Kwenye pikipiki aina ya TVS, tatizo la kutochaji battery linasababishwa na nini?

LUCAS MEMBE

New Member
Mar 25, 2018
1
1
Wakuu habarini naomba msaada kujua hivi pikipiki Tvs tatizo la kuocharge battery linasababishwa na nn na nn tiba yake mana nimenunua makolokolo meng
 
Wakuu habarini naomba msaada kujua hivi pikipiki Tvs tatizo la kuocharge battery linasababishwa na nn na nn tiba yake mana nimenunua makolokolo meng
kwenye tatizo la betri kuto kuchaji mambo ni mengi mfano

yawezekana terminal za battery zina corrosion, hii ni kufungua terminal kusafisha na tatizo linaisha

yawezekana betri yenyewe ndo shida

yawezekana ni diode imekufa lkn kama inawaka na taa inawasha basi diode sio ishu

yawezekana magneto ndo yenye shida, coil husika kwa umeme wa kuchajia betri inashindwa kufua umeme
 
Naomba kuuliza mimi pia ninayo tvs sasa shida ilikua usiku wakati wa kuendesha ukifika kwenye mtelemko taa haiwaki mpka uvute moto. Sasa nikaenda kwa fundi akabadili mfumo wa taa ili utumie moja kwa moja kwenye betry. Changamoto iliyopo sasa pikipiki wakati wa usiku ukiwa unaendesha inakua inazima.
 
Back
Top Bottom