Wafanyakazi wa Boma la Mafuta (EACOP) wafikishwa Mahakamani kwa wizi wa Mafuta Lita 7,441

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
Ni Wafanyakazi 4 wa Kampuni ya JV Spek LTD inayojenga mradi mkubwa wa Bomba la Mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, Tanzania wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Igunga, Tabora.

Watuhumiwa hao ni pamoja na waongoza Mitambo Ally Said (36), Samwel Mtenga (35), Awadh Mrango (36) na Zuberi Pastory Ally ( 41) ambaye ni Dereva, wanadaiwa kutenda kosa hilo kwa siku tofauti kati ya Mei 01, 2023 na Juni 18, 2023.

Kwa mujibu wa Mashtaka, thamani ya Mafuta ni Tsh. Milioni 20.093. Watuhumiwa walikana Mashtaka na kuachiwa kwa dhamana ya Tsh. Milioni 5 kila mmoja. Kesi imeahirishwa hadi Julai 31, 2023.

=========

Wafanyakazi wanne wa Kampuni ya JV Spek LTD inayojenga mradi mkubwa wa bomba la mafuta kutoka nchini Uganda hadi Tanga nchini Tanzania wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Igunga wakikabiliwa na shtaka la wizi wa lita 7, 441 za mafuta ya dizeli yenye thamani ya Sh20 milioni.

Mbele ya Hakimu mfawidhi wa Wilaya Igunga, Ludia Ilunda, washtakiwa kwa pamoja wanadaiwa kutenda kosa hilo katika siku tofauti kati ya Mei 01, 2023 na Juni 18, 2023 wakiwa maeneo ya Kata ya Nanga Wilaya ya Igunga mkoani Tabora.

Akisoma hati ya mashtaka leo Julai 3, 2023, Mwendesha Mashtaka wa Polisi, Ellymajid Kweyamba amewataja washtakiwa kuwa ni waongoza mitambo Ally Said (36), Samwel Mtenga (35), Awadh Mrango (36) na Zuberi Pastory Ally ( 41) ambaye ni dereva.

‘’Wakiwa waajiriwa wa Kampuni ya JV Spek LTD ambayo ni mkandarasi wa ujenzi wa mradi mkubwa wa bomba la mafuta kutoka nchini Uganda hadi Tanzania, washtakiwa waliiba lita 7, 441.94 za mafuta ya dizeli yenye thamani ya Sh20.093 milioni na kuisabababishia hasara kampuni hiyo,’’ amesema Kweyamba

Amesema washtakiwa wote wanne walitenda kosa hilo kinyume na kifungu 258 (1) 271 cha Kanuni ya Adhabu Sura ya 16 mapitio ya mwaka 2022.

Washtakiwa wamekana mashtaka dhidi yao na shauri hilo kuahirishwa hadi Julai 31, 2023 itakapotajwa kwa ajili ya usikilizwaji wa awali baada ya upande wa mashataka kuieleza Mahakama kuwa upelelezi wa kesi hiyo tayari umekamilika. Washtakiwa wapo nje kwa dhamana ya Sh5 milioni kwa kila mmoja.

MWANANCHI
 
Tuliza kichwa BOMA ndo kitu gani?
 
Watu wanaaajiri na kulipa mishahara midogo sijui hua wanadhani nini

Mimi naheshimu sana kazi za huko ulaya ambazo zinaheshimu kila mtu na kumpa mshahara unaokidhi na kupunguza tamaa kwa staff,hapa kwetu sisi wengine tuko kwenye hizi NGO's yaani unalipwa pesa haifiki hata milion na mwingine aliyekaa kaa tu ofisini hata haeleweki analipwa Million 9 za kiTanzania na anakupelekesha kifala sana, inatia hasira na kumfanya mtu hata atende mabaya ambayo hakupanga
 
Sisi hata tulipweje, wengi tumekaa kipigaji, hofu ya Mungu hatuna.
 
Una hakika hawalipwi vizuri??

Tatizo wizi ishakua desturi ya watanzania.
 
Ni Wafanyakazi 4 wa Kampuni ya JV Spek LTD inayojenga mradi mkubwa wa Bomba la Mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, Tanzania wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Igunga, Tabora.

Watuhumiwa hao ni pamoja na waongoza Mitambo Ally Said (36), Samwel Mtenga (35), Awadh Mrango (36) na Zuberi Pastory Ally ( 41) ambaye ni Dereva, wanadaiwa kutenda kosa hilo kwa siku tofauti kati ya Mei 01, 2023 na Juni 18, 2023.

Kwa mujibu wa Mashtaka, thamani ya Mafuta ni Tsh. Milioni 20.093. Watuhumiwa walikana Mashtaka na kuachiwa kwa dhamana ya Tsh. Milioni 5 kila mmoja. Kesi imeahirishwa hadi Julai 31, 2023.

=========

Wafanyakazi wanne wa Kampuni ya JV Spek LTD inayojenga mradi mkubwa wa bomba la mafuta kutoka nchini Uganda hadi Tanga nchini Tanzania wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Igunga wakikabiliwa na shtaka la wizi wa lita 7, 441 za mafuta ya dizeli yenye thamani ya Sh20 milioni.

Mbele ya Hakimu mfawidhi wa Wilaya Igunga, Ludia Ilunda, washtakiwa kwa pamoja wanadaiwa kutenda kosa hilo katika siku tofauti kati ya Mei 01, 2023 na Juni 18, 2023 wakiwa maeneo ya Kata ya Nanga Wilaya ya Igunga mkoani Tabora.

Akisoma hati ya mashtaka leo Julai 3, 2023, Mwendesha Mashtaka wa Polisi, Ellymajid Kweyamba amewataja washtakiwa kuwa ni waongoza mitambo Ally Said (36), Samwel Mtenga (35), Awadh Mrango (36) na Zuberi Pastory Ally ( 41) ambaye ni dereva.

‘’Wakiwa waajiriwa wa Kampuni ya JV Spek LTD ambayo ni mkandarasi wa ujenzi wa mradi mkubwa wa bomba la mafuta kutoka nchini Uganda hadi Tanzania, washtakiwa waliiba lita 7, 441.94 za mafuta ya dizeli yenye thamani ya Sh20.093 milioni na kuisabababishia hasara kampuni hiyo,’’ amesema Kweyamba

Amesema washtakiwa wote wanne walitenda kosa hilo kinyume na kifungu 258 (1) 271 cha Kanuni ya Adhabu Sura ya 16 mapitio ya mwaka 2022.

Washtakiwa wamekana mashtaka dhidi yao na shauri hilo kuahirishwa hadi Julai 31, 2023 itakapotajwa kwa ajili ya usikilizwaji wa awali baada ya upande wa mashataka kuieleza Mahakama kuwa upelelezi wa kesi hiyo tayari umekamilika. Washtakiwa wapo nje kwa dhamana ya Sh5 milioni kwa kila mmoja.

MWANANCHI
hao sasa ndio wahujumu uchumi. wabongo ndio maana hatuaminiwi na wazungu.
 
Sisi hata tulipweje, wengi tumekaa kipigaji, hofu ya Mungu hatuna.
Ndugu sikiliza, ukikuta mshahara wa dereva hauzidi laki7,lazima akupige mafuta,wengine wanalipwa mpaka laki3...hebu hawa watu wape milion 2 kama salary uone kama wataiba! Unamnyima mtu hata milion 1.5 halafu unamlipa laki 4,kisha anakuibia mafuta ya milion huoni ni ujinga,ghalama ndo hizo hizo ambazo mwajiri hazijui kwa sababu haoni kama anaibiwa...anacho hitaji Manager,sijui Director ndiyo hicho hicho anachotaka dereva au project facilitater ,watu waache dhuluma za jasho la watu,sawa mtu anaweza kua ni wa Chini ofisini lakini anafanya kazi,mbona wazungu wao wanaheshimu hilo,na wwanathamini mtu anahitaji kitu sawa na wao,kisha wanamlipa mtu kwa kigezo cha kwamba naye ni kiungo ktk kazi bila yeye wao hawawezi,wanamheshimu,wanampa kinacho mtia moyo, sisi tunashindwa nini?

Unakutana na mtu anakunja mshahara milion 8, dereva wake anakunja laki4

Acha waibiwe
 
Back
Top Bottom