naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Mwenye elimu ya stika hii ya TRA, naomba atueleweshe... mbona bidhaa za Bakhresa Food Products hazina?

    Ambaye ana elimu ya hizi stika za elekitroniki za TRA naomba atueleweshe. Mfano bidhaa ilikuwa inauzwa kiasi cha Tsh 100 ikawekwa stika bado inauzwa bei ileile tzs 100 hapo naongelea U-fresh ambazo ni barafu zinazozalishwa na Wachina. Hapohapo maji yalikuwa yanauzwa kiasi cha Tsh 500 ikawekwa...
  2. Kisetuu

    JamiiForums Tanzania Naomba wale wataalamu wanisaidie kupanga

    Naomba wataalam wahizi mambo wanisaidie kupanga apa
  3. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Naomba tufikirie kidogo na tupeane miongozo

    Seriikali ni taasisi moja ya sifa ya Taasisi huongozwa kwa mfumo Rasmi (bureucracy} baadhi ya sifa au kiini cha BUREUCRACY ni sheria na kanuni, kuajiri kwa kufata sifa na kuwepo kwa mfumo wa vyeo{hierarchical system} sifa hizi zinaipa taasisi nguvu ya kutokuwa na mfumo wa mazoea ambao ni...
  4. Mwambatz1

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu kwenye interview utumishi kada ya msaidizi wa hesabu II

    Hello, Ndugu naomba msaada kidogo, Mimi pia ni mala yangu ya kwanza kufanya application ajira portal kada ya MSAIDIZI WA HESABU II, maswali yangu ni:- 1. Majina yangu ya cheti cha kuzaliwa ni PELIUS MUKIZA LAURENT, form four na vya chuo vyote ni PELIUS M LAURENT na halafu kibaya zaidi ni kwenye...
  5. Spiracle z

    JamiiForums Tanzania Naomba kufundishwa namna ya kutengeneza animation ya Automatic Power Factor Correction ya kiwanda kidogo(Small Factory)

    Wanajamii habari zenu ,ninaomba msaada wa kielimu kwenye suala hili la kutengeneza animation ya automated power factor correction system kwenye kiwanda kidogo . Pia na namna ya kuandika literature review ya project work ya hii kazi.
  6. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Naomba nieleweke hivi kuwa uzuri huwa unajiunda na kuleta mwonekano kutoka ndani yake

    Naomba nieleweke hii inaweza isieleweke Ila ndivyo ilivyo, hali yako ya uzuri huwa inajiumba taratibu kutokana ndani yako. Hivyo ikiwa unayoyapitia ndani yako yatakuwa magumu na yanakunyima furaha hadi kujichukia hivyo ule uzuri wako wa Asili utapotea. Hoja hii naithibitisha Kwa kutazama...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu hasa hii google saved places(visited places)accuracy yake kwenye ramani

    Je hii kitu Ina accuracy kiasi gani? Je, inaweka kumlocate mtu akilala guest flani na hajawahi lala hapo? Je, ukipita mahali hata mara moja kama location ipo on, baadae ukiangalia kwenye ramani itanyesha uliwahi lala hapo?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mkulima, naomba msaada nisiaibike

    Wakuu nipo mkoa Fulani huku Kanda ya ziwa, nimelima mazao hekari 10. Nne za mahindi na 6 za mpunga Kati ya hekari 4 za mahindi hekari 2 na nusu ziko vizuri na mbolea niliwekea so sasa hivi nasubiria kuvuna hii February Kati ya hekari 6 za mpunga heka 4 na 1/2 nimeotesha vizuri na ekari 1 na...
  9. L

    JamiiForums Tanzania naomba kuuliza jinsi ya kupata ramani ya mipango miji ardhi

    habari za jioni wadau heri ya mwaka.mpya naomba kuuliza kama nimepata coordinate za eneo usiku kwaajili ya kurasimisha kiwanja changu nawezaje kupata ramani ya mipango miji ya eneo husika na gharama yake kupata ramani ni sh ngapi
  10. stevhinoz

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada namna ya kutengeneza portfolio ya kazi

    Mwenye ujuzi ni namna gani naweza kutengeneza portfolio kwa ajili ya kuonesha kazi nilizofanya. Naomba anisaidie maana sifahamu wapi nianzie.
  11. V

    JamiiForums Tanzania Mawazo yenu yanahitajika kwenye hili Wazee

    Wakuu Kuna manzi nataka mfungulia biznenga,Ili akila mtaji nipate sababu ya kupiga chini. Anasema anataka kuuza vitu vinavyopendwa na wanawake na watoto. Ushauri wenu juu ya nn auze,unaweza okoa jahazi Natanguliza Heri ya mwaka mpya Kwa wote
  12. AFRICAN BOYI

    JamiiForums Tanzania Napenda kuendesha mabasi ya mkoani, nifanyeje?

    Wakuu natumai mko poa, Kuna jambo naomba mnipe muongozo tafadhali. Nimekuwa napenda Sana kwa siku nyingi kusukuma haya mabasi ya mikoani. Napenda sana kusukuma hizo chombo, naombeni muongozo nianzie wapi mpaka kufikia hatua ya kukabidhiwa chuma la mafasa marefu.
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Injinia Hersi Said: Chonde chonde naomba msimuache Musonda

    Nimeshtushwa na kichwa cha habari cha gazeti la Mwanaspoti la leo kwamba eti kwa sababu ya ujio wa Okra basi Moloko na Musonda hatma zao ndani ya Yanga zipo mashakani. Please Mr. President , do anything in ur power to make sure that Musonda doesn't go anywhere. I beg you by five books of...
  14. Tanki

    JamiiForums Tanzania Mnaojua kuhusu hili naomba kujuzwa (YouTube)

    Kwenye pitapita zangu huko kwenye YouTube nimekutana na channel yenye subscribers 151 tu. Ila ukiplay video inaleta kwanza matangazo. So, hii ndo kusema hii channel ya watu 151 Iko monetized??? Kama jibu ni YES, Je inawezekana hii?? Kwani vigezo hasa vya channels kuwa monetized ni vipi???
  15. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua kiwanja naomba kujua ni hatua zipi za kufuat wakuu

    kwema wakuu, Mdogo wenu huu mwaka nimejitafuta nataka nikanunue uwanja mwsho wa upepo uko ndani ndani. Sasa sijui chochote kuhusiana na kununua uwanja naombeni mnipe muongozo mdogo wenu napoenda kukamilisha hii ndoto yangu maana naogopa kutapeliwa wakuu
  16. P

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba majibu

    Wakuu,ivi unapohisi umekuwa exposed kwenye mazingira au umefanya sex na mtu ukahisi ana HIV, kisha ukaanza LTD (pep) within 72 hrs. Lakn badae ukagundua ulie sex nae Hana HIV ila Ilikuwa ni hofu tu, je pep TLD inaweza kuwa na madhara yepi?
  17. L

    JamiiForums Tanzania Naomba utaratibu wakubadili tin number kutoka non businesses kwenda business

    Samahani nilikua naomba kazi kampuni x vigezo vikawa tin number nikampa mtu anitengenezee yeye akatengeneza ya non businesses Sasa imekataliwa nafanyaje kubadili msaada jaman
  18. cold water

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua hiki ni nini?

    Naomba kujua hiki ni nini nimekuta kwenye begi la mpenzi wangu.
  19. E

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kihalisia

    Nipo kijijini ndani ndani na ninahitaji kununua gari ambayo haitonisumbua kwa mafuta au gereji ya mara kwa mara. Nimekuwa natamani gari hizi mbili ila sijiu ni ipi sahihi kwangu ambayo haitonisumbua hasa kwa mafuta kati ya Primio cc 1490 na Ist cc1490.
  20. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa

    Shule zote zinautaratibu wa kupanga awamu za kulipa ada,mf miezi 3,4au6 unaambiwa ada ya mwaka ni kiasi fulani yani hapo washasisitiza ada ni ya mwaka yani yani miezi12,sasa ktk ada hiyo wanayosema mbona hawasemi tutakuwa na likizo wastani siku60+ambayo wangepunguza ada ya siku hizo za mapumziko?
Back
Top Bottom