msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri

    Jaman mimi ni mwanafunzi wa SUA nimeandaa project plan ya ufugaji was nguruwe ila Sina mtaji naomba mwenye ushauri wa wadau wa maendeleo (stakeholders) ambao wanaweza kunisaidia kupata mtaji naombeni ushauri wenu tafadhali eneo tayari ninalo tatizo ni mtaji wa kununua chakula Cha hao nguruwe na...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Bakwata, tani 50 ya Tende zilizotolewa kama msaada na Saudi Arabia zimepelekwa wapi?

    Bakwata tende ziko wapi mlizopewa na ubalozi wa Saudia
  3. Mwanzo ni Mwisho

    JamiiForums Tanzania Naombeni kufahamishwa shule za serikali za boardig kwa primary

    Ndugu zangu kuna jambo limenishangaza au labda mimi ndiyo sijui, Nilikuwa natafuta goverment primary boarding schools za hapa nchini kwetu kwa kweli nimezurula sana kwenye mtandao lakini sijaambulia kitu Sasa ndugu naombeni msaada wenu kunijulisha kama kuna shule hizo za primary boarding...
  4. luangalila

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kisheria kuhusu changamoto hii niliyoipata katika kiwanja changu

    Habarini za Majukumu Wadau. Naomba msaada wenu wa ushauri kisheria kulingana na tatizo langu. Mimi nilinunua kiwanja cha makazi vilivyo kuwa vinauzwa na halmashauri X, sikukiendeleza kile kiwanja kwa muda wa miaka kadhaa. Baada ya kujipanga na kuwa tayari kukiendeleza kile kiwanja...
  5. Umuzukuru

    JamiiForums Tanzania Msaada wa App ya kurekodia video na clips kwenye simu

    Habari wadau wa Jf Wakuu nahitaji msaada wa Application ya kutumia kurekodia video na clips kwenye simu Nahitaji App ambayo kutakua na uwezekano wa kurekodi video ya dakika mbili ila ujazo wa mb uwe angalau mb10 kushuka chini Maana kwa kutumia video recorder ya simu aisee si mchezo video ya...
  6. BoomBoy

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye Namna ya kutuma fedha ghana

    Hello wakuu, Kama kuna Kiongozi ana namna ya kutuma fedha Ghana, na receiver akapokea kwa mobile money, naomba tujulishane
  7. Mesorphine

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya kuprint data zote kwenye drop down list kwenye excel 2013

    Habari ya uzima wakuu katika jukwaa la technolojia. Naomba mwenye ujuzi wa kwenye ms. excel anisaidie jinsi ya kuprint data zote kwenye “drop down menu” automatically kwa kutumia button moja. Au hata kwa kutumia VBA code azinisaidie then kuziset kwa kuedit sheet ya drop down list na cell...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania EWURA yatoa Msaada wa wa Mashuka 431 yenye thamani Mil 5 Vituo vya Afya

    MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji (EWURA), imetoa msaada wa mashuka 431 kwa Vituo vinne vya Afya katika Jiji la Dodoma, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma. EWURA imeona itoe msaada huo kama kurudisha mchango wake kwa jamii kwenye sekta ya afya. “Mashuka...
  9. Superfly

    JamiiForums Tanzania Hivi utaratibu wa kumpatia mteja/ kutumia sticker za TRA ukoje?

    Habari za muda huu wakuu, I hope mko poa. Niende moja kwa moja kwenye mada. Hivi utaratibu wa kumpatia mteja/ kutumia sticker za TRA ukoje? Yaani mfanyabiashara anatakiwa kuwa na vigezo gani ili bidhaa yake iwekwe sticker ya TRA?
  10. Ugumu wangu

    JamiiForums Tanzania Kutoka Singida hadi Dar es Salaam kwa matumaini ya kupata msaada wa elimu

    Member wa JamiiForums wote nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo aliekufa msalabani kwa ajili ya uovu wangu. Leo nimependa kushare kidogo kuhusu historia ya maisha yangu inaweza kuwa funzo kwa mwingine pia. Mara baada ya kumaliza darasa la Saba katika shule moja ya msingi mkoa wa Singida dc...
  11. MKONGORO

    JamiiForums Tanzania Msaada Whatsapp yangu inajituma link kwenye Magroup

    Wakuu habarini za majukumu, Juzi nimebadilisha simu nika install WhatsApp upya Basi kila nikiifungua inajituma /kujipost link kwenye magroup yangu yote ya whatsap niliyo jiunga nayo. Hata nikiifungua kuchat na mtu link hiyo hujituma kwanza hali hii imenifanya nionekane kama tapeli...
  12. Kifaru86

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu anaoa lakini bado anategemea nyumbani asaidiwe?

    Tofauti na zamani ila ndoa nyingi zinazofugwa miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia vijana wengi wanaoa unakuta bado anategemea nyumbani asaidiwe. Kuna wengine anaoa yeye na mkewe anaishi nae nyumbani kwao na hapo unakuta kila kitu anategemea nyumbani familia imuhudumie yeye na mkewe. Ni kwanini...
  13. Ferdinand Junior

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kuagiza bidhaa kutoka Ebay

    Natumai wazima wana JF. Naomben msaada nan mwenye uzoef wa kuagiza bidhaa kwenye kampun ya Ebay.. Inakuwa vp taratibu zake had kunifikia hyo bidhaa.
  14. donlucchese

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa namna ya kuwadhibiti mende

    Straight to the point. When we were growing up, tulizoea kuona Yale ma mende makubwa makubwa flani ambayo in those times we thought they were originated from the lavatories. Ila kwa sasa kuna hivi vi periplaneta americana vidogovidogo hivi vinasumbua balaa. Ukichek chini ya sofa au sehemu...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Wakuu, ninahitaji msaada wa kitabibu hasa daktari wa watoto

    Habari za asubuhi wadau wa Afya, natumaini mko salama. Niende straight kwenye mada. Mwanangu wa kike anaumri wa miezi mi4, sasa takribani mwezi na wiki2 zilizopita alitokewa na vipele kama vi4 chini ya kwapa kuelekea mgongoni. Vipele hivyo ni kama vimevujia damu na chaajabu havimuumi ila kama...
  16. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

    Nimekaa nikafikilia maisha yamenipiga, kazi niliyokuwa nayo haikidhi kabisa mahitaji yangu ya kila siku, nina mke, nina mtoto, ninao ndugu wanao nitegemea, baba, mama na wadogo zangu mbaya zaidi mimi ndie kaka mkubwa wa familia, najiona kabisa nimeanguka, najiona napoteza uelekeo kila kukicha...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye namba za wachambuzi wa muziki naomba msaada

    Habari wakuu, Nilikuwa na namba za wachambuzi wa muziki Kama Rajab Zomboko, Chacha Maginga lakini bahati mbaya nimefanya reset ya Simu sizioni Tena. Naomba mwenye namba hizo na za wachambuzi wengine naomba anitumie hapa au PM au kwenye 0776655978
  18. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Computer yangu inakula sana bundle

    Nipo na computer yangu inatumia window 10. Tatizo kuu ni hili swala la bundle consumption. Inanyonya sana kiasi kwamba ndani ya dakika 3 nikiiacha moderm On nakuta nimetumia mbs zaidi ya 30..Kwa makadirio ya haraka ni zaidi ya mbs 10 kwa dakika. Nimejaribu kucheki kwenye setting pamoja na...
  19. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ndoto anazoota huyu jamaa na mpenzi wake

    Nimekuwa na Jamaa ya ambaye tumeishi wote toka shule ya Msingi , mpaka sekondari. Kwanzia kidato cha tano ndipo mtengano ulipotokea baina yetu kwa kuwa tulipangwa shule tofauti , lakini uswahiba wetu upo hata asa. Tuseme kiubinadamu , kila mtu anakuwa na Yule Rafiki yake ambaye Amejawa Utayari...
  20. Hussein J Mahenga

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msaada mwenye prospectus ya Open University softy copy, au kama Hard copy anipigie picha programs zote za Social Sciences

    Habarini wadau, Naombeni Msaada kulingana na nilivyoeleza hapo juu. Mwenye nayo anitumie kwa email; unclekaso@gmail.com au WhatsApp Na. 0739947397 Nimejaribu kuitafuta kwenye website ya chuo haifunguki. Ahsanteni
Back
Top Bottom