naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Msaada naomba mwenye Apple ID Asiyoitumia anipatie

    Wakuu nilinunua iphone kwa mtu akaondoa ID Yake Mimi kila nikijaribu ku icreate imegoma naomba mtu anisaidie mwenye nayo nitashukuru sana
  2. winnerian

    JamiiForums Tanzania Kunusuru Tanzania yetu na kizazi dhaifu naomba wabunge wapitishe sheria zifuatazo

    1. Matumizi ya pombe kwa vijana walio na umri chini ya miaka 25! Hali ni mbaya sana vijijijini na mijini. Vijana wameharibika sana na nguvu kazi ya taifa inapungua kwa kasi. Najua pombe ni sehemu serikali ilipojiegemeza kwenye ukasanyaji wa mapato lakini pia kwa kupitia hii pombe serikali...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kufanya akaunti ya youtube ilipwe

    Habari naomba kujua namna ya kufanya akaunti yangu ya YouTube ilipwe
  4. P

    JamiiForums Tanzania Jamii health, naomba msaada

    Wataalamu naombeni kuuliza Je madhara yapi ? anayopata mama mjamzito anapokutana kimwili na mtu ambae si mhusika wa huo ujauzito wake mtu huyu anapata madhara gani hasa wakati wa kujifungua??? Na pili je mama huyu akisema atumie kinga kukutana na huyo mtu ambae si mhusika nn madhara ya zile...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Habari naomba ushauri au mwongozo kuhusu biashara ya Raba za mitumba za wakubwa na watoto bei ya Balo na wapi pakuzipata.

    Habari naomba ushauri au mwongozo jujutsu biashara ya Raba za mitumba za wakubwa na watoto bei ya Balo na wapi pakuzipata.
  6. rosewilliam

    JamiiForums Tanzania Naomba maoni juu ya kilimo biashara na teknolojia katika kilimo

    Habari zenu wakuu. Ningependa nipate maoni/busara yenu katika hili. Mimi natamani sana hapo baadaye niekeze katika kilimo biashara. Najua kila zao lina changamoto zake ila nahitaji kuelewa kutoka kwa wale ambao wana experience katika hili wanisaidie kunijulisha, ni changamoto gani ziko katika...
  7. donlucchese

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kusoma Mita ya maji (DUWASA)

    Salam wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba msaada jinsi ya kusoma hizi Mita maana muda mwingine nahisi wananibambika bili. Matumizi ya kawaida tu ya maji na hapo ni familia ya watu wanne tu lakini jana wamenitumia bili elfu thelathini. Ningesema pengine labda kwakuwa nilipanda...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimewaona wapya wetu Wawili katika Ushambuliaji Simba SC na naomba niseme tu Bingwa tena Msimu huu ni Yanga au Azam

    Nikiwaambia nitafuteni GENTAMYCINE niwatafutieni Wachezaji mahiri na wa Kazi Kazi kweli hamtaki na mnawapa Jukumu hilo Wanafiki na Wapigaji. Nimeucheza Mpira, Naujua Mpira na Nauchambua Mpira hivyo nikisema hujui jua hujui na nikisema unajua jua unajua. Aliyeamuru kuwa Mshambuliaji Moses Phiri...
  9. Maleven

    JamiiForums Tanzania BAKWATA naomba mtusaidie hili la matumizi ya speaker swala ya asubuhi

    Sasa kwa mfano hapa, wameshatoa azana kisha wameamua kuweka audio ya sheikh anazungumzia mambo ya ndoa ya ndani kabisa, kwa nature ya audio inaonekana kilikua cha wanawake tu tena watu wazima ila hapa imewekwa kwa nguvu kabisa1 asubuhi hii. Mbona misikiti mingine hawafanyi hivi? Mbona waislam...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kumjua aliyeghani pamoja na Tongolanga katika wimbo 'Baba na Mama'

    Mnaofahamu naomba mnijuze tafadhali! Walipatana hao watu kwenye hicho kibao si mchezo. Pia ni nani alikuwa analizimua lile goma pale mwishoni walipoanza kuimba kwa kimakonde? R.I.P Tongolanga, kwangu utabaki kuwa mwanamuziki bora daima. -kila munu avena kwao -chilamba cha vene -sanura -baba...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Serikali au Taasisi Binafsi naomba muwekeze kwenye michezo hii miwili niliyobuni kutokea hapa hapa Tanzania

    Hello heshima kwenu ndugu zangu! Mimi ni kijana Mtanzania mpenda michezo, na katika kujihusisha sana na michezo, Mungu amenijalia kujipata kwa kuja na aina mbili za michezo. Mchezo wa kwanza utakuwa ukijulikana kama FENCEBALL au Mpira wa uzio. Na mchezo wa pili utajulikana kama REMAVOLLY...
  12. Sega la asali

    JamiiForums Tanzania Kahama na Mwanza Mjini: Naomba kujua wapi panafaa kuwekeza lodge ya kisasa

    Habari wakuu; Naomba kufahamishwa kati ya wilaya Kahama na Mwanza mjini ni wapi pazuri kuwekeza Lodge ya kisasa na biashara ikasonga? Zingatia haya unaposhauri; 1. Upatikanaji wa kiwanja wenye ukubwa wa angalau ukubwa wa mraba 30mx40m 2. Maeneo yapi mwa mji utapata ukubwa huo na bei yake 3...
  13. Kizibo

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nasumbuliwa na homa kali leo ni siku ya nne

    Unasumbuliwa na homa kali na kukosa hamu ya kula siku ya 4 hii. Jana nilipima nikaambiwa ni minyoo, kichocho na U.T.I. Lakini nimetumia dawa homa na kukosa hamu ya kula vimegoma kabisaaa hata kupungua. Watalaamu naomba msaada nitumie dawa gani???
  14. Bwashee Machui

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Bei ya viatu vya kike simple shoes per caton (36)

    Habari waungwani, wafanyabiashara wa viatu,ninampango wa kuanza kufanya biashara ya simple shoes za kike Kwa anayeweza kunipa diteliz za uhakika namkaribisha Wasapu 0673817130 tufanye biashara pamoja
  15. MsLisa

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu usonji

    Mimi ni mwanamke, 30 yrs mwenye usonji. Jamii/familia yangu wanaona sina tatizo sababu shuleni nilikuwa nafaulu vizuri. Ninapitia changamoto nyingi mnoo. Kuna wakati nahisi kukata tamaa. Anayeweza kunisaidia mawazo /counselling ntashukuru.
  16. C

    JamiiForums Tanzania Examination Officer written interview

    Wakuu habari ya leo, Naomba kupata muangaza kidogo katika written interview za examination officer aina ya maswali yanayoulizwa.
  17. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua shule nzuri kwa wasichana

    Habari wakulu. Bila shaka wengi wetu tunatamani watoto.wetu wasome shule sahihi, salama na hatimaye ahitimu katika ubora. Ni kawaida kuona kuwa mwanenu amehitimu shule zake na akaamua kuingia kitaani kuhulsle hata kama hatapata best job ila apate kaelimu kamtoe tongo. Ka uzungu akajue, vijana...
  18. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Ameniambia "Baba wa nini?"

    Nilikuwa nataka nikajitambulishe kwa wazazi wa huyu binti sasa katika kumhoji napaswa kupeleka zawadi gani? Nikaona ananiorodheshea zawadi za mama yake tu. Nikamuulize zawadi za baba je? Akajibu "baba wa nini wewe? Wewe fuata maelekezo ninayokupa" Nimeshindwa kuelewa maana alisema baba yake...
  19. Mademoiselle

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wakuu

    Igweee... Jamani ni wapi naweza pata hii nguo kwa hapa Tanzania? Very urgent need...
  20. P

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Wapi nitapata mizani ya kidigitali kwaajili ya kupimia mazao mpaka kilo 150?

    Hellow wapendwa, Naomba kuuliza wapi nitapata mizani ya kidigital ya kupimia mazao hadi kilo 150? Inahitajika haraka sana?
Back
Top Bottom