Naomba kuuliza kitu kuhusu hii minada ya hapa Dar es aalaam

Tanki

JF-Expert Member
Apr 7, 2013
491
189
Ok, ni hivi wakuu, Kuna hii minada huwa inafanyika kwenye eneo husika Kwa siku maalum. Kwa mfano najua Kwa huku Dar es salaam Kila Ijumaa mnada huwa upo Kitunda, Jumanne huwa upo Kivule sokoni, Jumatatu ni Tabata Kinyerezi, Na Kuna siku huwa upo Tabata segerea Kwa mbele kule sijui ni Tabata bima pale ( sijui ).

Swali langu: Je, from no where tu naweza kwenda kuweka biashara yangu kwenye eneo na siku husika?.
Kuna taratibu za kujiunga Ili niwepo kwenye Kila mnada?. Taratibu zikoje, na kama Kuna gharama zikoje?.

Nipo Dar es salaam Tabata Kinyerezi.
 
Mie naona ni ishu ya kuwahi eneo unaweka vitu vyako hapo..

Kama kuna mchango wowote labda ni wa umeme. Ingawa lazima kutakuwa na utaratibu fulani. Hasa wa usafi mkimaliza hizo shughul zenu.
 
Back
Top Bottom