Mara nyingi tunasikia taarifa kuhusu ukuaji wa uchumi, ongezeko la uwekezaji na maendeleo ya miundombinu nchini. Hata hivyo, baadhi ya wananchi bado wanaendelea kulalamikia gharama za maisha, bei za bidhaa na changamoto za kipato.
Je, ukuaji wa uchumi unaonekana moja kwa moja katika maisha ya...
Serikali imesema uchumi wa Tanzania unaendelea kuimarika na kwamba uwekezaji katika sekta mbalimbali, hususani madini, gesi, nishati, kilimo na miundombinu, unatarajiwa kutoa msukumo mkubwa kwa ukuaji wa uchumi.
Hayo yalielezwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), wakati...
SEHEMU YA KUMBUKUMBU YA RAIS MKAPA: MIAKA 6 TANGU ATUAGE
Anaandika Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), Bw. David Kafulila, kupitia mtandao wa X.
Na David Kafulila
Julai 24, 2026
Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Fedha Duniani (IMF), ukubwa wa...
Kuna watu wakishaona Tanzania imeanza kujijenga kiuchumi basi nao wanaanzisha program za kula ili mradi watu wasipate ajira, MIRADI ya maendeleo isiwepo, watumishi wasiongezewe mishahara, ili wapate hoja ya kulalamikia.
Nadhani kwa mtu anayejua athari za wale panyaroad wa chadema hawezi...
CHADEMA nataka niwape sababu mojawapo kwa nini CCM katika kipindi hiki hawatakubali kwa njia yeyote kuachia madaraka.
CCM wanajua sana kwamba ndani ya miaka 10 ijayo, uchumi wa Tanzania unaweza kufikia kiwango cha nchi kama Afrika Kusini na kina Misri. Na hili linatokana na kwamba ndani ya...
Tanzania iko mbioni kupokea mkopo wa takriban shilingi trilioni 1.165 kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), baada ya Bodi ya Wakurugenzi ya shirika hilo kukamilisha tathmini ya mwisho ya utekelezaji wa programu za mageuzi ya kiuchumi nchini.
Fedha hizo zitatolewa kupitia Mpango wa Mkopo...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi amesema hali ya nchi ni salama akiwashukuru Watanzania kwa kutunza amani.
Waziri Katambi ameyasema hayo alasiri ya leo Jumanne, Julai 7, 2026 baada ya kujionea hali ya usalama wa jijini Dar es Salaam ikiwa ni kufuatia tishio lililokuwa likisambaa...
Nikitumia concept ndogo sna ya kiuchumi ya money supply na inflation
Kwa bahat mbaya sna serkali hii katili imeshindwa kudhibiti mfumuko wa bei sas kitacho tokeaa by 2027 serkali itadondoka siyo kwa sabbu ya upinzani bali kwa kishindwa kuzibiti uchumi hal itakuwa mbaya sna hakuna mtu atatak...
Wakuu Za Wakati Huu Na Hongereni Na Majukumu Ya Ujenzi Wa Taifa Letu".
Awali ya Yote Sijajua washauri wa Uchumi Wa Taifa kwa Madam President ni kinani?ila Binafsi naona Move Tuliochagua Kama Taifa Sio sahihi Hasa Kuegemea Zaidi Upande wa China na Urusi kwasababu
1.China Ni Wazee Wa Loans Na...
Nyere alishidwa sehemu moja tu kwenye uchumi. Wakati wa nyerere Tanzania ilikuwa masikini na hakufanikiwa kuja na suluhu ya maana.
Sera na maazimio yake hayakufanikiwa ndiyo maana hadi leo Kenya nchi ndogo zaidi imetuzidi uchumi. Kuna watu wawili ambao angewasikiliza tusingekuwa hapa Edwin...
GT.
Na Malisa.
Wakati wa Magufuli IMF ilitoa takwimu kwamba GDP per capita yetu imepanda hadi $2,400 na tukaingia kwenye orodha ya nchi za uchumi wa kati (Lower middle Income). Leo IMF haohao wametoa takwimu kuwa GDP per capita imeporomoka hadi $1,300. Nini kimetokea?
Wakati ule tumeingia...
UCHUMI TANZANIA 2026
Januari 2026 unaonyesha kuwa uchumi wa Tanzania upo katika kipindi muhimu cha mpito, ambapo ukuaji wa jumla wa uchumi ni imara, lakini kuna changamoto za kimuundo katika upatikanaji wa ajira na usambazaji wa matunda ya ukuaji huo kwa wananchi wa kawaida.
Huu hapa ni...
kutokana na projection za IMF uchumi wa tanzania ulikadiriwa kukua kwa 7-8% wakati mwaka unaanza: Mwaka wa 2023 kwenda 2024 GDP ilikua $70-$75B lakini mpaka mwisho wa mwaka huu GDP yetu ni ~$90B, ukuaji mzuri sana huu, maaana yake mpaka mwisho wa mwaka 2026 kama ukuaji utakua huu huu basi...
Baada ya Donald trump kuzishutumu nchi za Ulaya kwa kukosa uongozi Bora kitendo ambacho kimepelekea uchumi wa bara la ulaya kushuka.
Ulaya wamekuja na propaganda za kuzishutumu nchi kubwa Duniani kuwa zinaendeshwa kidikteta wakati uchumi wao wote wa ulaya unategemea nchini hizo, Ulaya haigusi...
Kwa wenye roho za kichawi si rahisi kunielewa hapa. Kwa wenye mtindio wa ubongo si rahisi kunielewa hapa.
Magufuli aliua uchumi wa Tanzania kwa kiwango kikubwa sana.
Kama angemaliza miaka 5 ya awamu ya pili angeua uchumi wa Tanzania kwa 90% mpa 100%.
Uchumi imara wa Taifa lolote unategemea...
Familia ya kikwete inamiliki uchumi wa Tanzania 1/3 .
Diaspora wengi jinsi ambavyo wamekuwa wakifanyiwa sabotage katika uwekezaji . kwa kunyimwa Vibali n.k
Hii ndo maana Diaspora hawataki kumsikia kikwete .
==Kuongezeka kwa rasilimali za sekta binafsi nchini kunatafsiri sera madhubuti za Rais Samia katika kukuza Uchumi shindani na jumuishi ,Mwaka 2020 thamani ya rasilimali zote za Serikali, Mashirika na Taasisi nchini Tanzania thamani yake ilifikia TZS 60.12Trilioni wakati rasilimali za sekta...
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Bi. Marianne Young ( Wa kwanza kushoto), akifuatilia kwa makini maelezo ya utendaji wa Kiwanda cha Bia cha Serengeti kilichopo Moshi, yaliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano kwa Umma wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Bw. John Wanyancha ( wa kwanza...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Ubia nchjni PPPC Bwana David Kafulila amesema ukuaji huu wa wa kasi wa Uchumi wa Tanzania 1unatokana na ukuaji wa Diplomasia Kimataifa.
Mkurugenzi Kafulila ametaja mambo manne ambayo ni muhimu kwenye kujenga Uchumi wa kisasa.
Kwanza, Mkurugenzi huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.