Kati ya Marehemu Mengi na MO Dewji nani bingwa wa kusaka hela?

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,214
3,587
Kwangu mimi Mengi alikuwa na akili ya kutafuta hela kuliko MO.

Sababu zangu ni hizi:-

1. Mengi alitafuta mtaji kwa jasho lake. MO alizaliwa 1975 akakuta mtaji kwenye akaunti.

2. Mengi ni hustler aliyeanza kuuza karanga, kalamu na sare za shule. MO alikuta mali tayari zipo.

3. Mengi alikuwa na akili ya kutafuta. MO ana akili ya kuendeleza alichokikuta kimeishatafutwa tayari, hivyo MO yuko sawa na Rodney Mutie Mengi (deceased) lakini siyo Reginald Abraham Mengi.

4. Mengi alikuwa mtafutaji. MO ni muendelezaji.

5. Mengi alijua njia ya utafutaji kuanzia A - Z. MO anajua njia ya utafutaji kuanzia Z - Z (A - Y hajui).

6. Mengi hakuwa na godfather. MO alikuwa naye (Dewji).

7. Mengi hakuwa na influence kisiasa. MO amewahi kuwa mwanasiasa Mbunge Singida 2005 - 2015.

8. MO alikuta makampuni yapo tayari yanafanya kazi. Mengi alianzisha makampuni from scratch.

9. Mengi alifunua wazi njia aliyopitia. Njia ya MO ina usiri labda kwa sababu amepita njia ya mzazi wake (hana njia yake mwenyewe) ambayo labda wengi wanaifahamu.

10. Mengi alikuwa kidume kuliko MO. Mengi aligawana na maskini na wanaoishi na ulemavu.

Kwangu mimi Mengi alikuwa na akili ya kutafuta hela kuliko MO.

Tupe ufahamu wako.

fbe1bfc9e1589eb1.jpg
 
Unaniumiza kichwa tu mi nahangaikia laki moja ya mwenye nyumba.

Anyway Mengi is tha best of all time kwanza yeye ni Mtanzania halisi na mnajua ilivyo ngumu kwa mtoto wa kitanzania kutoboa kutoka na mtindo wetu wa uchumi.

Yaani uchumi mzima wa familia unamilikiwa na kuendeshwa na baba au mama pekee na watoto ni weupe kabisa.
 
Unaniumiza kichwa tu mi nahangaikia laki moja ya mwenye nyumba

Anyway Mengi is tha best of all time kwanza yeye ni mtanzania halisi
na mnajua ilivyo ngumu kwa mtoto wa kitanzania kutoboa kutoka na mtindo wetu wa uchumi.

Yaani uchumi mzima wa familia unamilikiwa na kuendeshwa na baba au mama pekee na watoto ni weupe kabisa.
Unamaanisha mtoto wa kitanzania mweusi hashirikishwi mali hadi wakati wa mirathi siyo?
 
Una makasiriko juu ya Mo mi naona, maana umeuliza swali kwenye title ya thread ila ndani ya thread umejipa majibu.

Ku-rise 100M$ hadi 3B$ sio kitu cha kubeza ni u-hustler pia

Anyway tupamabane juu ya mustakabali wa maisha yetu tuachane na story za watu
 
Kwangu mimi Mengi alikuwa na akili ya kutafuta ela kuliko MO.
Humjui late Mengi unaandika kishabiki bila kueleza mafanikio yake as a professional accountant! FYI by late 1970s to early 1980s alikuwa tayari managing partner wa Lyband Cooper iliyokuja ku-merge na ku-form PWC the first indigenous to partner n manage an auditing firm hata ukunyani hakukuwa na black Africans levels hizo! AND at the age of below 30 years!
 
Mkuu unatupa waswas na kiwango chako Cha akili ya utambuzi

Nakuachia dondoo kadhaa ambazo zitakusaidia ukipevuka akili

Hakuna aliyewahi kutoboa A___Z bila bila kushikwa mkono (hii huwa Ni siri na tunaishi kwa kutegemeana)

Unaweza kupewa laki uipandishe ifike million ndan ya miez 5 ukashindwa (Hilo pia lifikirie Mara mbili)

Unadhani MO ndiye kijana pekee aliyewahi kukua na kukuta hela kwenye bank account??? .kwann amekuw kinara au akitajwa sana kuliko wengne.

Ni vijana wangapi unaowajua waliwahi pewa mitaji au kuachiwa biashara baada ya kipind kifupi miradi ikafa, kwann

Unayajua maisha ya kuifanya 100 iwe 1000?

Nahitimisha kwa kukuuliza

Umeshawahi kukaa na MO akakuhadithia hustle alizofanya Hadi kuwepo pale? Ama Ni stroy tuu unasikia

Aliwahi kukaa na Mengi akakwambia aliwahi kuuza karanga Hadi kuwa tajiri vile na hakushikwa na mtu? au story tu unasimuliwa

WEWE HAPO KUNA ANAYEJUA NJIA ULIZOPITIA KUWEPO HAPO ULIPO?? NAMAANISHA ZILE (BLACK N WHITE)
 
Una makasiriko juu ya Mo mi naona....maana umeuliza swali kwenye title ya thread ila ndani ya thread umejipa majibu..


Ku-rise 100M$ hadi 3B$ sio kitu cha kubeza ni u-hustler pia


Anyway tupamabane juu ya mustakabali wa maisha yetu tuachane na story za watu

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Mawazo yako tunayaheshimu pia hata kama yamekosa uvuvio.
 
mkuu unatupa waswas na kiwango chako Cha akili ya utambuzi

nakuachia dondoo kadhaa ambazo zitakusaidia ukipevuka akili


*hakuna aliyewahi kutoboa A___Z bila bila kushikwa mkono (hii huwa Ni siri na tunaishi kwa kutegemeana)

*unaweza kupewa laki uipandishe ifike million ndan ya miez 5 ukashindwa (Hilo pia lifikirie Mara mbili)

*unadhani MO ndiye kijana pekee aliyewahi kukua na kukuta hela kwenye bank account??? .kwann amekuw kinara au akitajwa sana kuliko wengne.

*Ni vijana wangapi unaowajua waliwahi pewa mitaji au kuachiwa biashara baada ya kipind kifupi miradi ikafa ,kwann

*unayajua maisha ya kuifanya 100 iwe 1000???



nahitimisha kwa kukuuliza

** umeshawahi kukaa na MO akakuhadithia hustle alizofanya Hadi kuwepo pale?? ama Ni stroy tuu unasikia

** uliwahi kukaa na Mengi akakwambia aliwahi kuuza karanga Hadi kuwa tajiri vile na hakushikwa na mtu? au story tu unasimuliwa

**WEWE HAPO KUNA ANAYEJUA NJIA ULIZOPITIA KUWEPO HAPO ULIPO?? NAMAANISHA ZILE (BLACK N WHITE)
Upo sahihi
 
Umedanganywa Mengi ndo tajiri kaupata kirahisi bila ya kutumia nguvu na asingefika hapo.

Tambua kupitia CPA yake na alikuwa anafanya kazi ya kuajiriwa baadae Nyerere aliona pawe na sera ya kuwapa kipaumbele wazawa kuwa matajiri ndo jamaa akapewa mitaji ya kumanange bila ya mortgage wala collateral.

Usidanganywa Mengi hamna kitu ilikwua easy kusurvive kwa vile competition ilikuwa ndogo na alipewa kipaumbele kama mzawa acha kudanganywa na vitabu vya porojo mule ndani pameandika upupu mtupu.
 
Back
Top Bottom