Msaada: Computer yangu inakula sana bundle

Fohadi

JF-Expert Member
Jul 24, 2020
633
1,000
Nipo na computer yangu inatumia window 10. Tatizo kuu ni hili swala la bundle consumption. Inanyonya sana kiasi kwamba ndani ya dakika 3 nikiiacha moderm On nakuta nimetumia mbs zaidi ya 30..Kwa makadirio ya haraka ni zaidi ya mbs 10 kwa dakika.

Nimejaribu kucheki kwenye setting pamoja na kuzima metered connection lakini bado tatizo linaendelea..sina utaalamu sana wa mambo haya ndio maana nimekuja kwenu wakuu muweze kunipa mwongozo..

Currently najikuta natumia almost 1 GB kwa siku bila kudownload kitu chochote wala kucheki videos. Msaada tafadhali.​
 

Jasmoni Tegga

JF-Expert Member
Oct 28, 2020
4,684
2,000
1. Stop background apps, na pengine kuna updates huwa zinafanyika ndani kwa ndani
2. Check if hujaseti autodownload
3. Probably hacked?
4. Some people wanafungua program nyingiii kwa wakati mmoja.
5. Your search engines can be the source of trouble
 

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
32,925
2,000
Fohadi pia unatakiwa ujitoe kwenye windows insider program.Nenda kwenye internet browser yako kisha type kwenye google engine "signin in window insider program" kisha ikishafunguka sign in kisha utaona option ya kujitoa katika window insider program ambayo ndiyo huwa inaupdate window kila saa na kula bando.
 

Umkonto

JF-Expert Member
Dec 27, 2018
517
1,000
Ngoja na mimi nijaribu. Nenda settings, weka "never" kwenye "update automatically"
 

racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
1,045
2,000
Hizo ni windows update. Hujawahi update laptop yako ndio maana. Solution ya haraka kufanya hyo connection kuwa metered. Uki connect modem fungua ile icon ya wifi/Ethernet pale chini then bonyeza connection ya modem yako na uchague Properties. Itakapo kupeleka washa Metered Connection. Hapo basi haitwa download update zozote tena mpka uchague mwenyewe
 

kizaizai

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,046
2,000
Ilikuwa huru. Weka GB 10 iache PC ifanye inachotaka, baadae utakuwa huru kabisa. Nilikuwa na hilo tatizo nikaamua kufanya hivyo, sasa naweza acha moderm on hata saa zima bila hofu. Update kwangu nimeziweka kuwa automatic.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom