Naomba kujuzwa chimbo la dawa za jumla

Naomba kujuzwa chimbo la dawa za jumla

Habarini members,
Nilikuwa naomba tupeane connection ya chimbo la kununua dawa( dawa za binadamu)kwa bei ya jumla kwa ajili ya pharmacy! Either kariakoo au popote pale!
Natanguliza shukurani
Nenda Manzese darajani, pembeni ya MKWERE BAR kuna duka kubwa mnoo wanauza dawa bei ya Jumla, bei rahisi hadi utashangaa
 
Karibu Dawa Mkononi. Utapata huduma nzuri unaweza kuweka order yako kwa hii number 0747665664.
IMG-20231115-WA0006.jpg
IMG-20231115-WA0005.jpg
 
Mkuu kwasasa niko mbali na hapo, ninafanya utaratibu nitumiwe namba huenda ikawa baadae kidogo.

Naomba unitumie txt pm ili nikukumbuke au kama unaweza kuni mention jioni nitakuwa nimeipata
Nakutext pm
 
Back
Top Bottom