naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kusaidiwa kuhusu biashara ya usafi majumbani na maofisini

    Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana(25) wa kiume niko Dar es Salaam, katika kutafta kazi baada ya kumaliza chuo( miezi 4 mtaani) mwaka huu mambo yamekuwa magumu nilipga kazi mbalimbali kama ujenzi, kulima, kubeba mizigo Kariakoo ila pesa ni kidogo kiasi kwamba kodi ikifika ya nyumba huna cha...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu mpenzi wangu

    Habari ndugu zangu, mm Ni wa kiume (25). Nilipokuwa chuo nikipata na mdada ambaye mazingira ya chuo yalikuwa magumu kiasi kwamba ilibaki kidogo kudisco, ila nikapata huruma kunisaidia ktk kusaidiana mwaka wa mwisho ikabid tuishi pamoja km wapenzi. Maisha yalikuwa matamu sana sikuwahi kuona...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kushauriwa, kukosolewa, na kuelekezwa

    Mimi ni mfanyakazi wa taasisi Fulani inayoshughulikia masuala ya Sheria, ninafamilia na ninazaidi ya miaka Zaidi ya Kumi kazini. Kielimu Mimi ni wamadarasa 11, haina yangu Ni mpole na mwenye huruma sana na nisiyependa utani kwa kuwa huwa mwepesi kukwazika. Katika maisha yangu ya Kazini...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua jambo

    Habarin ndugu zangu kwemah!!? Najua watu wengi huenda kwa waganga mbalimbali wengine wanawaganga wao binafsi au wengine utasikia kwetu nimeata au wamejizindika miili yao , swali langu mm ni ivi kwa watu kama ao huo wanaMuomba Mungu pia katika mambo mengine mengi yanayomuhitaj Mungu mfano labda...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza Jambo ndugu zangu

    Habarin ndugu zangu kwema? Najua watu wengi huenda kwa waganga mbalimbali wengine wanawaganga wao binafsi. Swali langu mimi ni hivi kwa watu kama hao huwa wanaMuomba Mungu pia katika mambo mengine mengi yanayomuhitaj Mungu? Mfano labda kuota ndoto mbaya katika maono
  6. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu "kunde" aina ya ngwara

    1. Kutahitajika kiasi gani kwa ajili ya kupanda eka 20? 2. Inapatikana wapi mkoani Mwanza au mikoa ya jirani? 🙏🙏🙏
  7. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa; Je Google wanapataje mitaa na njia za dunia nzima?

    Moja kwa moja kwenye point. Wajuzi watujuze ni kwa vipi Google inazo barabara na vinjia hata vya vijijini swekeni kabisa. Na mara nyingine wameweka hadi majina ya mitaa.
  8. Mus_musa

    JamiiForums Tanzania Habari naomba kuijua Subaru Impreza 2.0i ya 2012

    Nahitaji kununua Gari Wanaoijua Subaru Impreza ya kuanzia 2012 Cc 2000 GP 7 Naomba nijui services,fuel comsuption,spares Naombeni ushauri🙏
  9. Ester505

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie kuhusu mkunde pori

    Ni hivi nimechukua majani ya mkunde pori nikachemsha. Sasa nikinywa maji yake napata usingizi na mwili nausikia umechoka. Je NI kawaida??
  10. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa mambo naomba kufahamu za kulipia gari iliyokuwa exempted mwaka 2012

    Waungwana nimenunua mkweche uliokuwa exempted. Naomba kujuzwa wastani wa kulipia kwa gari ya namna hiyo, Discovery Landover. Msaada tutani.
  11. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa mawazo kitaalamu

    Wandugu naomba msaada wenu nifanyeje. Kuna mtu nilikuwa na mahusiano naye awali lakini nimeyakata kwa sababu binafsi kutokana na tabia yake hanidai chochote na wala sijawahi kumtegemea kwa chochote maana najiweza vizuri tu ila kiukweli yeye ndio ananitegemea zaidi. Sasa amekuwa akininyima raha...
  12. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kitaalamu

    Wandugu naomba msaada wenu nifanyeje. Kuna mtu nilikuwa na mahusiano naye awali lakini nimeyakata kwa sababu binafsi kutokana na tabia yake hanidai chochote na wala sijawahi kumtegemea kwa chochote maana najiweza vizuri tu ila kiukweli yeye ndio ananitegemea zaidi. Sasa amekuwa akininyima raha...
  13. Chacha Steven Mokiri

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba anayejua jina la huu wimbo anisaidie na jina la msanii!

    Kwa anayejua jina la huu wimbo anisaidie ni muhimu sana. https://www.instagram.com/reel/Czn5se0IMrm/?igshid=MTdlMjRlYjZlMQ==
  14. S

    JamiiForums Tanzania Naomba mama Samia atende haki. Kumtumbua Gekul unaibu waziri na kumuacha huyu waziri haipendezi

    Gekul ametumbuliwa unaibu waziri baada ya kutenda yasiyofaa katk jamii. Ni sawa. Vipi huyu anayetukana watu hovyo kama mlevi? Ni sawa kuendelea kukikalia kiti cha uwaziri au aondolewe? Waziri ni kioo cha rais. Sasa kama kila siku waziri anatukana hovyo mitandaoni tafsiri yake ni kwamba...
  15. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua maeneo mazuri kwaajili ya chakula na kupumzika ndani ya Morogoro

    Habari za uzima ndugu zangu, ndio tunaumaliza mwaka huu kwa kishindo, baada ya kujichanga ndani ya mwaka huu, nimetenga bajeti ya Tsh. laki 5 kwaajili ya kubadilisha maandhari na kuatafakari mambo mapya kwa mwaka ujao wa 2024. Baada ya kutafuakari kwa kina nimeona niende Morogoro (wanasema mji...
  16. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Naomba elimu ya tints kwenye magari

    Habarini. Naomba kupata elimu ya kuweka "tinted" kwenye magari. Ni %gani zinafaa kwa vioo vya mbele na nyuma? Muongozo wa sheria za babarabarani zinasemaje kuhusu tints? Faida na hasara A tints ni zipi?
  17. Ukaridayo

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu ubora wa vifaa vya HAVELLS

    Habari wana jamvi.. Hivi karibuni nategemea kufanya wiring kwenye mji wangu, lakini kuna mdau alinipa taarifa kuhusu vifaa vya tronics, kuwa kwa sasa tronic inazlishwa na mchina hivyo uhakika wa ubora ni mdogo. Akawa amenigusia kuhusu Havells akidai kuwa kwasasa bado inazalishwa na mhindi...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Rafiki yangu ana tabia ya kutongoza kila binti ninayekuwa naye kwenye mahusiano

    Habari mwanaJF, Naomba ushauri rafiki yangu huwa na tabia ya kutongoza kila binti niliye naye kwenye mahusiano. Ni rafiki ninayefanya naye kazi kituo kimoja pia tulikutana kazi japo pia tunakaa jirani kwenye nyumba za kampuni. Kipindi cha nyuma nilikuwa na demu ambaye alimjua pia baadhi ya...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza, kwanini bei maji ya Uhai 1.6L na Afya 1.6L ipo juu kuliko Masafi 1.6L na Pangani 1.6L

    Mwenye kufahamu sababu ya tofauti ya bei ya maji ya Uhai 1.6L na Afya 1.6L kuuzwa 700.00 wakati ujazo huohuo kwa Masafi 1.6L na Pangani 1.6L yanauzwa 500.00. Pia kwanini maji ya Pangani 1.6L hayana Stempu ya kieletronic juu ya mfuniko?
  20. D

    JamiiForums Tanzania NBC wametangaza kazi za direct sales. Naomba msaada wanaozijua

    Siyo kazi zile za kulipwa kwa commission kweli hozi
Back
Top Bottom