Mwenye namba za wachambuzi wa muziki naomba msaada

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,332
1,009
Habari wakuu,

Nilikuwa na namba za wachambuzi wa muziki Kama Rajab Zomboko, Chacha Maginga lakini bahati mbaya nimefanya reset ya Simu sizioni Tena.

Naomba mwenye namba hizo na za wachambuzi wengine naomba anitumie hapa au PM au kwenye 0776655978
 
Oya mkuu hata humu tupo Mimi naweza nikuchambulie old skool za 70's, 80's, 90's

Iwe rythm, rock, havy metal, soul, RnB, artenative, disco funk, Afro beat, Africana, world no

Karibu Sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom