taxi

A taxicab, also known as a taxi or a cab, is a type of vehicle for hire with a driver, used by a single passenger or small group of passengers, often for a non-shared ride. A taxicab conveys passengers between locations of their choice. This differs from other modes of public transport where the pick-up and drop-off locations are decided by the service provider, not by the passenger, although demand responsive transport and share taxis provide a hybrid bus/taxi mode.
There are four distinct forms of taxicab, which can be identified by slightly differing terms in different countries:

Hackney carriages, also known as public hire, hailed or street taxis, licensed for hailing throughout communities
Private hire vehicles, also known as minicabs or private hire taxis, licensed for pre-booking only
Taxibuses, also come in many variations throughout the developing countries as jitneys or jeepney, operating on pre-set routes typified by multiple stops and multiple independent passengers
Limousines, specialized vehicle licensed for operation by pre-bookingAlthough types of vehicles and methods of regulation, hiring, dispatching, and negotiating payment differ significantly from country to country, many common characteristics exist. Disputes over whether smartphone-based ride hailing services should be regulated as taxicabs has resulted in some jurisdictions creating a new classification called transportation network company.

View More On Wikipedia.org
  1. African Geek

    Ni mbinu gani zinatumika kutega abiria wa taxi mtandaoni (Bolt, Uber, Faras)?

    Wakuu, habari za muda huu. Ningeomba kujuzwa na wataalamu wa hizi kazi za taxi mtandaoni, namna gani ya kupata abiria wengi. Mimi ni mgeni kwenye hizi kazi na ningependa kupata walau abiria 10 kwa siku. Je, nifanye kazi muda gani, siku gani na maeneo gani ili niweze kunasa abiria kwa urahisi...
  2. Selwa

    Biashara kukodisha magari Mbeya na taxi

    Ataenzisha biashara ya Uber au Bolt Mbeya atapata pesa sana, pamoja na magari executive ya kukodisha. Mimi kila nikiwa na kazi kule inagharimu ofisi yangu million 5 kusafirisha dereva na magari mabosi yaende kule ili kuwazungusha, sasa sisi wafanyakazi wengine tukifika tunabaki hohe hahe...
  3. Analogia Malenga

    Nani ameweka hizi bei elekezi za taxi pale Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere?

    Mbali na uwepo wa taxi mtandao kama Uber, bolt nk, bado Watanzania tuko nyuma ya muda. Karne ya 21. bado tunakomaa na namna ya zamani ya kufanya biashara. Sisemi kwamba watu wafanye taxi kizamani, kwa kuwa kuna maeneo madereva wa taxi mtandao hawataki kwenda. Hata hivyo, walioweka bei hizi...
  4. N

    Mimi ni dereva wa taxi mtandao, natafuta gari ya mkataba

    Habari ndugu zangu, mimi ni dereva wa tax mtandao natafuta gari ya mkataba au hesabu kwaajili ya kazi za abiria kupitia application za uber, bolt, indrive na nyinginezo. Kwa mawasiliano 0786168340
  5. M

    Toyota Crown Japan Ni taxi

    Tunakumbushana tu kuwa Toyota crown Japan ni taxi tu. So tupunguze shobo na kuvimba bila sababu.
  6. T

    Bodaboda ni ajira China na nchi nyingine. Ni aibu kwa Lissu kama kiongozi kupotosha Umma

    Wengine wanafikiri bado tupo kwenye zile zama za ulimbo na ulimbombo, zile zama za kuambiwa Jambo na kukubali bila kujiridhisha. Wanaofanya hivyo wanatambua watanzania ni wavivu sana wa kutafuta ukweli hivyo lolote analosema linabebwa kama lilivyo. Kitendo Cha Lissu kusema China hakuna...
  7. BARD AI

    Tanzania kuanza kutumia Mita za Nauli kwenye Taxi

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu (LATRA) imepanga kufunga mita za kielektroniki kwenye Teksi ambazo zitawawezesha wateja kulipa nauli kulingana na umbali waliosafiri. Vifaa hivyo vipya vya kiteknolojia vinatarajiwa kufungwa kwenye magari hayo kabla ya Juni 2023, hatua...
  8. sky soldier

    Simba acheni uongo, jana mmecheza na kikosi cha madereva taxi wa timu ya Ismail, timu kuu ilicheza ligi kuu

    Ismailia Wamecheza Jana mechi ya ligi ya kwao, leo mnawapiga fix mazuzu wenu mlionunua klabu yao milele kwa bilioni 20 za kwenye bango,,Eti mmecheza nao mechi. Nyieeee, Yaan Jana wacheze mechi ya ligi tena away,,kisha leo mcheze nao mechi ya kirafiki? Kuweni Serious, Waambieni ukweli Wafuasi...
  9. moneymakerman

    MGOMA WA MADEREVA TAXI MTANDAO ( UBER, BOLT)

    Kuna mpango wa kugoma kutoa huduma za Uber na Bolt inayotarajiwa kufanyika tarehe 13/12/21 siku ya Jumatatu. Sababu zikiwemo 1. Kukatwa 20% - 30% ya mapato ya safari. 2. Bei ya nauli kuwa cha chini sana, Sh450 kwa km. 3. Madereva kufungiwa account zao bila kusikilizwa wakati wao wakilalamika...
  10. MK254

    Turkana start-up Nawi takes on digital taxi hailing giants

    For the longest time, the mention of Turkana would conjured images of poverty, perennial droughts, and insecurity. It was the perception created after decades of starving the vast county of resources necessary to spur development. It was therefore unsurprising that as other regions were...
  11. L

    Eneo la club Billicanas sasa ni stendi ya taxi au nimekosea?

    Maisha yanaenda kasi sana. Sikwenda mjini kwa miaka kadhaa hasa baada ya kuhamia uswekeni huku Goba. Juzi kati nikasema ngoja nikaoshe macho kidogo kwenye jiji la Ilala (zamani Dar es Salaam). Nilipofika jirani na RITA sikuamini nilichokiona. Ilipobomolewa club ya mwenyekiti nilijua kutakuja...
  12. J

    LATRA yapiga marufuku Taxi kutumika kama daladala Chato, wenyewe wasema ni ushindani wa soko!

    Mamlaka ya usafiri wa ardhini Latra mkoani Geita imepiga marufuku magari madogo yaani Taxi kubeba abiria kama daladala Afisa wa Latra amesema leseni za magari madogo haziwaruhusu kubeba abiria kama daladala. Nao wamiliki wa magari madogo wamesema wanalazimika kutumia utaratibu huo kwa sababu...
  13. Infantry Soldier

    Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chase Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo

    Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chaser Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo. Sasa ni karibia mwezi wa saba huu tangia nianze biashara hii ya kuendesha Taxi bubu. Nilianza mwezi wa tano (May) mwaka huu wa 2020. Biashara imekuwa...
  14. B

    Dereva taxi aliyemchukua ambaye sasa ni mgonjwa wa Corona, hana corona

    Kumbe dereva taxi alimchukua abiria huyu tokea KIA moja kwa moja hadi Arusha hotelini. Tokea hotelini alikwenda nyumbani kwake ambako ana mke na watoto 4. Wote hawa alishikana nao mikono. Tokea nyumbani siku hiyo hiyo akapata abiria 2 kuwapeleka Karatu. Huko kuna shule ya watoto yatima ambako...
  15. lucky lefty

    Oyaa Tax - usafiri wa bei nafuu na haraka Kisiwani Zanzibar

    Kwa mara ya kwanza nchini Zanzibar, Kampuni ya OYAA TECHNOLOGIES LIMITED Imetuletea wakazi wa Zanzibar huduma ya Taxi al maarufu kama OYAA TAXI. Mfumo huu ni kama mifumo mingine iliyozoeleka huko Bara na duniani kwingine kama Taxify,Ping na Uber. Ni huduma ya nafuu na haraka hasa ukizingatia...
Back
Top Bottom