Zawadi yangu ya Valentine kwa mwenyekiti wa kataa ndoaw

Pridah

JF-Expert Member
Jul 20, 2023
523
1,919
Huwa siwaelewi watu wanaowapinga team kataa ndoa na Atheist sababu kufanya hivyo ni kama kupangiana jinsi ya kuishi hapa duniani na hiyo sio sawa kwani kila mtu ana haki ya kuishi na kuamini anachoamini ilimradi havunji sheria wala kubughudhi wengine.

Kataa ndoa sio kitu kipya na ukweli hawa kataa ndoa kuna saa wana hoja japo kuna wale fuata mkumbo hawaeleweki.

Sasa,zawadi ninayotaka kuwapa kaka zangu wa kataa ndoa ni "PICHA" inayoonyesha namna kataa ndoa wenzao wa Scandnavia wanavyoishi labda wanaweza kuboresha ukataa ndoa wao.

Nchini Sweden kuna aina za marital status zifuatazo zinazotambulika Kisheria;

1)Ndoa.Hii ni ile ya kidini tunayoijua ²wote ile yakuishi pamoja.

2)SAMBO: Hii hata bongo ipo ila haiheshimiki kama inavyoheshimika na kutambulika kisheria huko Scandnavia.Kwa Sweden hii ni pale wawili wamependana then wanaamua kuishi pamoja ila hamna ndoa na popote ukiulizwa marital status yako unajaza SAMBO.Kwa bongo hii ndo inaitwa sogea tukae na haiheshimiki kila siku mtashauriwa kubariki ndoa muache kuzini.

3)SAR BOR: Hii ni watu wawili wanapendana na wanataka kuspend the rest of their life together ila kila mtu anaishi nyumbani kwake kwa sheria zake kwa style yake ila wanapanga tu ratiba zao za siku za kukutana.Hapa kila mtu anaishi kwa kipato chake hakuna kuumizana,hakuna yeyote atakayemkausha mwenzie damu.Na ukifa ukiamua mali zako arithi paka wako hakuna wa kukuuliza.Kwa mwenza wako utapata zawadi tu.

Vile vile naona kataa ndoa wengi wanataka kuzaa then walee watoto wao wenyewe.Ni sawa ila mnajua kama ambavyo kuoa sio lazima hata kukataa kuzaa watoto pia sio lazima.Binafsi naamini malezi bora yanapatikana kwa baba na mama wanaoishi pamoja.Sio sawa mzae then mkatupe watoto boarding au kwa bibi.Unaweza tu kusema nina uwezo wa kuzalisha ila watoto is not my thing na jamii inapaswa kuheshimu hilo.

Halafu mnajua kwanini wazungu wanaishi miaka mingi kuliko sisi?Jibu ni wanajali furaha na amani ya moyo bila kujali wengine watamuonaje.

Ndugu mwenyekiti,utakapochoka nyeto naona kama SAR BOR inaweza kukufaa na pia watumishi wenzangu wa biblia inasema hivi au quran inasema hivi tambueni kuna watu hawaamini katika hivi vitabu vyetu vitakatifu.

#MIMI NAAMINI KATIKA NDOA
 
2)SAMBO: Hii hata bongo ipo ila haiheshimiki kama inavyoheshimika na kutambulika kisheria huko Scandnavia.Kwa Sweden hii ni pale wawili wamependana then wanaamua kuishi pamoja ila hamna ndoa na popote ukiulizwa marital status yako unajaza SAMBO.Kwa bongo hii ndo inaitwa sogea tukae na haiheshimiki kila siku mtashauriwa kubariki ndoa muache kuzini.
Katibu mwenezi nimeipenda hii

mwenyekiti na msaidizi wake watakuja kuongezea mawili matatu
 
Huwa siwaelewi watu wanaowapinga team kataa ndoa na Atheist sababu kufanya hivyo ni kama kupangiana jinsi ya kuishi hapa duniani na hiyo sio sawa kwani kila mtu ana haki ya kuishi na kuamini anachoamini ilimradi havunji sheria wala kubughudhi wengine.

Kataa ndoa sio kitu kipya na ukweli hawa kataa ndoa kuna saa wana hoja japo kuna wale fuata mkumbo hawaeleweki.

Sasa,zawadi ninayotaka kuwapa kaka zangu wa kataa ndoa ni "PICHA" inayoonyesha namna kataa ndoa wenzao wa Scandnavia wanavyoishi labda wanaweza kuboresha ukataa ndoa wao.

Nchini Sweden kuna aina za marital status zifuatazo zinazotambulika Kisheria;

1)Ndoa.Hii ni ile ya kidini tunayoijua ²wote ile yakuishi pamoja.

2)SAMBO: Hii hata bongo ipo ila haiheshimiki kama inavyoheshimika na kutambulika kisheria huko Scandnavia.Kwa Sweden hii ni pale wawili wamependana then wanaamua kuishi pamoja ila hamna ndoa na popote ukiulizwa marital status yako unajaza SAMBO.Kwa bongo hii ndo inaitwa sogea tukae na haiheshimiki kila siku mtashauriwa kubariki ndoa muache kuzini.

3)SAR BOR: Hii ni watu wawili wanapendana na wanataka kuspend the rest of their life together ila kila mtu anaishi nyumbani kwake kwa sheria zake kwa style yake ila wanapanga tu ratiba zao za siku za kukutana.Hapa kila mtu anaishi kwa kipato chake hakuna kuumizana,hakuna yeyote atakayemkausha mwenzie damu.Na ukifa ukiamua mali zako arithi paka wako hakuna wa kukuuliza.Kwa mwenza wako utapata zawadi tu.

Vile vile naona kataa ndoa wengi wanataka kuzaa then walee watoto wao wenyewe.Ni sawa ila mnajua kama ambavyo kuoa sio lazima hata kukataa kuzaa watoto pia sio lazima.Binafsi naamini malezi bora yanapatikana kwa baba na mama wanaoishi pamoja.Sio sawa mzae then mkatupe watoto boarding au kwa bibi.Unaweza tu kusema nina uwezo wa kuzalisha ila watoto is not my thing na jamii inapaswa kuheshimu hilo.

Ndugu mwenyekiti,utakapochoka nyeto naona kama SAR BOR inaweza kukufaa na pia watumishi wenzangu wa biblia inasema hivi au quran inasema hivi tambueni kuna watu hawaamini katika hivi vitabu vyetu vitakatifu.
Umetoa maelezo ya picha.
Haya leta picha sasa
 
Huwa siwaelewi watu wanaowapinga team kataa ndoa na Atheist sababu kufanya hivyo ni kama kupangiana jinsi ya kuishi hapa duniani na hiyo sio sawa kwani kila mtu ana haki ya kuishi na kuamini anachoamini ilimradi havunji sheria wala kubughudhi wengine.

Kataa ndoa sio kitu kipya na ukweli hawa kataa ndoa kuna saa wana hoja japo kuna wale fuata mkumbo hawaeleweki.

Sasa,zawadi ninayotaka kuwapa kaka zangu wa kataa ndoa ni "PICHA" inayoonyesha namna kataa ndoa wenzao wa Scandnavia wanavyoishi labda wanaweza kuboresha ukataa ndoa wao.

Nchini Sweden kuna aina za marital status zifuatazo zinazotambulika Kisheria;

1)Ndoa.Hii ni ile ya kidini tunayoijua ²wote ile yakuishi pamoja.

2)SAMBO: Hii hata bongo ipo ila haiheshimiki kama inavyoheshimika na kutambulika kisheria huko Scandnavia.Kwa Sweden hii ni pale wawili wamependana then wanaamua kuishi pamoja ila hamna ndoa na popote ukiulizwa marital status yako unajaza SAMBO.Kwa bongo hii ndo inaitwa sogea tukae na haiheshimiki kila siku mtashauriwa kubariki ndoa muache kuzini.

3)SAR BOR: Hii ni watu wawili wanapendana na wanataka kuspend the rest of their life together ila kila mtu anaishi nyumbani kwake kwa sheria zake kwa style yake ila wanapanga tu ratiba zao za siku za kukutana.Hapa kila mtu anaishi kwa kipato chake hakuna kuumizana,hakuna yeyote atakayemkausha mwenzie damu.Na ukifa ukiamua mali zako arithi paka wako hakuna wa kukuuliza.Kwa mwenza wako utapata zawadi tu.

Vile vile naona kataa ndoa wengi wanataka kuzaa then walee watoto wao wenyewe.Ni sawa ila mnajua kama ambavyo kuoa sio lazima hata kukataa kuzaa watoto pia sio lazima.Binafsi naamini malezi bora yanapatikana kwa baba na mama wanaoishi pamoja.Sio sawa mzae then mkatupe watoto boarding au kwa bibi.

Ndugu mwenyekiti,utakapochoka nyeto naona kama SAR BOR inaweza kukufaa na pia watumishi wenzangu wa biblia inasema hivi au quran inasema hivi tambueni kuna watu hawaamini katika hivi vitabu vyetu vitakatifu.
kataa ndoa ni wahujumu mapenzi 🐒

ni maandalizi ya dependants wa uzeeni kwasbabu ya ubinafsi tu hawana wa kuwasaidia ni kutegemea huruma za watu 🐒

haiwezekani sukari ipo halafu kwa makusudi mtu anaificha, anaefaidi ni sabuni bafuni 🐒

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
FB_IMG_17077430848893304.jpg
 
nyeto wanazopiga zimeshalegeza dyudyu zao hivyo hawana uwezo tena wa kupiga pampu; ni mpaka wapewe dawa na tiba ya kisaikolojia.

Binadamu aliyekamili hawezi kukataa ndoa.

Something is abnomal in their minds!
 
Back
Top Bottom