usafiri

  1. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Ukienda kwenu huwa unatumia usafiri gani?

    Siku ukisema unasafiri kwenda mkoani kwenu ni usafiri gani huwa unatumia usafiri gani?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji usafiri wa mizigo kutoka Himo mpaka Kisongo Arusha

    Habari wakuu. Nahitaji usafiri wa mizigo kutoka Himo mpaka Kisongo Arusha. Mzigo wa tani Moja ukiwa kwenye magunia au viroba. Naomba price quote. Ni biashara endelevu.
  3. V

    JamiiForums Tanzania Hili nalo mkalitazame

    Imagine tunatoka stendi Arusha asbuhi ya leo mida ya saa Moja, masela flani mid 40s wamekaa siti ya nyuma hapa, wamenunua keki maeneo ya Arusha wakaanza kubonya nkasema sio kesi maybe wamemiss breakfast kutokana na situasheni mbali mbali nkaona unyama wanaume kazini,gari ikafika manyara mzani...
  4. Sambinyakwe kitololo

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada juu ya kuagiza Alibaba, bila kutumia njia zao za usafiri

    Nimekuwa nikiagiza mizigo AliExpress kwa muda Sasa ,, nataka tumia alibaba kwa baadhi ya mizigo Nimechat na seller kanitumia link na nili inquiry logistics company akanipa cheapest Ni Dola 30USD Njia za Alibaba zinaonekana Ni fast Sana Ila Zina Bei Sana Nasikia Kuna silent ocean nisaidieni...
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania Tanga, mafunzo ya huduma baada ya mimba kuharibika (CPAC) yamepunguza gharama za usafiri kwa wagonjwa

    Mafunzo ya huduma baada ya mimba kuharibika Comprehensive Post Abortion Care (CPAC) yanayotolewa na Serikali kwa kushirikiana na baadhi ya taasisi zisizo za Kiserikali, Marie Stopes Tanzania yametajwa kupunguza gharama za usafiri kwa wateja katika kuitafuta huduma hiyo. Mbali na kupunguza...
  6. kwenda21

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na Spika Tulia Ackson suala la mabasi kusafiri usiku

    MABASI KUTEMBEA KWA SAA 24 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson ameishauri Wizara ya Mambo ya Ndani kuangalia upya amri inayokataza mabasi ya abiria kutembea barabarani baada ya saa 6 usiku. "Nafikiri hili jambo nimewahi kulisemea mahali pengine, ni muhimu Serikali...
  7. benzemah

    JamiiForums Tanzania TRC yasitisha safari za treni kutoka Dar es Salaam Kwenda bara kutokana na mvua zinazoendelea

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuufahamisha umma juu ya kusitishwa kwa huduma ya usafiri wa treni ya abiria inayotoka Dar es Salaam kuelekea mikoa ya bara (Dar es Salaam, Morogoro, Dodoma, Tabora, Mwanza, Mpanda na Kigoma) kuanzia tarehe 28.03.2023. TRC imesitisha utoaji wa...
  8. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya mabasi Esther Express yaingiza mabasi mapya 19 nchini

    Ndugu zangu naomba nitoea pongezi kwa kampuni ya mabasi Ester Express kwa kusikia kilio cha wasafiri hapa nchini. Kampuni hii imeingiza mabasi mapya ili kurahisisha usafiri hasa mikoani. Hongereni sana.
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ujerumani yatikiswa na mgomo mkubwa wa usafiri wa Umma

    Mamilioni ya wasafiri nchini Ujerumani leo Jumatatu wanalazimika kutafuta njia mbadala ya usafiri baada ya kushuhudiwa kwa mgomo katika sekta ya uchukuzi. Viwanja vya ndege,vituo vya mabasi na treni njia za majini kote nchini vinatazamiwa kuwa vitupu kufuatia mgomo huo unaotajwa kuwa mkubwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu arejesha tena usafiri wa "Mchomoko" Simiyu

    Sasa ni rasmi ile biashara ya Magari madogo kubeba abiria katika mkoa wa Simiyu maarufu kama Mchomoko, imereja rasmi baada ya tarkibani miezi tisa tangu yazuiliwe kufanya kazi hiyo ndani ya mkoa huo. Hiki ni kicheko na furaha kubwa kwa wananchi wa mkoa wa Simiyu hasa vijana ambao walikuwa...
  11. KENGE 01

    JamiiForums Tanzania Biashara ya GPS Tracking system installation kwenye vyombo vya Usafiri

    Na kenge, Hakuna biashara ngeni lakini unaweza kuifanya bila kuwa na mtaji mkubwa na bila taaluma kama IT au ufundi gereji kama wengi wanavyodhani. UTAFANYAJE? Wizi wa vyombo ni tatizo kote duniani sasa kama ni Jobless na unatafta pakuanzia unaweza kutafta mtaji wa kuanzia LAKI 5 NA...
  12. TZ-1

    JamiiForums Tanzania Tunaomiliki usafiri na kukerwa na ambao tunawabeba lakini hawabebeki

    Habari wadau, poleni kwa namna mambo yalivyo sasa maisha magumu na agenda za kipuuzi ambazo shetani anataka kuingiza katika maisha ya binadamu sisi. Hapa naendelea wakati tunaishi na kujarbu kutatua changamoto zetu za maisha kama kujenga na kumiliki usafiri ambao utatoa point A kwenda point B...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Anayekwenda Moshi mchana kwa usafiri binafsi toka Dar jumatatu ijayo tuwasiliane

    Habari wakuu, Kama kuna yeyote anayesafiri kwa usafiri binafsi (Noah au gari nyingine yenye nafasi ya kutosha) kutoka Dar kwenda Moshi mchana kuanzia saa tisa siku ya jumatatu tarehe 20/03/2023 na ana nafasi ya watu wawili tafadhali tuwasiliane inbox. Shukran.
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Oliver Semuguruka arahisisha usafiri kuwafikia wanaccm mkoa wa Kagera

    MBUNGE OLIVER SEMUGURUKA ARAHISISHA USAFIRI KUWAFIKIA WANACCM Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kagera CCM Mhe. Oliver Semunguruka ametoa Pikipiki 8 kwa Makatibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwa Wilaya zote za kichama mkoani Kagera. Mhe. Oliver amesema kuwa amefikia hatua hiyo...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Mtwara na Mnivita walamba asali, serikali ya Rais Samia inaendelea kutekeleza ahadi zake

    Baada ya mateso ya muda mrefu kwa wananchi wa Mtwara na Mnivita kutokana na changamoto ya ubovu wa barabara, serikali sikivu ya Dkt. Samia Suluhu Hassani imetatua changamoto hiyo kwa kamilisha ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilomita 50km kwa kiwango cha lami. Lengo la serikali ni...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Uber yarejea kutoa huduma za usafiri Dar

    Kampuni ya huduma za usafiri kwa njia ya mtandao ya Uber Limited, imetangaza kuresha huduma zake rasmi baada ya kuisimamisha huduma hiyo tangu Aprili 2021. Kampuni hiyo hiyo iliyositisha huduma zake Aprili 2022, ikipinga kanuni mpya za usafiri wa teksi mtandaoni zilizotangazwa na Mamlaka ya...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Msaada usafiri kutoka Morogoro kwenda Butiama

    Wakuu kama title inavyosema, nahitaji kusafiri kutoka Morogoro kwenda Butiama karibu na chuo cha Mwalimu Julius Nyerere University of Agriculture and Technology, kwa anayefahamu bus ninalotakiwa kupanda, pamoja na routes za kupitia kufika hapo naomba anisaidie please🙏.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe dunia inaweza kuwa na njia fupi (shortcut) tukaachana na usafiri wa ndege

    Ikiwa sasa unatumia saa 17 hadi 20 angani kwa ndege kusafiri umbali mrefu mataifa kwa mataifa! Ipo siku wataalam watafanikisha kupata njia nyepesi ya kuitembelea dunia kwa muda mfupi sana wa dakika 20 hadi 25 tu Nitaieleza dunia kwa mfano wa chungwa! Kama tulivyowahi kujifunza huko zamani shule...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inashindwa kudhibiti upandaji nauli holela mwisho wa mwaka?

    ABIRIA wanaosafiri kwenda mikoani hususani mikoa ya Kaskazini wamelalamikia utaratibu unaofanywa na mawakala wa mabasi kwa kukataa kuwakatia tiketi za siku mbili au tatu kabla ya kusafiri na kuwataka wafike siku hiyo hiyo ya safari. Abiria anayetaka kukata tiketi ya siku mbili au tatu kabla ya...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Usafiri mtandaoni

    Jamaniiiii eh Nina plan ya kuanzisha usafiri mtandaoni ambapo kutakuwa na App ambayo mteja ataingia na kuchagua au kupata dereva. Mfano kama wanavyo fanya ping Utaratibu huwa upoje
Back
Top Bottom