naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FirstbornTz

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie kupata Nafasi ya Kazi kwenye Ofisi yoyote, NGO au Microfinance

    Asante sana. Nilishafanikiwa kupitia jamii forum kupata nafasi
  2. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu HONOR X9B

    Ndugu zangu naomba kujua mengi kuhusu hii simu. 1. Ubora wake 2. Upatikanaji wake 3 bei yake. 4. Wapi niipate NB: mimi ni muumini wa simu zenye vioo vikubwa.
  3. sakasaka

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kufanya Configuration ya TV Box aina ya D Sport D1

    ...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ili Jambo langu la Ijumaa likamilike naomba anayejua vinapopatikana Vifuatavyo aniambie upesi

    1. Njiwa Weusi tu wanaotamia 2. Kucha za Fisi Jike 3. Mkojo wa Mamba 4. Jasho la Chatu 5. Bendera ya Taifa lolote la nchi za Kiarabu ila ikipatikana hasa ya Egypt ( Misri ) Itapendeza zaidi 6. Mate ya Kifaru Dume na yachukuliwe akiwa anakuangalia kipindi ana Njaa sana 7. Ulimi wa Mjusi...
  5. Prof Nasibu

    JamiiForums Tanzania Naomba Kufahamu UBIA wa ujenzi Gorofa huwa unapatikana vipi...!?

    Naomba Kufahamu UBIA wa ujenzi Gorofa huwa unapatikana vipi...!? nipo magomeni natafuta mwekezaji, nyumba ni yangu mwenyewe.
  6. Faana

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kulielewa jambo hili

    Kwa anaye lielewa hili jambo kwa kina anisaidie nami kulielewa. Tunasema Mungu aliumba mbingu, nchi na vilivyomo kwa siku sita na siku ya saba akapumzika, hiyo siku ya saba ni Jumamosi ambayo Wasabato kupumzika. Lakini siku hiyo ya saba iko termed ni Jumamosi kwa maana ni siku ya kwanza...
  7. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Dini zote naomba mnijibu maswali yangu

    Naomba nieleweke mimi ni muislamu sijaleta swali kwa lengo la kukejeli ila nataka ufahamu zaidi sitaki kubakia kweny kuta moja kweny hoja hzi. 1, Kwanini mungu hakuleta dini tunazotetea toka kuumbwa kwa huyu adamu? 2, Inakuwaje amewaacha binadamu katika sitonfamu ya imani? 3, Kwanini mitume...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua mshahara wa muuza duka la nguo Kariakoo

    Habari wana Jamiiforums? Naomba kujuzwa range ya mshahara wanaolipwa vijana wanaouza kwenye maduka ya nguo kariakoo. Na baadhi ya Vipengele muhitimu kwenye makubaliano baina ya boss na mfanyakazi.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya ufanisi wa drilling rig zinazouzwa Alibaba

    Itifaki ikiwa imezingatiwa, rejea kichwa cha habari. Ndg zangu ktk jitihada za kupambana huku shambani nakwamishwa na ukosefu wa maji. Nimejaribu kueasiliana na wachimbaji wa visima virefu, bei zao zinaweza kuzidi urefu wa mlima Kilimanjaro. Katika kuzuru huku na huku nikakuta sana za kazi...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada nakosea wapi kwenye kuconnect hii form na database

    Wakuu, naendelea kujifunza vitu. Sasa sasa hivi najifunza ku interact na database. Nimeweza kuunda fomu hii kwa msaada wa HTML and CSS Na huu ndiyo code yangu ya HTML <!DOCTYPE html> <html lang="en"> <head> <meta charset="UTF-8"> <link rel="stylesheet" type="text/css"...
  11. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Naomba kujibiwa swali langu, sitapenda kejeli kwa wajibuji

    Za muda wadau!moja kwa moja kwenye swali "Hivi kinachotuangaisha binadamu katika harakati za maisha kinatokana na historia(sayansi)? Au maisha ya sasa(uvumbuzi) au maisha ya baadae(dini au maandiko) naomba aloelewa ajibu na kama hujaelewa naomba tumia muda kusoma NK kwenye mabano ni ufafanuzi...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka Ph.D za Heshima: Kuna haja TCU watoe ufafanuzi wa matumizi ya title ya Dr. kwa Ph.D za heshima na Ph.D za ukweli?

    Wanabodi, Kiukweli kabisa mfumo dume bado ni tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na haswa wa Kanda yetu fulani!. Japo Rais Nyerere, Mwinyi na Mkapa, walitunukiwa PhD za heshima za honoris causa lakini hawakuitwa kwa title za Dr. Lakini Rais Jakaya Kikwete baada ya kutunukiwa aliitwa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nadai Tsh. Milioni 440 kwa Mkandarasi wa SGR. Naomba Serikali inisaidie, napigwa danadana tangu Desemba 2022

    Mimi sio mtu wa mitandao sana lakini nimeona malalamiko kadhaa yanayoandikwa na Jamii Forums kuhusu mambo mbalimbali yanafanyiwa kazi hasa kuhusu huku kwenye shughuli zetu tunazozifanya kwenye miradi. Mimi ni mmoja wa Wakandarasi wadogo ambao tumekuwa tukifanya kazi na Mkandarasi Mkuu wa Mradi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kujiendeleza kwa kusoma MD mwakani

    Habarini, nina swali nimemaliza clinical medicine mwaka huu nina GPA ya Tano. Nataka kujiendeleza MD bahati mbaya nafasi za MD Serikalini kumejaa na private siwezi kumudu ada, nauliza mwakani nikiapply naweza kupata chuo kama MUHAS na kuhusu mkopo kuna uwezekano wa kupata? O level nina dv 2 ya...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba upesi nijibiwe haya Maswali yangu na Watangazaji pamoja na Wachambuzi wa Michezo wa Redio nchini

    Swali # 1. Je, Yanga SC ingekuwa inaongoza Ligi Kuu ya NBC mpaka sasa ( yaani leo ) mngekuwa Wanafiki hivi na Kutumia muda mrefu Kumjadili Mwamuzi wa leo kuwa Kaipendelea Simba SC dhidi ya Singida Fountain Gate FC huku mkijisahaulisha ( mkijizima data ) kuwa hata hiyo Klabu mnayoitetea kwa...
  16. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu umuhimu wa ukasimishaji wa madaraka kiongozi wa nchi anapokuwa nje ya ofisi!

  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba Ukweli wa Taarifa hii iliyoko HABARI LEO ya Leo kwani Mimi Siiamini na Sitoiamini

    Inasema..... Tanzania ya pili kuingiza Watalii duniani. Iko Ukurasa wa Tatu ( 3 ) Na GENTAMYCINE naomba ikithibitika kuwa si kweli basi upesi sana Mhariri wa Gazeti hili la Habari Leo na Mwandishi wa Habari hiyo anbayo nina uhakika ni ya UONGO watuombe Radhi na ikiwezekana wapangiwe Majukumu...
  18. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua maana ya majina ya utani ya Majenerali wetu waliopigana vita ya kagera

    Vita ya Kagera ya mwaka 1978/79 iliyopiganwa ili kuokoa mipaka yetu ilikuwa ya aina yake. Tulifanikiwa kushinda lakini ilituachia maumivu pengine mpaka leo. Moja ya vivutio ilikuwa ni uzalendo mkubwa wa wapiganaji wetu kutoka JWTZ. Palikuwa na Majenerali walioongoza brigedi mbalimbali...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mpya wa Serikali Mobhare Matinyi naomba uanze na Mfupa huu Kiufafanuzi

    Je, kwa sasa jina la Bodi ya Mikopo kwa Elimu ya Juu limebadilka kutoka lile tulilolizoea la HESLB ( Higher Education Student Loan Board ) na sasa limebatizwa Jipya la Samia Suluhu Higher Education Student Loan? Haya Poti wangu (mwana Mkoa wa Mara Mwenzangu) Mobhare Matinyi naomba uanze na huu...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa dawa nzuri ya kuua Panya, unga mweusi umedunda

    Ni miezi sasa panya wamekuwa wananisumbua sana! Nimejaribu dawa za unga mweusi zinazouzwa dukani zimeshindwa, zile za pellets ndiyo hamna kitu!! Panya hawa huingia ndani mwangu kuanzia jioni na hunichachafya hadi asubuhi! Nimewafuatilia naona wanatoka kwa jirani Kwangu kuna fence ajabu...
Back
Top Bottom