Hivi usafiri wa Dodoma - Dar usiku ulishaanza?

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,163
9,373
Naomba kufahamu taarifa hii. Kuna kipindi ilisemekana mabasi yameruhusiwa kusafiri usiku.
Je Dodoma - Dar upo? Ni saa ngapi na magari gani yanaroute hiyo?

Nawasilisha.
 
Kama sijakosea walimaanisha, ni kwa magari ambayo yalishaanza safari na Giza likawakuta njiani wanaruhusiwa kumalizia safari yao. Lakini sio kuanza safari usiku.
Kenge alisema ni kusafiri 24hrs na kufanya biashara
Alimaanisha unaweza toka mwanza saa moja usiku kwa mfano ukaenda dar kwa bus
 
Back
Top Bottom