usafiri

  1. B

    Treni yaleta ‘kilio’ usafiri wa mabasi Dar - Moshi

    Kurejea kwa usafiri wa treni ya abiria kati ya Dar es Salaam na Moshi baada ya kupita miaka 25, kumetingisha usafiri wa mabasi kwenda mikoa ya kaskazini kutokana na idadi ya abiria kudaiwa kupungua. Kwa kawaida kila mwishoni mwa mwaka huwa kuna mahitaji makubwa ya usafiri wa abiria wa kuelekea...
  2. elivina shambuni

    Abiria wafurahia usafiri wa treni Moshi - Dar

    Ijumaa Desemba 6, 2019 treni ya abiria itakayokuwa ikitoa huduma ya usafiri kati ya Dar es Salaam na Moshi, mkoani Kilimanjaro ilirejea baada ya kupita miaka 25. Treni hiyo yenye mabehewa manane iliondoka Dar es Salaam Ijumaa saa 10 jioni ikiwa na abiria 263 na 24 walipandia njiani. Ilifika...
  3. Nyendo

    Mgomo mkubwa kuhusu pensheni waathiri usafiri Ufaransa

    Ufaransa imeathiriwa na mgomo mkubwa ambao unafanyika leo wa wafanyakazi katika sekta ya usafiri wa umma. Treni nyingi hazifanyi kazi, shule zimefungwa na wasimamizi wa mnara wa Eiffel wametoa onyo kwa wageni kutozuru eneo hilo; kufuatia maandamano na mgomo dhidi ya mpango wa serikali kuufanyia...
  4. J

    Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wamemshukuru Rais Magufuli kwa kuwarejeshea usafiri wa treni kwa nauli nafuu ya sh 16,000 tu

    Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wameishukuru serikali ya awamu ya 5 hususani mh Rais Magufuli kwa kuwarejeshea Huduma ya usafiri wa treni uliosimama kwa zaidi ya miaka 20. Wananchi hao wamesema sasa wana uhakika wa kwenda kula Krismas na mwaka mpya huko Moshi kwa sababu NAULI ya sh 16,000 kwa...
  5. S

    Adha ya usafiri wa umma jijini Dar-es-salaam:Serikali iruhusu magari aina ya Noah yatumike kubebea abiria mida ya asubhuhi na jioni

    Kutokana na kero ya usafiri katika jiji la Dar-es-Salaam kwa wanaotumia usafiri wa umma(daladala na yale mabasi ya mwendokasi),nashauri serikali ije na mkakati wa muda mfupi wa kuruhusu gari ndogo aina ya Noah zitumike kusafirisha abiri nyakati za asubuhi na jioni ili kuondoa adha ya watu kutaka...
  6. Analogia Malenga

    TRC yatangaza kurejesha huduma za treni ya abiria kutoka Dar kwenda Moshi

    Shirika la Reli Tanzania, TRC linawatangazia watu wote kuwa safari za treni la biria kutoka Dar kuelekea Moshi zitarejea rasmi mwanzoni mwa mwezi Desemba mwaka 2019 Nauli Dar - Moshi inategemewa kuwa ifuatavyo: - Daraja la tatu Tsh. 16,500 - Daraja la pili kukaa Tsh. 23,500 - Daraja la pili...
  7. M

    Hivi usafiri wa Dodoma - Dar usiku ulishaanza?

    Naomba kufahamu taarifa hii. Kuna kipindi ilisemekana mabasi yameruhusiwa kusafiri usiku. Je Dodoma - Dar upo? Ni saa ngapi na magari gani yanaroute hiyo? Nawasilisha.
  8. lucky lefty

    Oyaa Tax - usafiri wa bei nafuu na haraka Kisiwani Zanzibar

    Kwa mara ya kwanza nchini Zanzibar, Kampuni ya OYAA TECHNOLOGIES LIMITED Imetuletea wakazi wa Zanzibar huduma ya Taxi al maarufu kama OYAA TAXI. Mfumo huu ni kama mifumo mingine iliyozoeleka huko Bara na duniani kwingine kama Taxify,Ping na Uber. Ni huduma ya nafuu na haraka hasa ukizingatia...
  9. Tanzanianiano

    Usafiri wa Basi from Dar es Salaam to Johannesburg

    Habari wanaJF, Nipo na plan ya kusafiri Dar -Jo'burg kwa bus. Naomba msaada kufahamu yafuatayo: Safari inachukua siku ngapi? Route ipi ni the best kati ya kupitia Lusaka au lilongwe? Nauli ni bei gani, kampuni ipi ya mabasi ipo vizuri? Na kingine chochote cha kuzingatia kwenye safari.
  10. D

    MADEREVA WA UBER ,TAXIFY NA ROVA.

    Madereva wenye uzoefu na kazi na wanaoijua kazi wanapatikana kwa wakazi wa Dar es salaam SIFA ZAO ★Wanajua ufundi wa magari ★Wamepitia mafunzo ya udereva ★Hawana rekodi mbaya ya kutokamilisha hesabu ★wastaarabu ★Wasafi Wasiliana na sisi tunguunganishe moja kwa moja na dereva kupitia Email hapo...
  11. Kipilipili

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Habari wana jukwaa, Kumekuwa na ongezeko kubwa la wafanyabishara kutoka Tanzania kwenda China kufanya biashara mbalimbali kama nguo, vipuri vya magari na pikipiki, vifaa vya electronics nk. Najua kuna thread nyingi zimewahi kuzungumzia biashara za China, lakini nimuombe mkuu Invisible...
Back
Top Bottom