Msaada wa App ya kurekodia video na clips kwenye simu

Umuzukuru

JF-Expert Member
May 30, 2019
609
540
Habari wadau wa Jf

Wakuu nahitaji msaada wa Application ya kutumia kurekodia video na clips kwenye simu

Nahitaji App ambayo kutakua na uwezekano wa kurekodi video ya dakika mbili ila ujazo wa mb uwe angalau mb10 kushuka chini

Maana kwa kutumia video recorder ya simu aisee si mchezo video ya sekunde kadhaa unakuta ina ujazo wa mb hata arobaini kitu ambacho ni kikwazo hasa ninapotaka kuapload mtandaoni

Nawasilisha
 
Punguza resolution ya video kwenye settings. Hiyo ndio njia ya kupunguza size.
 
Iyo uchukuaji wa picha inategemea na ukubwa wa simu yenyewe ivyo hata upunguze shida itabaki pale pale
 
Habari wadau wa Jf

Wakuu nahitaji msaada wa Application ya kutumia kurekodia video na clips kwenye simu

Nahitaji App ambayo kutakua na uwezekano wa kurekodi video ya dakika mbili ila ujazo wa mb uwe angalau mb10 kushuka chini

Maana kwa kutumia video recorder ya simu aisee si mchezo video ya sekunde kadhaa unakuta ina ujazo wa mb hata arobaini kitu ambacho ni kikwazo hasa ninapotaka kuapload mtandaoni

Nawasilisha
Tafuta codecs za kisasa kama x265 zinapunguza size ya video sana, na kama ulivyoambiwa juu resolution.

Nimetest kwangu sekunde 30 zenye bitrate 100 kwa 640x480 kwa hevc (hio x265) na fps nimeshusha hadi 15 imekuja kama mb 2, so possible kupata video ya dk 2 chini ya mb 10 kwa hizi codecs za kisasa.

App hii hapa
 
Shukurani mkuu
 
Back
Top Bottom