haki za msingi

 1. Kaka Pekee

  Mnajificha katika hoja ya ushoga ehh? jibuni nondo hizo

  Watanzania tusikubali propaganda za kijinga hizi.!!! Tamko la bunge La ulaya lina hoja nyingine zaidi ya 14 tofauti na ushoga, watu kupigwa risasi na kukosekana uchunguzi,watu kupotea na kukutwa kwenye viroba,sheria ngumu ya mitandao,chaguzi na wapinzani kunyanyaswa,kufunguliwa kesi za kisiasa...
 2. Lancanshire

  Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

  Habari za muda mabibi na mabwana! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora. Karibuni kwa maoni yenu. ====
 3. shirima-wa-pili

  Zifahamu Haki zako za msingi kabla hujakamatwa na polisi

  Zifahamu haki zako za msingi kabla hujakamatwa na police, Polisi atapokuambia upo chini ya ulinzi, unahaki ya kumwambia usinizingue. Police atapo kupiga kibao,unahaki ya kumpiga dumi,mateke nk. Kufikia kumpiga police atakua na haki ya kikatiba na sheria kukuvunja mbav n.k tii bila shurt
 4. Bams

  Haki Hupiganiwa na Kulindwa, Haiombwi

  Nayakumbuka maneno ya Hayati Mwalimu Nyerere pale Chuo Kikuu cha DSM siku alipoalikwa na uongozi wa wanachuo. Wakati ule kulitokea kipindupindu maeneo ya Mtwara. Serikali haikununua dawa kwa sababu haikuwa na hela. Hivyo serikali ikaagiza wananchi wazingatie usafi. Watu wakaendelea kufa na...
Top Bottom