walipeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    TANESCO na Serikali walipeni watu fidia wahamishwe Rufiji. Bwawa la Umeme ni muhimu. Kila Mtanzania achangie fidia kwa kuongezewa 1000 kwenye Luku

    Bwawa la umeme Rufiji ni muhimu sana kwa nchi nzima. hivyo tunapaswa wa Tanzania wote kulilinda bwawa lisibomoke kwa kuchangia pesa za fidia ya kuhamisha watu wote wa rufiji maana umeme tunautaka wote Tanzania nzima Hali ya rufiji ni mbaya. nawaza tu kwa nini serikali isiwahamishe wakazi...
  2. Erythrocyte

    Tanga: Milioni 21 waliyoiomba Wazee kwa ajili ya Tambiko yakwamisha Ujenzi wa Barabara

    Hii ndio Taarifa mpya kutoka Kijiji cha Kwa Msisi Mkoani Tanga ambapo imeombwa kwanza hela ya Tambiko mil 21 ili ujenzi wa barabara unaohusisha ukataji wa miti uendelee. Tambiko la pili litafanyika baada ya barabara hiyo kukamilika ambapo wazee watafanya dua maalum. Juhudi za Mkuu wa Wilaya...
  3. T

    AIBU: Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam walipeni wafanya usafi wa Soko la Ilala, hali ya soko ni mbaya

    Habari zenu wakuu! Siku ya jana nilifanikiwa kupita mitaa ya Soko la ILALA, jijini Dar-es -salaam,maarufu kwa uuzaji wa mbogamboga na matunda. Nilikuta hali ya usafi wa soko hilo ni mbaya kabisa kiasi kuhatarisha afya za wauzaji na wanunuzi wa bidhaa za matunda na mboga mboga. Yapata miezi...
  4. Johnson Alex Otieno

    Halmashauri ya Bukombe walipeni watumishi madeni yao ili tupate matokeo chanya

    Salaam wana jukwaa, Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uzima na afya njema, pia niwashukuru watumishi wote nchini Tanzania kwa kuendelea kujenga Taifa letu bila kujali kadhia mnazokumbana nazo toka kwa wakuu wenu wa vitengo na wengine wengi waliopewa mamlaka ya kusimamia...
  5. Shark

    NBS acheni dhuluma, walipeni Makarani hela zao

    Kwema Wakuu, Semina Kwa Makarani wa Sensa imeanza Jana. Makarani wameshaanza mafunzo, na mdogo wangu ni mmoja wao akiwa anafanyia Mafunzo yake chuo cha Ustawi wa Jamii. Sasa toka jana wanapigwa kalenda juu ya fedha zao za Mafunzo, Chakula na za Kujikimu. Hawajalipwa za Jana na za Leo pia...
  6. Twasha

    TANESCO Mtwara, walipeni vibarua posho zao kwa wakati

    Kilio cha vibarua kufanyishwa kazi ngumu badala yake kutolipwa kwa wakati posho zao. MKOJO WA MBWA) Wahusika fuatilieni then wasaidieni ndugu zetu.
Back
Top Bottom