msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Unawezaje Kuhama chuo kikuu fulani kwenda kingine baada semester?

    Habarini za muda Wana jamvii Kama kichwaa Cha habari kinavo jieleza hapo juu. Nilikua nahitaji msaada wa mtu anawezaje Kuhama chuo kikuu Fulani kwenda Fulani baada ya semester moja au baada ya kumaliza mwaka wa kwanza wakatii anaenda ya pili afanye transfer. Kama iko naombeni msaada maana SuA...
  2. He Is Him

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu movie ya TENET

    WAKUU MPO POA Leo nilikuwa na watch movie inaitwa TENET. Kusema la ukweli hii movie sijaielewa. Ningependa kwa mkuu aliyebahatika kuiangalia just anipe hata kasummary kidogo kuhusu hii movie.
  3. Kumar Singh

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata ribbon za typewriter

    Habari zenu wakuu. Naomba kujua sehemu gani hapa Dar es salaam naweza kupata ribbon za kwenye typewriter maana nimezunguka katika stationary kadhaa sijapata hizi vitu.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kukosa msaada katika balozi zetu tukutane hapa

    Sijafahamu Kwa wengine ikiwa hupata haki Kweli kunapotokea shida za kiajira/kikazi katika nchi za kigeni, lakini hii imekuwa ni kinyume kabisa Kwa balozi zetu zilizoko Abdhabi, Mwaka 2016, Mzee mmoja Kwa majina yake akiitwa Kwa Jina, naliweka (Kapuni) ni Mtanzania, alibahatika kupata Kazi...
  5. hp4510

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kutumia gari yenye usajili wa Zanzibar, Tanzania Bara?

    Wandugu, Nina gari Zanzibar, nataka kuja nalo bara, na niweze kulitumia kwa miezi michache. Swali langu: je, ni process gani zinatakiwa kufuatwa? Kama kuna mtu yeyote amewahi kupata changamoto kama hii naomba aniambie alitatuaje.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Radio Sony genezi mhc-gtr55 inasoma "please wait" au "reading" tu nikiweka flash drive. Nini tatizo wakuu?

    Habari wakuu, Radio hii Sony genezi mhc-gtr55 tangu ikiwa mpya inasoma flash ikiamua tu. Labda kuna masharti nakosea. Naweza weka flash mara hii ikasoma fasta na kucheza nyimbo. Naweza weka baadae ikawa inasoma "please wait" au "reading" kwa muda mrefu hata siku nzima. Tatizo laweza kuwa nini...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nini nifanye ili niweze kutatua tatizo la gari yangu aina ya Toyota Corolla Fielder

    Habarini wapendwa kwema!!! Nina gari yangu aina ya Toyota corolla fielder shida kubwa kila nikiiwasha inawaka halafu inazimika nikirudia tena bado inazimika, ila ukiiwasha halafu ukaikanyangia moto hata kwa dk 3 mpk 5 ikishapata moto engine ndo inawaka. Nimeshaipeleka kwa fundi lkn bado shida...
  8. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Mbinu ambazo wafanyakazi wanatumia kuibia waajiri wao

    Nchi yetu inasifika kwa kuwa na waajiri wasiowaaminifu. Hili mimi mwenyewe nimejionea. Sasa basi, ili kusaidia kukomesha hili tupeane mbinu ambazo wafanyakazi wanatumia kuibia waajiri wao. Weka kazi yoyote, uhasibu, ualimu, mabaa medi, fundi ujenzi, udereva nk. Wizi sio lazima pesa, weka wezi...
  9. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Tanzania - India Relations: Hakuna msaada wowote tunaweza kuwapa rafiki zetu wa India? Hata kama ni salamu za pole pekee zinatosha sana

    Mambo vp jamiiforums. Mama yetu Liberata Mulamula, hakuna msaada wowote tunaweza kuwapa rafiki zetu wa India? Hata kama ni salamu za pole pekee (bila kutuma pesa) zinatosha sana. ========== ========== Juhudi za kimataifa zinaendelea katika kujaribu kuisaidia India wakati nchi hiyo inakabiliwa...
  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada: Nachelewa kupata hisia katika mambo mbalimbali

    Kabisa nahisi nerves system zangu zina shida. Either ni kuna uzembe flani unakuwepo au kuna hitilafu. 1. Nilianza tu kama kitu kidogo nachelewa kusikia maumivu yaani naweza kanyaga mwiba then nikatembea baada ya dk kadhaa mbele ndo nasiki maumivu kama nimekanyaga kitu kikali. Wakati nlikanyaga...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Msaada, nataka ku-supply matunda kwa kiwanda cha Bakhresa

    Wakuu habari zenu, Kichwa cha habari kinavyosomeka, Ninaomba yeyote mwenye kujua ni namna gani tender za ku-supply matunda kwenye kiwanda cha kusindika matunda cha bakhresa zinavyopatikana kuna fursa ya mapera mengi sana hapa nilipo, nikaona naweza kuexploit hii kitu ikawa fedha. Msaada tafadhali
  12. Fall Army Worm

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kumsaidia Kisheria mtu anayekaribia kubambikiwa Kesi?

    Habari za usiku ndugu zanguni? Naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Naomba mnisaidie wataalamu wa sheria, hivi ni Mbinu gani Unaweza kuitumia ili kumnusuru ndugu yako ikiwa umebaini kuwa kuna dalili za OC-CID kutaka kumbambikizia kesi? Yaani amekamata mtuhumiwa kwa kosa la kununua mali ya...
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada, mahusiano yasiyoeleweka

    Habari wakuu soma Kwa makini kisha unisaidie mawazo Mimi ni kijana wa miaka 25 ni HIV+ ninamalizia elimu yangu chuo fulani kikubwa hapa nchini Nimekua na mahusiano na mdada mmoja ambae amemaliza chuo last year ambaye na yeye ni HIV+ lakini mahusiano yetu yamekua yanachangamoto sana kutokana na...
  14. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Msaada, nimeandika kazi lakini haionekani

    Habari wakuu. Natumia app ya writer plus kuandika kazi zangu. Sasa kuna kazi nimeandika haionekani lakini inasoma kama ipo vile. Ili kuwa jazi ya maneno 5,000. Na characters kama 35000. Inasoma charachers lakini haionekani. Nikiifungua kwenye microsoft wird inatoa vibox . Inaonekana kama picha...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Msaada please. Nitapata wapi mayai ya bata ya kutotolesha?

    Waheshimiwa sana salaam. Mimi ni mkaazi wa Dar es Salaam na hivi karibuni nimepata interest ya kufuga bata na kwa kweli nimeamua kuanza ufugaji wa bata wa kienyeji (bata maji) ila ninapenda kununua mayai bora yanayoweza kutotolewa kwa mashine na niyatotoleshe mwenyewe kisha nikuze vifaranga...
  16. moudytz

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu tv za solar wakuu

    Msaada wakuu nilikuwa natumia tv hizi za Mobisol badae ikawa inanisumbua nikaiuza. Naomba kujuzwa ni tv ya kampuni gani za solar ambay ni nzuri kwa uangavu wa picha na uimara wake pia na bei pleasee.
  17. Lee

    JamiiForums Tanzania Msaada: Half engine Nissan Hardbody

    Wakuu nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Nina uhitaji wa half Engine ya Nissan hardbody QD 32, mwenye nayo au maelekezo wapi pa kuipata kiurahisi itakuwa msaada kwangu muhimu iwe jiji mwetu humu la joto. Asanteni.
  18. daktarii

    JamiiForums Tanzania Ng'ombe wangu hawashiki mimba

    Habari ! Ngombe wangu wana tatizo. Kwanza walikua wanamimba wote wawili, then zlivyofika miezi minne - mitano zikatoka wote. Baada ya hapo wamekua wakiingia joto lakini kila nikiwapandisha hawashiki mimba wote na ndama wao wameshakua wakubwa wanakaribia mwaka, still ng'ombe bado wanakamuliwa...
  19. the numb 1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu wa mbali ni bora zaidi kuliko ndugu wa karibu

    Kwanin siku zote ndugu wa karibu wanakuwaga wanafk sana na ndugu wa mbali anakuwa bora na ujio wake lazima ufurahie ila ndugu wa karibu akikutembelea unahisi anakuja kukuchora tu!!!! Na asilimia kubwa ukiishi na ndugu wakaribu lazima maneno ya kinafki yanatokea sana japo sio wote ila asilimia...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu michango yangu ya PPF

    Wanabodi habari ya majukumu? Nakuja kwenu kuomba ufafanuzi kwa mwenye kuelewa utaratibu wa Jambo hili. Mimi ni mwàjira katika sekta binafsi. Kabla ya serikali kuunganisha mifuko ya hifadhi ya jamii nilikuwa mwanachama wa PPF. Baada ya kuunganishwa kwa mifuko tukaelezwa sisi wafanyakazi wa...
Back
Top Bottom