msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bechede

    JamiiForums Tanzania Msaada, hii movie inaitwaje?

    Kwema wakuu? Nisiwachoshe, niende kwenye kiini cha uzi. Hii movie ina nadharia ya comedy, nilipata kuiona katika moja ya channel DSTV. Lakini sikubahatika kuimalizia mpaka mwisho. Inaanza watu wanaenda kwenye house party, sasa kuna vijana nafikiri wawili (sina uhakika), wanawahi kufika kwenye...
  2. Kifaru TANZANIAN

    JamiiForums Tanzania Naomba namba ya mwalimu wa alpha secondary Morogoro

    Naomba namba ya mwalimu wa alpha secondary Morogoro kwa anayezijua NATAKA NIKAJIUNGE NA ADVANCED hapo. Asante
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wafugaji wa nyuki naomba msaada

    Wakuu nina swali kuhusu utengenezaji wa mizinga ya nyuki. Mzinga in lazima utengenezwe kwa mbao au unaweza kutengenezwa pia kwa material nyingine kama plastic?
  4. AKILI TATU

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuweka blog banner ambayo ni responsive

    Wanabodi habari, naomba kufahamishwa namna ya kuset blog ads banner katika mfumo wa responsive maana Kila nikiweka kwenye simu muonekano wake unakuwa mbaya ..ni code Gani nafaa kuweka..!? Pia naomba msaada wa kujua namna ya kuset slide ads banner kwenye blog...yani natengeneza vipi haya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa solidty programing na blockchain naomba msaada

    Salamu wakuu, Nina tokens (ERC20 token) kwenye wallet ya Metamask na zinaonyesha thamani ya wastani wa $8 kwa token lakini kwenye etherscan inaonyesha $0. Kuna namna ya kutengeneza Dapp ambayo itaunganishwa (integrate) na Metamask na kuweza kuzitumia hizi tokens for online payments?
  6. Reginald L. Ishala

    JamiiForums Tanzania Msaada kupata software za hacking, Coding, na Antivirus

    Habari za hapa na pale wana jamvi! Naombeni mnisaidie links za kupata software za hacking, Coding, na Antivirus. Kama ikiwezekana na keys zake pia mnisaidie. Nitashukuru sana wakuu wangu.
  7. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Msaada kunitajia movie ambazo sitakiwi kuangalia na watoto

    nilizoea kuishi mwenyewe..ila kwa sasa kuna watoto flan nitakuwa nao..so kwa vile mm ni mdau wa movie sana muda wote...naomba majina ya movie ambazo sitakiwi kuweka kwenye folder/flashdisk au dvd ,zile ambazo zina kwich kwich sana...maana hawa watoto wataharibika bure..
  8. Syston

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Rufani Mahakama Kuu

    Habari wapendwa, Naomba kuuliza mtu akikata rufaa kesi inasikilizwa upya au wanatumia maelezo ya hukumu ya mwanzo. Pia naomba kujua mamlaka ya mahakama ya wilaya inao uwezo kuhukumu kifungo cha juu miaka mingapi.
  9. pandagichiza

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kutuma sms kutoka excel

    Kama kichwa cha habari kinavyosomeka Nataka kutuma sms kwa watu wengi kila mtu na sms yake Nimeshatengeneza excel file yenye collum Jina|Phone number|SMS Ujumbe upo tayari tatizo ni jinsi kutuma kwenye hizo phone number
  10. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri kuhusu masomo ya baishara

    Habari zenu ndugu. Ninaye kijana wangu ambaye anaelekea kuhitimu masomo ya sekondary na amekuwa akichukua masomo ya biashara kulingana na uwezo wake... japo kama mzazi nilipenda achukua masomo ya Sayansi ila yeye akapenda biashara kwa hiyo nikamsupport. Sasa kwa mliopitia masomo ya biashara...
  11. Barackachess

    JamiiForums Tanzania Msaada wa keypads za HP Spectre 360

    Habari, Naombeni msaada wa wapi naweza kupata keypads za HP SPECTRE kama mnavyoona kwenye picha hapa chini, kama kuna mtu unazo naomba tuwasiliane tufanye biashara, Namba yangu ni 0687855558. Hp spectre 360 Touch cpu 2.5ghz ram 8gb ssd 256gb core i5 silver
  12. BONGE LA BWANA

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye kujua program nzuri ambayo ni free inayotumika kufanya screen recording

    Habari wanajamvi, nilikuwa naomba mwenye kujua program nzuri ambayo ni free inayotumika kufanya screen recording. Nyingi nilizokutana nazo ni za kulipia ila ukitumia free unarecord mwisho dakika tano tu. Kama za bure unazijua unaweza ukanipa hata link ili nidownload au ukinitajia hata jina sio...
  13. emmarki

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kupima/kujua uzito wa nguruwe bila kutumia mizani

    nguruwe akiwa bandani kutambua uzito wake ni shughuli kwa sababu hakuna mizani za kuweza kumpima akiwa hai kwa sababu ni msumbufu. Naomba kufahamu ni mbinu zipi za kutumia kujua au kupima uzito wa mnyama huyu nguruwe, ili nikimnunua nijue baada ya kutoa utumbo na kichwa angalau nitabaki na kilo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mpangilio wa lishe kwa asiyependa kula

    Wandugu nna rafiki yangu kaniomba msaada wa kumuandalia menyu ya wiki nzima kwasababu hapendi kula. Naomba msaada tafadhali
  15. I

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Mkopo wa dharula Tsh 150,000/=

    Solved
  16. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa dawa ya jino ninapata maumivu Makali

    Linatikiska kwa Mbali na Daktari kasema haling'oleki.
  17. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Msaada: Makadirio ya tofali na gharama kwa ujumla

    Kwa ramani hiyo wakuu, inaweza gharimu tsh ngapi mpaka naingia?
  18. Darucha

    JamiiForums Tanzania Napatwa na kizunguzungu naona chumba kinazunguka kwa kasi pindi ninavyolala au kuamka kwa haraka

    Kuna Hali imenikuta ambayo nashindwa kuelewa ni ugonjwa gani au kama kuna mtu amewahi kukutana na aina hii ya ugonjwa aniambie. Yaani napigwa na kizunguzungu naona chumba kinazunguka kwa Kasi pindi ninavyolala na ninavyoamka haraka sometimes nataka nianguke kabisa. Kama mtu anaweza kunishauri...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye kujua asili ya Jina Rambau

    Wakuu naomba kuuliza kwa mwenye ufahamu wa asili ya jina Rambau. Watu wenye majina Rambau wanatoka mkoa gani hapa Tanzania na ni kabila gani ? Shukrani.
  20. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Msaada: "Rice Cooker vs Slow Cooker" ni kitu Kimoja?

    Wakuu mambo vipi? Nina likizo ya week 3 kazini. Nitakua ghetto muda wote huo. Sa nitakua napika pika maana kununua gharama sana. Sasa nimekutana na kitu kinaitwa Slow Cooker, je ndio hiyo hiyo Rice Cooker au vitu tofauti? Kwa kifupi nataka dude litakaloweza kupika nyama, wali, mbogamboga etc...
Back
Top Bottom