msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ndoto anazoota huyu jamaa na mpenzi wake

    Nimekuwa na Jamaa ya ambaye tumeishi wote toka shule ya Msingi , mpaka sekondari. Kwanzia kidato cha tano ndipo mtengano ulipotokea baina yetu kwa kuwa tulipangwa shule tofauti , lakini uswahiba wetu upo hata asa. Tuseme kiubinadamu , kila mtu anakuwa na Yule Rafiki yake ambaye Amejawa Utayari...
  2. Hussein J Mahenga

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msaada mwenye prospectus ya Open University softy copy, au kama Hard copy anipigie picha programs zote za Social Sciences

    Habarini wadau, Naombeni Msaada kulingana na nilivyoeleza hapo juu. Mwenye nayo anitumie kwa email; unclekaso@gmail.com au WhatsApp Na. 0739947397 Nimejaribu kuitafuta kwenye website ya chuo haifunguki. Ahsanteni
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujua sehemu wanapouza kuku wa kisasa wa mayai Jijini Dodoma

    Wadau habarini, Msaada kwa mtu anaeishi jijini Dodoma na anajishughulisha na uuzaji wa kuku wa kisasa wa mayai wanaotaga mwezi kwa mwezi ,kama yupo tuwasiliane tafadhali nahitaji hio bidhaa.
  4. Shin Lim

    JamiiForums Tanzania Msaada: Desktop haioneshi chochote kwenye monitor nikiwasha, baada ya muda feni inazunguka sana

    Habari waungwana! Kuna muda nilikuwa nafanya kazi then umeme ukakatika. Baada ya umeme kurudi nilipojaribu kuwasha, monitor ikawa haioneshi chochote. Baada ya ya karibu dakika moja hivi, feni ikaanza kuzunguka kwa kasi sana. Hilo tatizo lilijirudia kila nilipojaribu kuwasha. Je, tatizo ni nini...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Sielewi kwanini mtu aliyechakachua msaada wa serikali na kujimilikisha enzi za Kikwete, akaondolewa leo anateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa

    Hivi sisi waswahili tuna tatizo gani lakini? kwa nini tunaona kwamba kuna watu fulani wanastahili kupewa fursa za uongozi hata wafanye madhambi ya ajabu kiasi gani? Ina maana hapa nchini suala la uongozi kuna watu wanaostahili na wengine wasiostahili? Mtu anafanya makosa makubwa katika nafasi...
  6. Mhaya wa Arsenal

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ninaomba mkopo na Cheti cha mzazi wangu hakijawa "authorized" na RITA

    Okay
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu ametoka likizo ya uzazi, na amerudi kazini lakini boss wake anamlazimisha kufanya kazi full time

    Habari wadau? Kwa wabobezi wa sheria especially maeneo ya kazi. Mke wangu ametoka likizo ya uzazi, na amerudi kazini, lakini boss wake anamforce kufanya kazi full time na muda mwingine anatoka saa 5 usiku. Hili limekaaje?
  8. Simeone

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Jinsi ya kuweka football livescores katika blog

    Habari zenu wakuu, je nitumie njia gani kuweka football livescores katika blog yangu tofauti na kutumia iframe? Msaada Pls!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya chuo vilivyo chini ya NACTE kwa mwenye cheti cha form 4 na form 6

    Tafadhali nisaidie : Mhitimu ambaye ana cheti cha kidato cha nne Div 1 pt12 ya pure science na cha sita Div 3 (PCB-EED) akiomba kujiunga na vyuo vilivyo chini ya NACTE say Clinical Medicine course watamchagua kwa kigezo kipi? Kuna addaed advantage ya form six over form 4?
  10. e2themiza

    JamiiForums Tanzania Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

    Pata kujua jinsi watu wanavyounlock modem unakaribishwa kwa maswali na utasaidiwa. BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU JAMBO HILI --- --- === UFAFANUZI WA JUMLA WA NAMNA YA KUFANYA JAMBO HILI A. Jinsi ya kuunlock modem ya E303s-1 Kwa njia hii utaweza kuunlock modem zote za...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri maeneo yapi mkoa wa Dar es Salaam naweza pata chumba kizuri masters kwa bei poa?

    Naombeni mnisaidie ni maeneo yepi ktk mkoa wa Dar naweza pata chumba kizuri cha masters kwa bei nzuri ya kizalendo or n maeneo yepi dsm unaweza mshauri mtu akapange chumba na kuanza maisha.
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania IMF: Tanzania lazima iweke wazi takwimu za COVID-19 ili ipate msaada wa dharura

    Tanzania inahitaji kuweka wazi data ya ueneaji kwa Covid-19 kabla ya kupata idhini ya mkopo wa dharura wa Dola 574 milioni kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa. Maamuzi hayo yanatokana hali ya kutojulikana kwa takwimu halisi za ugonjwa huo tangu Serikali ilipoacha kuziweka wazi Mei mwaka 2020...
  13. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya hii ndoto inayonitesa

    Hapo vip!! Jamani kwa huzuni kubwa sana..naomba niwaeleze ndoto inayonitesa mara kwa mara...ila naamini Mungu(Jehova)ananipigania kila siku. Nimekuwa nikiota ndoto ya kushangaza na imekuwa ikijirudia mara kwa mara ni takriba miaka mitano au zaidi. Ipo hivi najikuta kama natoa uzi kwenye meno...
  14. oxlade

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuactivate iphone 4s isome mtandaob(line)

    Msaada jamani kuna simu tajwa hapo juu Iphone 4s nkiweka line za kibongo inahitaji kuactivate ili isome, nkiactivate kwa kutumia WIFI mwisjoni inasema SIM NOT SUPPORTED. Nifanyaje ili line ziweze kusoma? Nimejaribu line zote inasema hivyo. Miaka ya nyuma nliitumia hii simu line zilikuwa fresh tu
  15. Rwaz

    JamiiForums Tanzania Msaada: Cadet zisizo chupa

    Kwa gentlemen wa Dar, napata wap cadet za pamba hazikubana chini? Walau chini iwe 21" naona kizazi kipya kinatutoa sokon tusiopenda fashion za chupa na mlegezo
  16. FatherOfAllSnipers

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kwenda kufanya kazi Ulaya

    Wakuu naombeni mwenye uwezo au conection ya kunipeleka ulaya anisaidie niepukana na haya maisha ya kifukara. Mara mia nikawe fukara huku duniani kuliko kuwa fukara hapa nyumbani. Mimi kazi yoyote ile nafanya, isipokuwa kuolewa. Sihitaji ushauli wa kujiajiri sababu sina mtaji. Hapa tu niko...
  17. FatherOfAllSnipers

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kibarua cha 4,000 kwa siku

    Wakuu nahitaji mwenye kazi anisaidie! Naishi Dar. Malipo walau iwe 4,000 Au zaidi kwa siku. Elimu nilifeli form 4.
  18. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada dawa za eye drop kama hizi nazipata wapi?

    Nahitaji moja ya dawa zifuatazo au moja wapo: 1. Oclumed eye drop 2. Can-c eye drop Msaada maana nimetafuta sana nimekosa.
  19. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Nikiacha Pikipiki kwa muda mrefu bila kuiwasha itapata shida?

    Habari zenu wanajamvi. Nina pikipiki yangu aina ya SANLG huwa naitumia tu katika mizunguko yangu ya hapa na pale ila sasa nina dharula nitakaa nje ya hapa home kama mwezi na wiki mbili hivi. Najiulza nikiipaki ndani haiwezi kuharibika kwa sababu ya kutoendeshwa muda mrefu? Naombeni elimu juu...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Ushauri kuhusu Programs za Kuomba chuo kwa wanafunzi wa kidato cha sita waliosoma masomo ya sanaa

    Kama mada inavyojieleza hapo juu, kwa tunaosubiria matokeo ya kidato Cha sita tunaomba mliopita/mliopo & mnaofahamu juu ya kozi mbalimbali vyuoni mtupatie ushauri kwamba kwa watu wenye division Fulani wasithubutu kuziomba Bali waombe kozi Fulani (mfano tunasikia kwamba sheria UDSM na Mzumbe ni...
Back
Top Bottom