Naomba ufafanuzi wa hii picha

Mr Nyau

JF-Expert Member
Oct 18, 2018
1,127
2,336
JamiiForums1325020449.jpeg

Naomba ufafanuzi wa hii picha

Je kuna ukweli wowote?
 
Hamna ukweli

Jirani Ana hizo character lakini mke wake Ana cheat na mvuta bangi ambaye ni muhuni mkorofi korofi wa mtaa.
Mme wake ni mtu asie na makuu , nilipoona hiyo picha nika relate
 
Je kuna ukweli wowote?
 
Humans are complicated and there is always an exception to the rule..., Ushauri mchukulie mtu kama yeye alivyo na sio kutumia Kanuni zinazotumika kwa Asha ukazipeleka kwa Halima au Chausiku...
 
Humans are complicated and there is always an exception to the rule..., Ushauri mchukulie mtu kama yeye alivyo na sio kutumia Kanuni zinazotumika kwa Asha ukazipeleka kwa Halima au Chausiku...
Kuna ukweli lakini
 
Mwanaume ukiwa SOFT yaan NDIO kila kitu NDIO unafanywa Fala.

Utaburuzwa kwenye Maamuzi..
Utaburuzwa kihisia..
Utaburuzwa Financially..
Utaburuzwa Kijamii na Kiakili.

Pia jitahidi sana uwe Gentleman kwa MKEO na si kwa kila MWANAMKE.
Hivi Gentleman ni nini ?

Na kama naturally wewe ni well behaved and honorable yaani ujibadilishe tu ili uweze ku-get laid ? Nadhani busara ni just be yourself, usijifanye mwingine sababu ya mtu mwingine (hapo hakuna unayemkomoa sababu acting takes its toll in comparison to being real)
 
Hivi Gentleman ni nini ?

Na kama naturally wewe ni well behaved and honorable yaani ujibadilishe tu ili uweze ku-get laid ? Nadhani busara ni just be yourself, usijifanye mwingine sababu ya mtu mwingine (hapo hakuna unayemkomoa sababu acting takes its toll rather than being real)
Ujentomani una tafsiri nyingi... na una level zake.

Kuna kitabu fulani hivi kinachohusu Alpha Male's.. kinafundisha ni namna gani Mwanaume unapaswa kuwa.
 
Ujentomani una tafsiri nyingi... na una level zake.
Point yangu just be yourself no matter the definition (lakini mimi kama mwanajamii ambaye naishi karibu na mwanajamii mwenzangu..., I had rather be with a honorable well behaved person....
Kuna kitabu fulani hivi kinachohusu Alpha Male's.. kinafundisha ni namna gani Mwanaume unapaswa kuwa.
Ndio hapo naposema kama ninahitaji kitabu ili niweze kuishi mimi kama mimi nadhani hapo takuwa najibadilisha na kujiforce kuwa kama matakwa ya mwingine na sio naturally what's comes easier to me (and that's hard work)...;

Unaongelea alpha male's there was a time wakati wa hunters and gathers bila kuwa the main man usingeweza kupata hapa mke wala kuwa laid..., now things have changed kuna viwezeshi vingi and you might be a turn-off to each and everyone and still get laid (after all we are in the times of friends with benefits era) Quid Pro Qou (Does not matter what Pro you get for your Quid.... (If you get my drift).....
 
Ujentomani una tafsiri nyingi... na una level zake.

Kuna kitabu fulani hivi kinachohusu Alpha Male's.. kinafundisha ni namna gani Mwanaume unapaswa kuwa.
images (21).jpeg
{04DB7EE3-01CC-4D9D-997A-0BC987A01B5B}IMG400.jpeg

71cJkcEI95L._AC_UF1000,1000_QL80_.jpg

Ni kipi kati ya hivyo.?
 
Attachments

  • {04DB7EE3-01CC-4D9D-997A-0BC987A01B5B}IMG400.jpeg
    {04DB7EE3-01CC-4D9D-997A-0BC987A01B5B}IMG400.jpeg
    20.6 KB · Views: 4
Point yangu just be yourself no matter the definition (lakini mimi kama mwanajamii ambaye naishi karibu na mwanajamii mwenzangu..., I had rather be with a honorable well behaved person....

Ndio hapo naposema kama ninahitaji kitabu ili niweze kuishi mimi kama mimi nadhani hapo takuwa najibadilisha na kujiforce kuwa kama matakwa ya mwingine na sio naturally what's comes easier to me (and that's hard work)...;

Unaongelea alpha male's there was a time wakati wa hunters and gathers bila kuwa the main man usingeweza kupata hapa mke wala kuwa laid..., now things have changed kuna viwezeshi vingi and you might be a turn-off to each and everyone and still get laid (after all we are in the times of friends with benefits era) Quid Pro Qou (Does not matter what Pro you get for your Quid.... (If you get my drift).....
Hapana...

Duniani tuna mengi sana ya Kujifunza.
Na Elimu inabadirisha sana mtu na inamfanya awe bora zaidi.

Hivyo ktk Maisha jitahidi sana kusoma vitu mbalimbali ambavyo vitajenga TABIA yako.

Mie Tabia zangu zimejengwa na Elimu niliyonayo na sio vinasaba nilivyo navyo.

Mfn ukiwa mtu wa hasira kuna mafundisho yapo ya kubadiri huo mfumo uliopo ktk hisia zako.

Sisi Binadam ni kama Machine zenye Hardware and Software. Software inakuwa updated mara kwa mara ili kufanikisha ufanisi wa hali ya juu kuliko ule wa Mwanzo.
 
Hapana...

Duniani tuna mengi sana ya Kujifunza.
Na Elimu inabadirisha sana mtu na inamfanya awe bora zaidi.
Kila dakika tunajifunza ila haimaanishi sababu mafunzo / perceived goodness kwa jamii ni kitu fulani basi watu wote tutakuwa hicho kitu..., Case in Point the alpha maleness au labda mwanaume anahitaji kuwa mkali au hata kumpiga mwananmke (kwa case ya wakurya) ilikuwa the order of the day at a certain point in time sasa mtu ambaye deep down yeye ni caring abadilike ili tu aendane na norm ?!!!

Kuna jamii mwanaume anaweka vizuri na presentable kuna jamii mwanaume inabidi aonekane kama ametoka straight from the caves (as the saying goes caveman) sasa hapo unapokuwa jamii gani ufanye nini ili iweje ??; That's where my point comes be yourself as of now getting a partner is no longer as hard as it used to be....; Unaweza kutumia faranga, unaweza kutumia your convincing skills au unaweza ukafanya mazoezi yote uongeze libido (but I might ask you how many partners do you need ?, na hata ukipata kumi au kila unapopita wanakufuata can you satisfy them all ?, Jibu ni hapana hivyo basi be yourself and find someone who accepts or is interested with whom you are na hata ukikosa in this day and age you wont miss someone to get laid if you want to....
Hivyo ktk Maisha jitahidi sana kusoma vitu mbalimbali ambavyo vitajenga TABIA yako.
Nasoma vitu always ila sisomi vitu sababu ni be it end all..., nasoma vitu kupata different point of views sababu najua kwamba people and circumstances are different, cultures are different and someone's meat is another ones poison.. Nikienda Japan huenda nikipata partner atakuwa anapiga mpaka magoti, ila kwangu mimi taona ananizingua.., wengine they perceive roughness with being macho, wengine wanakuona wewe una-belong kwenye dark ages..., Yes kwa kusoma kwangu nitajua how to act in Japan au Caribbean lakini haimaanishi nitasuka dreads na kuanza kuongea Patwa...
Mie Tabia zangu zimejengwa na Elimu niliyonayo na sio vinasaba nilivyo navyo.
Kuna mtu amesema tabia ni fully genetic ? Ingawa unaweza ukawa na tabia fulani sababu ya genes zako, mfano kama umbo lako ni dogo na umekuwa bullied na kudharauriwa tangia mdogo lazima utakuwa na defensive traits.., kwahio huenda maisha yakakufundisho kuliko kubishana na watu wapuuze tu (that's will be better kuliko kujaribu kuwa-convince kwamba your better, its not worth your time cause in the end they might not necessarily appreciate it
Mfn ukiwa mtu wa hasira kuna mafundisho yapo ya kubadiri huo mfumo uliopo ktk hisia zako.
Hasira ni negativity ambayo ni harmful kwako kuliko hata kwa mwingine.., na nadhani hizo ni ways za kuondoa hasira which might work for majority and not for all, best way is to find what will work for you na sio what worked for Abdallah; in the end what's works for me ni kupuuza some of the things and taking it easy.... while taking wisdom from these wise words..... serenity to accept the things I cannot change, the courage to change the things I can, and the wisdom to know the difference.
Sisi Binadam ni kama Machine zenye Hardware and Software. Software inakuwa updated mara kwa mara ili kufanikisha ufanisi wa hali ya juu kuliko ule wa Mwanzo.
What is change and what is better ? Ukishajua kwamba change is for the better or worse na definition ya better ni subjective basi huenda wewe unapotaka mtu aende sababu unadhani ni better kwake yeye kwake sio better na ni shida na akienda huko atakuwa ana-live a lie ili tu kufurahisha UMMA
 
Back
Top Bottom