Mkuu inafanyaje Kazi hii??World remit ndio option yako ya kwanza.
Ya Pili ni Xoom ya PayPal
Ya 3 ni TransferWise
Hello wakuu,
Kama kuna Kiongozi ana namna ya kutuma fedha Ghana, na receiver akapokea kwa mobile money, naomba tujulishane
TransferWise ndio rahisi kwa Tz maana ipo supported. Unatengeneza acc then unatakiwa kuverify identify kwa kutuma National ID na picha yako. Baada ya hapo wataverify wao na watakuambia.Mkuu inafanyaje Kazi hii??
Nope mkuu, nlikuw natoa refund kwa customer. first time experience ndo maana ilinchanganya kidogo. Nlikuw nimezoea kupokea, sa hiyo ya kurudsha ndo ilikuw ngumu.Naona kuna harufu ya mtu kwenda kupigwa na NIGERIAN hapa kama sijakosea ila soon ataleta mrejesho.
Hawa Transferwise (kwasasa wanajulikana kama Wise) ninawalaani, mwezi mzima wananisumbua tu ela haionekani ilipo na hawafuatilii.World remit ndio option yako ya kwanza.
Ya Pili ni Xoom ya PayPal
Ya 3 ni TransferWise