Mtumishi wa Serikali kwa miaka 20 akifukuzwa anapata mafao?

Ukiacha kazi unalipwa mafao yako na pensheni ya kila mwezi kwa Sheria ya mifuko angalau uwe umechangia kwa kipindi cha miaka 15.

Mkopo bank ukiacha kazi lazima ulipe deni lao lote. Ila ukifukuzwa litalipwa na bima ya mkopo.

Ukifukuzwa kazi HUPATI CHOCHOTE KATI YA HAYO YOTE NILIOTAJA HAPO JUU.
 
Kama ukifukuzwa kazi na umechangia mifuko zaidi ya miaka 20 hapo inakuwaje.
 
Ukiacha kazi unalipwa mafao yako na pensheni ya kila mwezi kwa Sheria ya mifuko angalau uwe umechangia kwa kipindi cha miaka 15.

Mkopo bank ukiacha kazi lazima ulipe deni lao lote. Ila ukifukuzwa litalipwa na bima ya mkopo.

Ukifukuzwa kazi HUPATI CHOCHOTE KATI YA HAYO YOTE NILIOTAJA HAPO JUU.
Ukifukuzwa kazi kwa kosa lisilohusisha kumpa hasara ya kifedha mwajiri wako unalipwa mafao yako kama ifuatavyo:
1. Nauli ya mizigo isiyozidi tani 3 kukupeleka nyumbani kwenu (place of domicile) - hapa pia mwajiri anaweza asikupe fedha ila akatoa gari
2. Posho ya kula njiani ikiwa safari ni zaidi ya masaa 6
3. Utapata mafao yako kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii, kwa siku hizi wanatoa 1/3 (kikokotoo) na iliyobaki utapewa ukifika umri wa kustaafu
 
Ukiacha kazi unalipwa mafao yako na pensheni ya kila mwezi kwa Sheria ya mifuko angalau uwe umechangia kwa kipindi cha miaka 15.

Mkopo bank ukiacha kazi lazima ulipe deni lao lote. Ila ukifukuzwa litalipwa na bima ya mkopo.

Ukifukuzwa kazi HUPATI CHOCHOTE KATI YA HAYO YOTE NILIOTAJA HAPO JUU.

Baba ukifukuzwa kazi lazima bank ulipe deni lao bima inacover ikifa tu
 
Hivi kufukuzwa kazi kuna uhusiano gani na hela zangu nilizochangia miaka. Ifike mahala tuheshimiane.
KINA MWABUKUSI MPO WAPI JUU YA SHERIA KANDAMIZI KAMA HIZI.
Kama kuna mwanasheria ningependa anifafanulie hili jambo.
Sheria za kikoloni mpaka leo zinaendelea kututesa zikisimamiwa na weusi wenzetu, ni ajabu.
Hii nchi inahitaji reform kila sekta sio kwenye siasa tu.
Waliofukuzwa na magufili walipoteza stahili zao zote.
Unanifikuza kazi bado unadhulumu pesa zangu.
Hizo pesa mwisho wake ni nini ? Nani huwa ananufaika nazo ?
Natamani sana kuifungulia makesi serikali kufuta haya masheris ila sina ujuzi wa sheria na pesa.
Angekuwepo marehemu Christopher Mtikila tungemuomba alisimamie hili jambo maana limeumiza wengi.
 
Back
Top Bottom