msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Acehood

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu laptop yangu (DELL) imegomea hapo toka juzi

  2. HISTAMINE

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata mawasiliano ya msanii Juma Kassim 'Nature'

    Kama kichwa kinavyojieleza, naomba mni-pm mawasiliano ya J. Nature kwaajili ya shida binafsi. Zaidi ya yote ni moja ya wasanii wakongwe ninao wakubali sana.
  3. Charles Gerald

    JamiiForums Tanzania Msaada wa generator nzuri kwa umwagiliaji bustani

    Habari jf; Nina mpango wa kununua genereta. Ninaomba ushauri wa generator nzuri kwa ajili ya umwagiliaji bustanini (nyanya).
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu naweza kusoma Shahada ya Sayansi ya Computer

    Habari zenu ndungu zangu.. Kuna uwezekano wa mtu aliyemaliza form 6 PCM mwaka huu ( division III.14 ) akachukua degree ya computer science. Physics-E Chemistry-E Advanced mathematics-D
  5. 2

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata control number kwenye kujisajili loans board (helsb) 2021/22

    Ndugu zangu mwenye kujua anisaidie maana mimi najaribu ila sipati control number kwaajili ya kufanya malipo, tangu asubuhi mpaka usiku huu.
  6. Mr HQ

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa mawazo ndugu zangu.

    Kati ya hizo course hapo ni ipi course ambayo ina wigo mkubwa wa ajira.🙏🙏🙏 Naombeni ushauri wenu kwa mwenye ujuzi 🙏
  7. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hatuhitaji tena ziara zako za barabarani, hazina msaada wowote kwetu

    Kwanza kabisa napenda kukupa pole na majukumu ya kitaifa. Vile vile tunakuombea wewe na Serikali yetu katika utekelezaji mwema wa majukumu ya nchi ili kuinua uchumi. Mweshmiwa Rais katika muda mchache huu umeonuesha matumaini ya watanzania kupata maisha bora, Ajira na uchumi kuinuka tena...
  8. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Msaada mafundi naflash infinix hot 9 play x680 inagoma

    Wakuu habari zenu, Nimeletewa INFINIX hot 9 play x680 tatizo Ni frp Nimejaribu kuflash kwa Sp flash tool ujumbe unaokuja ni huu kwenye picha hivyo naomba MSAADA wenu tutagawana hii pesa ya bando.
  9. raoka kubanda

    JamiiForums Tanzania Naomba kusaidiwa kwa anayejua tovuti inayotumika kwenye maombi ya ualimu

    Naomba kusaidiwa kwa anayejua tovuti inayotumika kwenye maombi ya ualimu tafadhali.
  10. mjusilizard

    JamiiForums Tanzania Angalia hapa viwango vipya vya mishahara ya wafanyakazi wa serikalini

    TGOS A TGOS A 1. (Sh240,000), TGOS A 2. (Sh245,600), TGOS A 3. (Sh251,200), TGOS A 4. (Sh256,800), TGOS A 5. (Sh262,400), TGOS A 6. (Sh268,000), TGOS A 7.(Sh272,000), TGOS A 8(Sh279,000), TGOS A 9.(Sh284,800), TGOS A 10(Sh290,400), TGOS A 11(Sh296,000), TGOS A 12(Sh301,600), TGOS A 13(Sh...
  11. King David133

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwenye ajira portal

    Nimejaribu kujisajili kwenye ajira portal. Kuna kipengele kimeniletea shida nimeshidwa kuelewa nifanye vipi. Kipengele cha academic qualifications. Msaada wenu tafadhali🙌🙏🏻
  12. MWAMUNU

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tafsiri ya ndoto hii

    Heshima kwenu wakubwa zangu, na madogo hamjambo. Niende moja kwa moja kwenye hoja. Asubuhi hii saa 12 nimeota ndoto ambayo inaninyima raha sana, . Katika ndoto hiyo nimeota nimesingiziwa nimeiba box 9 za karatasi nyeupe yaani rim paper na kufungwa miaka miwili jela Nikiwa jela napata taarifa...
  13. denis fourplux

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

    Habari zenu wana JF, samahani sana kwa usumbufu kama vile tujuavyo misemo ya wahenga kuwa mficha uchi hazai. Since mwezi wa nne nasumbuliwa na hili tatizo nimetumia dawa nyingi sana ant fungus kama zote za tube mpaka za kopo ila bado tatizo linanisumbua. Ninawashwa sana mwilini na vijipele...
  14. Lavit

    JamiiForums Tanzania Msaada: Utaratibu wa kwenda nchi jirani na gari binafsi ukoje?

    Wakuu habari, Naomba kujua utaratibu au nyaraka unazotakiwa kuwa nazo ikiwa utasafiri na gari binafsi kwenda nchi nyingine, mathalani Kenya.
  15. Woga tupa kulee

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu hataki kusuka wala kununuliwa nguo nzuri

    Wakuu habari. Nimeoa na nina mwaka na nusu wa ndoa sasa. Nina tatizo ambalo ninahitaji ushauri kwa wazoefu. Binafsi napenda mwanamke anayependeza na kujijali, na napenda awe mke wangu ili nisilazimike kutoka huko nje kuchepuka. Sasa nina mke wangu hapendi kusuka, yaani kichwani yupo rough...
  16. Amaizing Mimi

    JamiiForums Tanzania Msaada bei za simu Kariakoo

    Hope mpo poa.naomba kujua bei ya simu zifuatazo kwe bei ya jumla kwa dar(kariakoo):tecno 528,tecno 351,tecno 313,tecno 301,tecno 372,tecno 474,tecno 454,itel 2160,itel 2173 na bontel l 600.
  17. Almalik mokiwa

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Geography naomba msaada

    Walimu wa Geography naomba points hata 4 za swali hili. It is argued that, population growth in developing countries has become the big problem. verify the statement by giving eight points.
  18. The Spirit of Tanzania

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kisheria kuhusu suala hili la makato ya mkopo

    edited
  19. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wanaojua size ya nguo kwa zile alama za kirumi mfano..xl,xxl nk

    Rejea kichwa Hapo juu.., Samahani wakuu me Nina tatizo dogo,nashindwa kutambua hizo ALAMA katika nguo maana binafsi zinanichanganya.juzi Kati nilienda kufanya k shopping kidogo,nikachagua package ya boxer moja Sasa bila kudadisi nikanunua na kuondoka,kufika home kesho yake nilipotaka nivae kiLa...
  20. Bechede

    JamiiForums Tanzania Msaada, hii movie inaitwaje?

    Kwema wakuu? Nisiwachoshe, niende kwenye kiini cha uzi. Hii movie ina nadharia ya comedy, nilipata kuiona katika moja ya channel DSTV. Lakini sikubahatika kuimalizia mpaka mwisho. Inaanza watu wanaenda kwenye house party, sasa kuna vijana nafikiri wawili (sina uhakika), wanawahi kufika kwenye...
Back
Top Bottom