Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,468
- 23,744
Nlikuwa mkoa fulani kikazi two days ago. Soon baada ya kutoka nchi za watu nikafikia huko. Huwa mara nyingi nafikia hizi Hotels zetu za 3 au 5 Star. Basi nimejiandaa siku hiyo naingia kwenye lift nakutana na mke wa jamaa anarekebisha blauzi.
Amechoka kiasi kwa mwonekano na pembeni kuna jamaa. Nikamsalimia tu habari mnaendeleaje. Akajibu kwa aibu salama. Basi nikashuka haraka nikamwacha.
Leo kanipigia kuniuliza kama nilirudi Dar salama. Nikamjibu tu nashukiru shem nilirudi salama. Nakutakia siku njema. Nadhani ana wasiwasi kuwa naweza mwambia mshkaji. Kumbe mimi hilo wazo halipo hata akinituma nimwambie nitagoma kabisa.