wizi wa mafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BUSH BIN LADEN

    Tetesi: Meli ya Tanzania inashikiliwa na vikosi vya Iran kwa wizi wa mafuta

    Habari wana jukwaa? Inasemekana meli moja inayopeperusha bendera ya Tanzania imekamatwa na vikosi vya wana maji vya Iran ikiwa na shehena ya mafuta ghafi ipatayo tani 900 ambayo ni ya wizi. --- Iran's Revolutionary Guards seized a tanker holding 900 metric tons of "smuggled fuel" and 12 crew...
  2. BARD AI

    Wafanyakazi wa Boma la Mafuta (EACOP) wafikishwa Mahakamani kwa wizi wa Mafuta Lita 7,441

    Ni Wafanyakazi 4 wa Kampuni ya JV Spek LTD inayojenga mradi mkubwa wa Bomba la Mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, Tanzania wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Igunga, Tabora. Watuhumiwa hao ni pamoja na waongoza Mitambo Ally Said (36), Samwel Mtenga (35), Awadh Mrango (36) na...
  3. MK254

    Bunge la Nigeria lajadili wizi mkubwa sana wa mafuta uliofanywa na China

    Hii China ambayo huonwa kama kimbilio la Afrika, kila mnapoisuta Marekani lazima mtaje China kama mbadala. Nigerian lawmakers have begun a probe into the sale of stolen 48 million barrels of crude oil to China. “It is quite alarming that illegal deals with China cost Nigeria $2.4 billion...
  4. JanguKamaJangu

    Shinyanga: Askari watuhumiwa kuvujisha siri za Wananchi wanaotoa taarifa za wizi wa mafuta ya SGR

    Imebainika kuwa baadhi ya askari wa Shinyanga wanavujisha taarifa za siri zinazotolewa na wananchi juu ya wahalifu wakiwemo wezi wa mafuta katika ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR. Wakizungumza na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, ACP Janeth Magomi baadhi ya Wananchi wamedai kuwa wizi...
  5. JanguKamaJangu

    Morogoro: Madiwani wamsimamisha kazi Mganga Mkuu kwa tuhuma za wizi wa mafuta

    Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Gairo Mkoani Morogoro imemsimamisha kazi Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo, Dustan Mshana kwa tuhuma ya wizi wa mafuta lita 100, kununua kumpyuta chakavu pamoja na kutosimamia vizuri idara yake hiyo. Mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Rachael Nyangasi, alisema...
  6. RWANDES

    Nani yuko nyuma ya hujuma dhidi ya Bomba la Mafuta la Kigamboni?

    Kutokana hali iliyopo sasa, ikumbukwe kwamba mkuu wa mkoa Dar es Salaam, Amos Makalla juzi alikuta bomba la mafuta wilaya ya Kigamboni watu ambao hakuwagaja wamejiunganishia mafuta cha ajabu yeye alikamata watu mbalimbali na kusema kwamba ataunda kamati juu ya suala hilo. Tangu azungumzie swala...
  7. S

    Hili la wizi wa mafuta TPA linaumiza vichwa

    Kwanza kabisa nimpongeze DC wa Kigamboni kwa swala zima la kuwabaini wezi wa mafuta kwenye mabomba ya mafuta ya mamlaka ya Bandari tanzania (TPA) kule Kigamboni cha kushangaza kabisa eti TPA nao wanadiriki kupongeza juhudi za mkuu wa Wilaya katika kuwabaini wezi wa mafuta. Hii ni aibu kubwa...
  8. Mshana Jr

    Uchambuzi: Bomba la mafuta ya wizi Ungindoni, Kigamboni

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muunganiko! MATAGA pia natumai hamjambo! Rejea mada hii: BLINDSPOT: Uchochoro wa kupiga popote Kukamatwa kwa bomba hili kwa bahati nasibu tuu ni mwendelezo wa ufunuo wa udhaifu wa serikali ya awamu ya tano iliyojinasibu kudhibiti wizi, rushwa, upigaji na...
  9. Geza Ulole

    Jinsi Serikali inavyoweza kuzuia wizi wa mafuta Kigamboni

    Kwako mama Samia, Inasikitisha kuona wizi wa mafuta bado upo tena sasa ni unaendelea kuwadhulumu wafanyabiashara wa mafuta wanaotumia Kurasini Oil Jetty yaani baada ya kusomeka katika flowmeter mafuta yananyonywa na wanaonunua wanabaki wakipata mafuta pungufu. Hii si sawa!! Nashauri bomba lote...
  10. 2019

    Kigamboni: Watuhumiwa kutandaza mabomba na kuiba mafuta yanayoenda bandarini

    Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Sarah Msafiri akiwa na kamati ya Ulinzi na usalama wamebaini nyumba iliyopo mtaa wa Ugindoni iliyotandazwa mashine zinazotumika kuchimba visima vya maji lakini badala ya kuchimba chini kuelekea maji yalipo, wanachimba kuelekea usawa yalipo mabomba ya mafuta...
Back
Top Bottom