DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 40,485
- 99,223
Wakuu Natumai mmeamka vema kabisa.
Mgogoro Kati Bi. Jackline Ntulyabaliwe ( msanii k-lyn) na Familia ya marehem Biliionea mfanyabiashara Bw. Reginald Mengi (Mzee Mengi) umechukua sura mpya katika jamii yetu.
Yote hii inachangiwa zaidi na umaarufu waliokua nao Wote wawili.
Hapa tunaongelea Drama nzima Tangu walipoanza mahusiano yao mpaka Hatima ya hukumu ya mahakama hapo juzi.
Ilianza hivi
Wakakutana kwa Mara ya Kwanza kwenye msiba wa baba ake Jacky,wakapendana
wakachumbiana,
wakapata watoto mapacha,
starehe za hapa na pale uku mzee akatwiti updates za mahaba Moto Moto na caption kadhaa,
Mzee akaugua, matibabu hapa na pale.
Safari ya familia Dubai ,
Mzee akafariki akiwa dubai,
Mzee akazikwa kwao alikozaliwa machame,
ukasomwa usia wa marehemu,
Buku buku zikasomwa kwa watakaokaidi
Usia ukasema msimamizi wa mirathi atakua shemeji mtu (dada wa Jacky)
Usia ukasema na Mwanasheria nae atarithi, meneja nae atarithi.
Vugu vugu likaibuka na Usia ukakataliwa na wanafamilia.
Vuguvugu likaendelea, Watu wakaanza kuuza na kujimilikisha Mali za marehemu
kesi ikaenda Mahakamani.
Mahakama ikatoa amri, hamna kuuza Wala kuibadilisha umiliki wa Mali yoyote aioacha marehemu mpk kesi ya msingi itakaposikilizwa.
Kesi ikaendelea kusikilizwa, mazito yakaibuka
Mkuu wa mkoa akaibuka na mtizamo wake wake, Chama Cha wajane nacho kikaibuka kumtetea mjane mwenzao.
Jacky akazuiwa kufika kaburi la marehemu bila ruhusa.
Mahakama ikatoa hukumu na Familia Ikashinda kesi kwa sababu zifuatazo
Sahii ya marehemu ilifojiwa, ni tofauti na Sahii nyingine zilizo Kwenye nyaraka nyingine.
Usia haukufungwa Kwenye bahasha Wala kubandikwa seal yoyote.
Wakati Usia unaandikwa marehemu hakua sawa kiakili
Usia ulihifadhiwa na wanufaika wenyewe wamarathi.
Usia uliwabagua watoto wengine wa marehemu bila sababu za msingi.
Usia ulijumuisha Mali nyingine zisizo milikiwa na marehemu.
USia ukaonekana Ni Batili na kuamuliwa watoto wa marehemu na Kaka wa marehemu kusimamia mirathi upya.
KWA HAPO
ila nna imani hata uku mitaani yanatokea mara kwa mara.
Sema haitangazwi wala haijulikani Sana Sana Kama ilivyojulikana kwa wahusika maana wahusika kwa asilimia kubwa Ni vioo vya jamii.
Na kwa namna Moja ama nyingine,
Kupitia kwenye vioo vya jamii, jamii huweza kujifunza Mambo mbalimbali kwa manufaa ya jamii husika kwa Sasa au hata baadae.
Wewe Kama mwanaJAMIIFORUMS, Umejifunza Nini kutokana na hili Sakata zima?