Bakwata, tani 50 ya Tende zilizotolewa kama msaada na Saudi Arabia zimepelekwa wapi?

drilling

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
4,658
4,747
Bakwata tende ziko wapi mlizopewa na ubalozi wa Saudia

IMG_4291.JPG
 
Tende zibarikiewe kuliko zabibu,parachichi au embe dodo..kweli wewe ni bure wa hed..sasa mudi jangwani angekula nini zaidi ya vumbi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Huku unaponda na kule unapongeza.
Mudy jangwani kala tende kwa kudra ya ALLAH, tende tunda lililo barikiwa kuliko matunda yote mti wake unastawi jangwani kuliko mparachichi, muembe na mzabibu
 
Hivi hawa waarabu wanawachukuliaje watanzania, msaada wa tende unamuondolea vp umaskini mtanzania wa kawaida any way mleta mada hii keshi kwa mh rahisi naona umemuonea kwa maana ana mambo makubwa sana ya kitaifa embu jipangeni muende kwa mufti mkuu
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom