Wakuu nataka niwe na chukua Mali aidha kariakoo au bara mzigo gani unatoka nao uhakika ukivuka maji na Meli au vi boat?taratibu zake na changamoto zake ni zip?
Laiti Wachezaji wote wa Taifa Stars iliyoyaaga Usiku huu Mashindano ya AFCON huko nchini Ivory Coast wangekuwa na Spirit ya Beki Ibrahim Bska nina uhakika Tanzania tusingetolewa mapema hivi.
Kwangu Mimi huyu Beki Ibrahim Baka ndiyo ambaye Watanzania tunatakiwa tumpokee kwa Heshima zote...
Habar za usiku huu wana nzengo, mimi ni mmiliki wa carwash somewhere
Kwa bahati mbaya au nzuri pale nilipoweka carwash yangu kuna shughuli kadha wa kadha za kijamii,
Kwa kipindi ambacho nimeanzisha hapakuwa na shughuli yeyote ila sasa kutokana na kuendelea kwa lile eneo ndio ikapelekea uwepo...
Naomba Team mnipe hatua zamsingi za kuzingatia ili kujiandikisha kuridia mtihani wa kidato cha nne.
(Mhitaji anataka kituo tu, yeye atajisomea online).
Habari wanajukwaa natumaini mbuheri wa afya.
Leo naomba nigusie japo kwa kiasi kuhusu hizi apps za mikopo ambazo kwa Sasa zimekuwa nyingi sana na promotion kubwa inafanyika huko YouTube.
Nimeileta hii mada hapa kwenye jukwaa hili kwasababu hii mada sio ya kisiasa Bali kuweka wazi kwa...
Unajua kisayansi kuna kitu kinaitwa atom najua unajua, mfano kuna Oxygen atom, hydrogen atom na zingine zote.
Zina sifa na tabia tofauti tofauti, hizi atom kwa upekee na sifa zake tofauti zinaweza kuungana miongoni mwao na kutoungana miongoni mwao pia.
Zikiungana tunapata kitu kinaitwa...
Naomba kufahamu je ni miaka mingapi mwajiriwa mpya wa jeshi la magereza atalazimika kukaa kabla ya kuruhusiwa kuoa au kuolewa?. Kuna ndugu ameuliza swali hilo ili afanye maamuzi ya kujiunga na jeshi hilo. Tafadhali anayejua kwa uhakika naomba anijuze.
1. Lilipo Kanisa Katoliki
2. Uliko Uwanja wa Mazoezi wa Mpira
3. Baa za Vinywaji vya Bei nafuu
4. Vijiwe vikubwa vya Masela / Wahuni
5. Vijiwe vya Tamu za Kibaiolojia
6. Zilipo Ofisi za CCM na Kituo cha Polisi
7. Eneo la Makaburi
Haya wana Mapinga Kiaraka kaeni tayari Kunipokea Ndugu yenu...
Naomba hela yakusuka! Sijala! Mama yangu anaumwa! Gesi imeisha! Sina hela ya bandle!
Ukijichanganya na wadada wa siku hizi, haya mawe lazima yakupate! Utadhani kama usingemtongoza angekufa jinsi anavyokutolea shida utadhani ndo uliyemleta duniani!
Tumekuwa na kawaida Kila Jumalipi tunaenda kanisani kusali Kwa sisi Wakristo na tukisisitizwa kuwa ni siku ya Bwana; kuwa alipumzika siku ya Saba.
Je lugha yetu inanichanganya maana nafahamu juma mosi ndio mwanzo wa wiki, jumapili ni siku ya pili and so on. Nimegoogle ipi ni siku ya kwanza ya...
Naomba niingie kwenye swali moja kwa moja..
Hivi kwanini Azam TV kwenye tangazo lake la afcon linasema ' KUONESHWA TANZANIA PEKEE' hii mimi sijaielewa ina maana gani? Naomba kusaidiwa.
Wakuu natanguliza shukrani na heshima kwenu.
Nahitaji kibali yaani favor Toka kwa afisa fulani kwenye ofisi moja hapa jijini, lakini mazingira naona ni magumu, naona kama jambo langu halitapata kibali mbele ya ofisi hiyo. Mana sio mara ya kwanza kutokusikilizwa kwenye ofisi hiyo
Hivyo nimekuja...
Habari wanajukwaa, mwenzenu kila nikipost nyuzi(thread) lakini nikitaka kuview comments na kujibu hoja post hizo huwa hazionekani, Bali zinaonekana za zamani tu. Au Mimi nakosea namna ya kuoperate. Majibu tafadhali au muongozo........
Wakuu kuna kisimu changu kimeibiwa sasa nimehangaika naona imekuwa mambo mengi kama mtu unaweza kuifunga isifanye kazi kama inawezekana nitashukuru
Lakini pia kama utaitrack kama utamlipisha ukimkamata aliyeiiba hii simu ni wewe tu upendavyo mimi nimesamehe lakini roho inaniuma naweka na imei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.