• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

dom

  1. KYALOSANGI

    Hivi usafiri wa Dodoma - Dar usiku ulishaanza?

    Naomba kufahamu taarifa hii. Kuna kipindi ilisemekana mabasi yameruhusiwa kusafiri usiku. Je Dodoma - Dar upo? Ni saa ngapi na magari gani yanaroute hiyo? Nawasilisha.
  2. N

    Married But Available itanimaliza ,ushauri wenu wadau....

    Dah...haya mambo ya kuhamishiwa mkoani Dom huku familia zetu tumeziacha Dar , yana changamoto sana...yaani hii kauli ya 'ofcourse I am married but some how available' nimeshakutana nayo zaidi ya mara tatu tangu nihamie Dodoma ni toka kwa akina mama/wanawake wenye ndoa zao lakini wamehamishiwa...
Top