Nikasikia Bonge la Msonyo nyuma yangu

Etugrul Bey

JF-Expert Member
Aug 6, 2020
3,520
6,503
Jijini dar es Salaam maeneo ya posta mpya, ilikuwa siku ya ijumaa mwamba naelekea zangu msikiti wa Ngazija kwa ajili ya kuswali swala ya ijumaa.

Nikiwa nakatisha pembezoni mwa maduka mara pap madam mmoja huyu hapa, "kaka shikamoo" nikamuitikia marahaba, akaendelea "tuna zawadi za fulana kwa watu ambao wametumia mitandao ya simu kwa mda mrefu".

Akataja mitandao husika sitaitaja hapa sitaki kuwapa promo, akaniambia nisogee kwenye gari nipewe zawadi yangu, anyways nikaona isiwe tabu ingawa nilisita kidogo lkn nikasema ngoja nifuate nyuki nile asali.

Nakutana na madam mwengine ananiambia hapa tunapromotion kwa wateja wa mda mrefu, ndani ya gari kuna madam mwengine ana daftari nikaulizwa jina langu nikawatajia pamoja na namba yangu ya simu.

Huyu wa nje akatoa kikadi nichague karatasi moja nipate zawadi, nikachagua,kufungua akasema waoo! Umejishindia simu, akaleta box kweli kufungua simu rununu mpya.

Nikajisemea moyoni yaan mtu unashinda simu kirahisi tu hivi hivi, akaniambia kaka sasa hii simu ni laki nne na nusu ila kwasababu ya promotion utaipata kwa laki na ishirini, nikamwambia madam sina ratiba za kununua simu istoshe hapa sina bajeti hiyo.

Madam akasema unaweza weka deposit hata ya elfu hamsini halafu ukakomboa siku nyingine, nikamwambia sina hiyo hela hapa, madam akasisitiza waeza weka hata elfu tano tu! Duh nikajiuliza hii imekaaje yaan simu ya laki nne mpaka unaweza weka deposit buku tano?

Nikamwambia nayo sina, nikageuka na kusepa zangu, hatua tano toka nitoke pale ebwana eeeh nikasikia Bonge la Msonyo hahah,,, unajua nini wameshindwa kunitapeli kwahiyo wakamind, wala sikugeuka nyuma nikajisemea moyoni imekula kwenu.

Jamani walisema wadau mjini ni shule kwahiyo hakikisha mda wote unavaa unifomu madaftari utayakuta huko huko.

Ni hayo tu!
 
Kuna dem alitapeliwa mwisho wa mwaka jana ,alitoka bank akakutana na jamaa nje ya bank..jamaa kamsalimia afu dem akaitikia ndio ikawa nitolee hiyo, yaani dem akajikuta anamfuata jamaa hadi kwenye gari. Wakaingia dem wakamkalisha siti ya nyuma katikati,pembeni kuna watu wawili. Wakaenda hadi karibu bagamoyo wakamshusha. Dem akabaki kazubaa zaidi ya lisaa, hadi konda wa daladala alipomuuliza vp unaenda ndio akashtuka na kuanza kupiga wayowe. Watu wakajaa dem akazimia..peleka hospital akazinduka kesho yake..simu hana,pochi hana.... bahati nzuri kuna namba ya dadaake anayokichwani ndo kupigiwa wakaja mchukua. Dem aliumwa balaa akawa kama anamapepo...hadi kumletea shehe ndo hali ikaanza badilika kupata nafuu. Miez mitatu ndo dem kaanza kurudi kawaida ila bado anapata ganzi miguuni hadi sasa.
 
Ungekuwa uko mbeya na ulipoitwa na tapeli ukienda basi jua kwisha habari yako
 
Kuna dem alitapeliwa mwisho wa mwaka jana ,alitoka bank akakutana na jamaa nje ya bank..jamaa kamsalimia afu dem akaitikia ndio ikawa nitolee hiyo, yaani dem akajikuta anamfuata jamaa hadi kwenye gari. Wakaingia dem wakamkalisha siti ya nyuma katikati,pembeni kuna watu wawili. Wakaenda hadi karibu bagamoyo wakamshusha. Dem akabaki kazubaa zaidi ya lisaa, hadi konda wa daladala alipomuuliza vp unaenda ndio akashtuka na kuanza kupiga wayowe. Watu wakajaa dem akazimia..peleka hospital akazinduka kesho yake..simu hana,pochi hana.... bahati nzuri kuna namba ya dadaake anayokichwani ndo kupigiwa wakaja mchukua. Dem aliumwa balaa akawa kama anamapepo...hadi kumletea shehe ndo hali ikaanza badilika kupata nafuu. Miez mitatu ndo dem kaanza kurudi kawaida ila bado anapata ganzi miguuni.
Kwanini kumletea shehe??????
 
Duuh huo uchawi live chief, kwa staili hiyo lazima upigwe
 
Kuna dem alitapeliwa mwisho wa mwaka jana ,alitoka bank akakutana na jamaa nje ya bank..jamaa kamsalimia afu dem akaitikia ndio ikawa nitolee hiyo, yaani dem akajikuta anamfuata jamaa hadi kwenye gari. Wakaingia dem wakamkalisha siti ya nyuma katikati,pembeni kuna watu wawili. Wakaenda hadi karibu bagamoyo wakamshusha. Dem akabaki kazubaa zaidi ya lisaa, hadi konda wa daladala alipomuuliza vp unaenda ndio akashtuka na kuanza kupiga wayowe. Watu wakajaa dem akazimia..peleka hospital akazinduka kesho yake..simu hana,pochi hana.... bahati nzuri kuna namba ya dadaake anayokichwani ndo kupigiwa wakaja mchukua. Dem aliumwa balaa akawa kama anamapepo...hadi kumletea shehe ndo hali ikaanza badilika kupata nafuu. Miez mitatu ndo dem kaanza kurudi kawaida ila bado anapata ganzi miguuni hadi sasa.
Huyo alitumiwa mapepo
 
Back
Top Bottom