni rahisi hata kujua tatizo kwa kugoogle maana watumiaji ni wengi na Mafundi nao wamezizoea, ni tofauti na hizo singsung itabidi upate fundi mzoefu anaeweza kurekebisha hata kifaa chenye shida bila kuweka spare maana kupata spare za hio TV ni mtihani.
 
Jaribu kubadilisha power supply, kama ni zile tv ambazo power supply yake ipo ndani ya tv basi nakushauri tafuta power supply ya njee ile kama adapter ya laptop inayotoa volt 12v, 2A ikiwa tatizo bado litaendelea ikizima Tena, basi jaribu kuwasha tochi ya simu yako then mwalika kioo chako na tazama kama kuna maandishi yeyote yanaonekana ikiwa yataonekana leta mrejesho, pia tazama kama kioo kina chengechenga nyeupe hii utaona vizuri wakati tv imewaka (On) ikiwa umefanya vyote na haujaona chochote basi peleka kwa fundi akapima kama kioo na tcon ni nzima hapo ubadilishe circuit yote uwekewe mpya, au ununue TV mpya
 
Back
Top Bottom