yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Ngoja ninoe kadi yangu ya chama, 2025, tutapambana. Watashindana lakini hawatashinda. Same magharibi nakuja kuwa mkombozi wenu

    Wanaforum poleni na mihangaiko ya weekend. Nimetafakari kwa kina kwa muda mrefu, nafikiri ni wakati sahihi nikaombe ridhaa kwa chama changu CCM panapo majaliwa niwatumike wana same magharibi. Mi ni damu Changa ya kizazi kipya. Kwa miaka nenda rudi Jimbo hili limekuwa na changamoto zile zile...
  2. Izogi

    Mke kwaajili ya kaka yangu.

    Habari zenu humu, hopefully mko salama. Jamani niende kwenye point nina Kaka yangu ambaye alipata mtihani kidogo wa afya ya akili alipokuwa mafunzoni Jeshini ambayo imempelekea kutokua sawa, kuna mda unaweza kaa nae akaongea tu vizuri na sometimes anavuruga maneno. NB(sio chizi kwamba anavua...
  3. Surya

    Hivi hizi Ndoa naziona hivi peke yangu au tupo wengi?

    Mostly Ndoa nyingi ni mateso, wengi wanajuta tu. Kiu ya kugawa moyo wangu imepotea kabisa, nisije tobolewa tu bure 🥲
  4. J

    Nilimfumania shemeji yangu, Nikachukua uamuzi huu na kikatokea hiki, wewe ulifanyaje?

    Hiyo issue ilitokea 5 years ago kwa kaka yangu, baba na mama mmoja. Baada ya kumaliza chuo nikapata kikazi cha kujishikisha katika hospital karibu na anaposhi broo wangu, kaka yangu alijua kabisa kuwa ninafanya kazi karibu na nyumbani kwake. Sio mbali ni kama 400 meters hivi. Kaka yangu anamke...
  5. B

    Kwa hali yangu hii kweli nitaweza kudumu kwenye mahusiano? Madaktari wananichanganya kabisa

    Nimekuwa na changamoto kubwa ya kujihisi hamu ya kufanya mapenzi kila wakati. Nimezunguka hosp nyingi duniani wataalam wanipunguzie hii hali imeshindikana. Madaktari wanasema ni kutokana na maisha, mwili wangu na vyakula na vinywaji navyotumia. Wanasema ni tatizo la kutokuwa na stress katika...
  6. Jumanne Mwita

    Siku Muhimu ya Kuadhimisha Siku Yangu ya Kuzaliwa

    Rafiki yangu mpendwa, Leo ni siku ya kukumbuka kuzaliwa kwangu. Tarehe 06/06 ndiyo siku ambayo nilizaliwa, hivyo leo tarehe 06/06/2023 nimetimiza miaka kadhaa ya kuwa hai hapa duniani. Kwa miaka hiyo michache, nimejifunza mengi sana na pia nimekazana kuwa na mchango kwa wengine kadiri ya uwezo...
  7. T

    Mimi ni mwalimu, nje ya kazi yangu nifanye kitu gani nitoke kimaisha?

    Wakuu habari za muda huu, Kuna mijadala inaendelea hapa jukwaani juu ya Hali za maisha ya walimu. Ni kweli walimu tuna maisha magumu, kwa pamoja tumelipokea. Ndugu zangu tunaomba ushauri wenu, tufanye biashara Gani ambazo zitatuingizia angalau kiasi Cha shilingi 10000 kama faida. Natumaini...
  8. Mabula marko

    SoC03 Naipenda siku ya uhuru wa taifa langu

    Habari ndugu msomaji karibu katika makala hii Hii ni hadithi iliyokuwa nzuri na ya kusisimua ambayo mzee mwangosi alitushrikisha siku moja tukiwa kundi la vijana watano katika kijiwe cha kahawa ambaye alikuwa mzee mwenye umri wa miaka 89, mzee mwangosi alikuwa akizingumzia namna alivyoshiriki...
  9. monotheist

    SSD ipi kati ya hizi pichani inaendana na desktop yangu

    Nimeambatanisha na picha kwa upande wa ndani wa desktop
  10. IamBrianLeeSnr

    Moyo wangu umepondeka mno juu ya mahusiano yangu na huyu binti

    Habari wanajamii, nielekee kwenye hoja husika moja kwa moja. Nilikuwa na matarajio mengi sana juu yake lakini imekuwa ndivyo sivyo. Nilifikiria sana baada ya kumfungulia thread/Uzi kwakuwa nilimhada na kumpenda sana ila haikuwa bahati yangu kama wasemavyo wahenga, ng’ombe wa maskini hazai, hili...
  11. L

    SoC03 Wema wako ulibadili maisha yangu

    Siku moja Heri akiwa katika kutembea alimkuta mwanaume wa makamo akiwa ameketi Kando ya barabara. Mwanaume yule kwa muonekano tu na vile alivyokuwa amekaa pale chini hata wewe ungejua kabisa kuwa mwanaume yule alikuwa ni ombaomba. Alikuwa amechafuka sana, nywele zake na ndevu zake zilikuwa ni...
  12. ChrisantD44

    SoC03 Chawa wa nafsi yangu

    “Zungu la wazungu nyayo zako uvungu wangu, usikanyage vumbi baba simama begani kwangu kichwa kiguse mawingu, baba hauna baya, baba ukifa hauozi, mbinguni njia yako ni ya lami na dhambi zako nachukua mimi, hata ukimtaka mke wang…..” Ayaa”,ninalalama kwa sauti nikiusoma ujumbe unaonitaarifu juu ya...
  13. Nominee

    Sikumuomba, aliniruhusu nilale na mkewe ila ghafla kawa adui yangu

    Habarini wakuu.Nahitaji msaada. Mwaka huu mwezi wa kwanza,nikiwa nimetulia katika mgahawa fulani ulio na lodge kwa pembeni huku nikishushia msosi wa jioni,kuna jamaa alinifuata kwenye meza yangu.Huyu jamaa kwa makadirio ana umri wa miaka 37-40, basi nikiwa sina hili wala lile jamaa akanipa hai...
  14. mfate42

    Mkurugenzi TUTUBA (same).damu yangu itaulizwa juu yako..

    Kwa nilipofikia hivi Sasa mkurugenzi TUTUBA Kama nitafanya Jambo lolote lile la maamuzi magumu Basi wa kumuuliza Ni ANNA TUTUBA MKURUGENZI SAME..NA CABINET YAKE
  15. Mdigokhan

    Punyeto inavunja ndoa yangu

    Nianze kwa kujitambulisha Eeeh Mimi ni kijana wa miaka 28 Nina kil0 93 Naishi dar....Nina Visa vingi katika mahusian0 yangu ya MAPENZI,vingi nishawahi p0st humuhumu... Nip0 katika nd0a mwaka sasa Ila na0na nd0a yangu inaelekea kuangamia huku nai0na,Najaribu kuik0a ila Nahisi kushindwa...Kabla...
  16. Intelligent businessman

    Visa nilivyokutana navyo, baada ya kumtembelea rafiki yangu mpenda matatizo

    Mimi intelli Kama nijulikanavyo ni mzee wa kauli ya "I mean no malice to nobody" - ila nilijuta Baada ya kwenda kumtembelea Jamaa yangu wa mkoa fulani. Aisee Kuna watu wanapenda Shari na ugomvi Kama vile ni chakula, nami nikaona SI mbaya nikishare nanyi niliyo yaona huko. Namnukuu Kisa Cha...
  17. Desierto

    Sikuwa na mpango wa kukaa mbali na mama yangu, ila tabia ya dada yangu imening'oa nyumbani

    Iko hivi baada ya kutoka mjini nikiwa na mke wangu nilienda nyumbani kwa wazazi wangu baba na mama, sasa pale kuna dada yangu ambeye namfuata yeye ameachika hivo yupo tu nyumbani anadanga Ikumbukwe tulikuwa tunapika chakula cha pamoja tunakula kifamilia, tabia za dada yangu ni mchoyo wa...
  18. GENTAMYCINE

    Taja Wimbo utakaosindikiza Furaha yangu Kubwa ya Ushindi wa USM Alger FC leo kwa Mkapa

    Nazisubiria mzitaje tu ili Nikeshe nazo.
  19. Kipenzi Changu

    Siwezi kuficha furaha yangu kwa Yanga kula kichapo

    Nipo hapa kuueleza umma kwamba mimi nisiwe mnaa. Furaha yangu kwa Utopolo kula kichapo haiwezi kufichika kwa uzalendo uchwara. Nawaombea mkienda huko Algeria mchakazwe kama mbwa koko mkirudi msitamanike kabisa. Mna midomo sana Nimefurahi sanaaaaaa
  20. Mnada wa Mhunze

    Hofu yangu huenda Taifa likapatwa na aibu jioni hii

    Jioni ya leo itachezwa fainali ya kwanza ihusuyo mashindano ya kombe la shirikisho barani Afrika baina ya timu ya Yanga dhidi ya Usm ya Algeria. Hivi karibuni yamepata kutokea matukio ya ukatikaji wa umeme mara kwa mara ndani ya uwanja wa Benjamini Mkapa ambapo fainali hiyo inachezwa leo jambo...
Back
Top Bottom