MADEREVA WA UBER ,TAXIFY NA ROVA.

D Vice

Member
Sep 24, 2018
35
95
Madereva wenye uzoefu na kazi na wanaoijua kazi wanapatikana kwa wakazi wa Dar es salaam

SIFA ZAO
★Wanajua ufundi wa magari
★Wamepitia mafunzo ya udereva
★Hawana rekodi mbaya ya kutokamilisha hesabu
★wastaarabu
★Wasafi

Wasiliana na sisi tunguunganishe moja kwa moja na dereva kupitia Email hapo chini.

jobsfacilitators@gmail.com

Kwa gari ya mkataba hesabu yake ni Tsh 175,000/= kwa wiki.nahuduma zote za service zitafanya dereva . Kwa mda wa mwaka mmoja na nusu (pia itategemea na hali ya gari kwa mda huo) baada ya hapo gari inamilikishwa kwa dereva. Kwa mda huo mwenye gari utakuwa umeshapatiwa jumla ya kiasi cha Tsh13,000,000/=.

Kwa gari ya hesabu .hesabu yake ni Tsh175,000/= kwa wiki. Huduma ya service itafanywa na mmiliki wa gari isipokuwa pancha na upepo wa tairi.Hii haina mda maalumu wa ukomo.

Gari zinazohitajika ni Ist,passo,vitz,Ractis,Raum,Ipsum na zingine ndogo ndogo

Wasiliana na sisi kupitia Email hapo chini. Tukuunganishe moja kwa moja na madereva wetu.

jobsfacilitators@gmail.com

Asante.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom