Msaada kuhusu kuagiza bidhaa kutoka Ebay

Jan 27, 2021
31
21
Natumai wazima wana JF.

Naomben msaada nan mwenye uzoef wa kuagiza bidhaa kwenye kampun ya Ebay.. Inakuwa vp taratibu zake had kunifikia hyo bidhaa.
 
boss habari.
mizigo toka AliExpress saivi inafika ama bado chenga ni nyingi?
Inafika

Muda wa kufika inategemea njia ya usafirishaji iliyotumia

Hapa chini: Nilitumia: AliExpress Standard Shipping
1624117455939.png

Order time: May-25,2021 06:43
Delivered: June-15,2021 14:55

Ndani ya siku 10
1624117249419.png
 
Ndio, ni nafuu sana.

Mfano kwa item ndogo kabisa kwa dhl waweza takiwa ulipie $44, ila kwa aliexpress standard shipping utajikuta umelipa kiasi cha $6.
Ahsante
Samahani lakini, hiyo Standard shipping ndo mzigo unachukulia posta au? Halafu nasikia posta hizi parcel ndogondogo kama simu huibiwa sana sijui ni kweli au la, na kama ni kweli mzigo ukiibiwa posta bila kukufikia wewe unaweza kuomba urudishiwe pesa yako? Nisaidie hilo swali mkuu, nataka niondoe hofu juu ya Ali Express na mimi ninunue simu moja hivi karibuni
Pia Aliexpress au ebay, unashauri ipi hapo
 
Back
Top Bottom