Naomba kujuzwa kwa anayefahamu biashara ya hewa ukaa

Enumerate!

Nchi zenye viwanda ambavyo huchafua hewa hununua misitu katika nchi zisizochafua hewa,hivyo hiyo misitu hununuliwa kwa lengo la kupunguza hewa ukaa,miti ya hiyo misitu huhifadhiwa na kuendelezwa kupandwa.

Kiufupi wananunua haki ya kuchafua hewa kupitia uwepo wa misitu,hivyo kama una msitu wako umeuhifadhi na kuutunza fika nemc au wizara ya mazingira utapata utaratibu wa kufanya biashara hiyo ya hewa ukaa
 
Back
Top Bottom