Mackdymacswagz
Member
- Sep 10, 2019
- 17
- 15
Kwema ndugu zangu!!
Ninachangamoto imekuwa ikinipa mawazo Sana Kwani hii hali ilinitokea anzia mwaka jana ambapo nilikuwa mtu wa kuchoka mwili sana kwa kipindi kirefu kama miezi Kama 5 au 6 hivi, katika miezi Kama mi3 hivi nilipoanza kuchoka nilianza kuhisi labda Sina mazoezi mwilini ambapo ikanipelekea kuwa nafuatilia sana kwenye media mbali mbali, Google, YouTube, jamii forums jinsi ya kufanya mazoezi mwili uwe sawa nisihisi uchovu, ambapo baada ya kufuatilia kwa muda mrefu Mara kwa Mara nikaanza kuhisi mfadhaiko wa nafsi na wasiwasi juu ya kufanya mazoezi (overthinking) nikijiuliza maswali mengi i.e
Sasa nitafanya Hadi lini, nikiacha kufanya itakuwaje, mbn watu wengine hawafanyi mara kwa Mara, wasiyofanya wanaishije Kuna wakati baada ya muda mrefu Sana kusumbuka nikapima malaria nikakutwa nayo ivyo ilinibidi kutumia dozi Kama mbili ndio nikapona halafu ile Hali ya uchovu ikaisha kbs ila ile hali ya kimawazo ikawabado ipo, nikajiwekea labda baada ya miezi 2 au 3 nitakuwa sawa kabisa ila baada ya hio miezi
Hali ikawa imepungua kwa kiasi kikubwa tuu ila kuna wakati ilikuwa ikinijia io mawazo ya mazoezi na kuniumiza ( kunifadhaisha).
Sasa Kuna wakati nilipitia depression sana nikabidi kwenda kwa mganga baada ya mzee kuniforce sana kwenda cha ajabu ni kwamba baada ya kutoka pale yaani kufukizwa ndani ya shuka kwa mkaa na asali na mambo mengine ile hali ya kuwa na mfadhaiko juu ya mazoezi nikaona imeisha zaidi Sasa nikawa natafakari sana jee niuchawi nilikuwa nao au laa sbb mwanzoni nilibelieve ilikuwa psychological issue Sasa swali linakuja mbn baada ya kwa mganga ile hali imekata kwa kiasi kikubwa sana nikawa sifadhaiki.
Naombeni Sana kwa wenye idea anisaidie