Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,720
- 1,639
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Hahahaa anaitwa Juma Bhalo, alishafariki ni mmoja wa wasanii wakubwa wa kenyahuyo baba hapo ndio ww chief au ni Dj anatusaidia kutuwekea hizo nyimbo hapa?
Mkuu,,Mimi natafuta sana kibao cha Elimu ya Mjinga toka kwa Banza Stone.
Walioaga duniaNatafuta wimbo flani hvi wa huzuni huwa unaimbwa TBC kwenye kumbukumbu za walioga dunia
Nitumie wimbo wa Kasongo Polo menyo.Hakuna nyimbo nayoitafutaga nikaikosa hadi wimbo wa mussa ninao.
Ipo youtubeNatafuta wimbo wa dully sykes TAMIKA
Ngoja niutafute mkuuupo youtube
Ni msanii/mwimbaji kutoka wapi au nchi gani!?Nitumie wimbo wa Kasongo Polo menyo.