Naombeni kufahamishwa shule za serikali za boardig kwa primary

torvic

JF-Expert Member
Mar 9, 2016
3,475
7,835
Ndugu zangu kuna jambo limenishangaza au labda mimi ndiyo sijui,

Nilikuwa natafuta goverment primary boarding schools za hapa nchini kwetu kwa kweli nimezurula sana kwenye mtandao lakini sijaambulia kitu

Sasa ndugu naombeni msaada wenu kunijulisha kama kuna shule hizo za primary boarding schools (goverment) na kama zipo naomba tuzitaje hapa
 
Nazijua mbili za Mission na Government wamefanya collaboration, zipo Iringa.

Yaani shule inaendeshwa kigovernment lakini mission insendesha miundombinu.

1. Ya kiume (boys) inaitwa Lupalama Primary School (Home Boys).

2. Ya wasichana (mixture) inaitwa Lyalamo Primary School.

Mkoa Iringa, Wilaya Iringa Vijijini, Kata Kalenga, Kijiji Tosamaganga.

PS: Hizo shule zipo karibu na Shule ya Secondary kongwe Tosamaganga Secondary School.
 
shukrani mkuu kwa mchango wako
 
Back
Top Bottom