Bunge la Nigeria lajadili wizi mkubwa sana wa mafuta uliofanywa na China

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,749
48,364
Hii China ambayo huonwa kama kimbilio la Afrika, kila mnapoisuta Marekani lazima mtaje China kama mbadala.

Nigerian lawmakers have begun a probe into the sale of stolen 48 million barrels of crude oil to China.

“It is quite alarming that illegal deals with China cost Nigeria $2.4 billion revenue loss from the sale of stolen 48 million barrels,” Nigeria’s Speaker of the House of Representatives Femi Gbajabiamila said in Abuja on Tuesday, at the opening of the ad hoc committee set up to probe the deals.

He said Nigeria loses $700 million monthly to oil theft, a menace that impacts negatively on the country’s national budget.

“Available data suggests that we may lose up to $23 billion to crude oil theft this year and between January and July last year, Nigeria lost $10 billion to the oil theft,” Gbajabiamila added.

He noted that the oil and gas sector remained the main contributors of Nigeria’s economy as it accounted for its 95 percent of foreign exchange earnings and 80 percent of annual budgeted revenue.

The East African
 
Sioni kosa la China hapa MK254 . Shida iko na hao wezi wa Kinijeria ambao watakuwa ndiyo main facilitator na mastermind wa wizi uliotokea.

Hapo Kenya kwani mnamlaumu kwa kuwapiga kwenye SGR? Huo si ni wizi tu uliokuwa coordinated na nyang'au waandamizi wenyewe? Why Blaiming China? Hata mimi nikipata chance kama Wachina nawapiga🤣🤣
 
Mafuta kutoroshwa kwenye nchi na China kwa kutumia Wanijeria wachache bado unaitetea, kweli mna mahaba.....

Hivi Bongo mlishaanza kuteleza kwa SGR, hata kale kasafu ka Dar-Moro? Maana nimeona sehemu tuhuma za TRC nikashangaa sana.
 
Hii China ambayo huonwa kama kimbilio la Afrika, kila mnapoisuta Marekani lazima mtaje China kama mbadala.

Nigerian lawmakers have begun a probe into the sale of stolen 48 million barrels of crude oil to China.

“It is quite alarming that illegal deals with China cost Nigeria $2.4 billion revenue loss from the sale of stolen 48 million barrels,” Nigeria’s Speaker of the House of Representatives Femi Gbajabiamila said in Abuja on Tuesday, at the opening of the ad hoc committee set up to probe the deals.

He said Nigeria loses $700 million monthly to oil theft, a menace that impacts negatively on the country’s national budget.

“Available data suggests that we may lose up to $23 billion to crude oil theft this year and between January and July last year, Nigeria lost $10 billion to the oil theft,” Gbajabiamila added.

He noted that the oil and gas sector remained the main contributors of Nigeria’s economy as it accounted for its 95 percent of foreign exchange earnings and 80 percent of annual budgeted revenue.

The East African
Similarly to Tanzania, wizi wa dhahabu uliokuwa ukifanywa na Barrick/ Accacia. Je, tuzilaumu serikali za Canada na Uingereza au tuwalaumu watalaamu na wanasiasa wetu kwa kukosa uzalendo katika mikataba na usimamizi?
 
Mafuta kutoroshwa kwenye nchi na China kwa kutumia Wanijeria wachache bado unaitetea, kweli mna mahaba.....

Hivi Bongo mlishaanza kuteleza kwa SGR, hata kale kasafu ka Dar-Moro? Maana nimeona sehemu tuhuma za TRC nikashangaa sana.
China inawezaje kutorosha mafuta Naijeria bila wanijeria wenyewe kuhusika?

China ni kama Oxygen hauwezi kuikwepa. Hata hapo unabofya simu janja yenye patent kibao za Mchina. Kaa kwa kutulia. China hakwepeki
 
Hao wavimba macho ni watu wabaya sana wao siku zote wanajua waafrika hatuna akili ni watu wa kuibiwa tu na watanzania walivyo wepesi kusahau hawakumbuki mpango aliokuwa nao China kuhusu bandari ya Bagamoyo. Wachina sio watu. Bure kabisa.
 
Kwa hiyo unadhani waafrika tuna Akili?
 
Hii habari unaileta kishabiki sana raisi mteule wa Nigeria aliulizwa utakomesha vipi uwizi wa mafuta akiingia madarakani alichojibu kinaakisi vile wa Nigeria walivyoo kwamba kwanza wa Nigeria waache kuwa coordinator wa uwizi wenyewe asilimia kubwa ya wanigiria in wezi na uwizi wenyewe una link hadi na wanasiasa wenyewe unategemea nini apoo
 
Hao wavimba macho ni watu wabaya sana wao siku zote wanajua waafrika hatuna akili ni watu wa kuibiwa tu na watanzania walivyo wepesi kusahau hawakumbuki mpango aliokuwa nao China kuhusu bandari ya Bagamoyo. Wachina sio watu. Bure kabisa.

Mnajua hata ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ulikuwa una-involve vitu gani hasa au mnajisemea tu mradi CNN,BBC walisha anza muda mrefu kuzulia Wachina kuhusu hasa ujio wa Wachina barani Afrika.

Kinacho wasumbua mabeberu hawa ni wivu na roho mbaya tu - wao waliwahi kuliachia bara la Afrika vitu gani vya kutusaidia kimaendeleo zaidi za wizi wa African vast natural resources na kwenda kujenga kwao, hapa mnajifanya kusahau Wachina vitu walivyo tujengea/achia in a record time, mfano: barabara,madaraja,viwanda,hydro electric dams(Ugand,Ethiopia na Ghana),mashule,vyuo vya ufundi, umeme,mawasiliano, mechanised Agriculture you name it, sasa hawa mabeberu walituachia vitu gani vya maana tangu waje barani Africa kwenye miaka ya 1885/86, nothing to speak about.

Kumbukeni mwaka juzi hapa si the late Dr.Magufuli aliwashika red handed Barrick wakitorosha ma containers ya madini wakijidai ni mchanga - mbona walikubali kulipa fidia - hilo hamlisemi? Badala yake masaa yote mnakalia kuwasema sema vibaya Wachina kwamba ni wezi, wachina ni wezi, wachina ni wezi!! Mnarudia rudia propaganda zile zile za vyombo vya habari vya magharibi - so called Chinese DEBT TRAP, debt trap - wakati nchi za magharibi zinadai Afrika mara kumi ya mikopo na riba lukuki kuliko madeni ambayo Wachina wanaidai Afrika, hilo mabeberu na baadhi yenu huwa hamuyasemi, mnashikilia MANTRA ya Wachina wezi, Wachina WEZI!!.
 
Back
Top Bottom