kufufuka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Hivi Lazaro aliyefufuliwa na Yesu, alitoa ushuhuda gani kuhusu kuzimu baada ya kufufuka?

    Mimi sio msomaji mzuri wa Bibilia, ila nimesikia habari ya Lazoro kufa na baadae kufufuliwa na Yesu wakati Yesu bado yuko hapa duniani na tena tunaambiwa alikuwa anatoa harufu. Swali ni je, Lazaro alihadithia nini kuhusu kifio au hakusema chochote? Kwa mfano, wakati anakata roho, nini hasa...
  2. Webabu

    Sokolov baada ya kufufuka asema hakuna kilichotokea

    Kama ilivyowahi kusemwa kuwa mafanikio ya kivita ya Ukraine kati yake na Urusi kuwa namba zake huenda hazipigwi kwa base ten kwani daima huwa ni makubwa mno kuliko uhalisia unaonekana. Wiki iliyopita Ukraine ilitangaza kupiga makao makuu ya jeshi la majini la Urusi kwenye bandari ya Sevastopot...
  3. Waterbender

    KIGOMA:marehu adaiwa kufufuka

    Mkazi mmoja wa kigoma alie zikwa miezi tisa nyuma kwa ajali ya gari aoneka kijiji jirani siku ya jana, wanainchi walio mzika waenda kuchimba kaburi hilo la marehemu na kukuta mabaki ya mifupa na kuipeleka kwa mkemia mkuu kwa vipimo ya DNA kujua kwamba alie zikwa na alie hai ni mtu mmoja au...
  4. Mathanzua

    Watanzania tulio wengi tunampenda Hayati Rais Magufuli, hamtafanikiwa kubadilisha ukweli huo kamwe!

    Niliposikia kwa mara ya kwanza kwamba hii Sinema ya Royal Tour (ambayo Rais wetu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ni Main Actor and Tour Guide) ina assert kwamba kifo cha Hayati John Pombe Magufuli kimesababishwa na Covid, nilistuka na sikuamini masikio yangu!Kwa maoni yangu hii inam-compromise...
  5. DreezyD98

    Mtu adaiwa kufufuka nchini Msumbiji

    Kijana mmoja kaskazini mwa Msumbiji ambaye alidhaniwa kuwa amefariki dunia na ambaye mazishi yake yalifanyika mwezi Novemba ametokea kijijini kwao Lindi. Jumuiya inamtaja Eurélia Manuel Benjamim kama mtu aliyefufuka kutoka kwa wafu, lakini anasema alikuwa ameenda tu kufanya kazi katika shamba...
  6. Mwande na Mndewa

    Mwaka 2008,Katibu Mkuu akiwa Daktari Wilbroad Slaa,Chadema ilifufuka baada ya kutokea kashfa ya "Richmond" na kuendesha "Operation Sangara"

    NIWAKUMBUSHE KUFUFUKA KWA CHADEMA MWAKA 2008. Leo 11:02am 19/03/2022 Mwaka 2008,Katibu Mkuu akiwa Daktari Wilbroad Slaa,Chadema ilifufuka baada ya kutokea kashfa ya "Richmond" na kuendesha "Operation Sangara" nchi nzima, mikutano yao ilivutia watu wengi kwa hoja zao motomoto za kashfa ya...
  7. mama D

    Kufufuka kwa wafu - Ni maajabu yanayoendelea kwa kasi nchini huku wanahabari/jamii wakizipa nafasi ndogo kama habari zinazohitaji uchunguzi wa kina

    Habari za watu kufa na kuzikwa na baadae kupatikana wakiwa hai ni za kushangaza mnooo. Yaani mtu amekufa kwa kuugua au ajali au ghafla tuu, hospitalini wanahakikisha amekufa na wanatoa cheti cha kifo na mwili mnakadhiwa, mnaenda kuzika na viongozi wa serikali za mtaa, viongozi wa dini na...
  8. Idugunde

    Ndugai amejiuzulu, CHADEMA mtafufuka kisiasa?

    Naona mmekenua meno na vijinopembe huku mkisahau kuwa kisiasa mna hali mbaya sana. Maana pamoja na kutembeza mabakuli ya kidigital lakini hamkupata sapoti Mbali na hilo wananchi hawana imani na nyie ya kisiasa tena maana hata mkiitisha mkutano hawajitokezi kabisa.
  9. lwambof07

    Hivi ni kweli kuna maisha baada ya kifo?

    Habari wanazengo, Leo ningependa kufahamu au kujua kile unachoamini wewe kama wewe tulivyoumbwa kila mmoja amepewa utashi ukiwa na lengo la kupambanua mambo, tuachane kwanza na hizi imani ambazo tunazoamini au kuaminishwa. Hivi ulishawahi kujiuliza baada ya kufa nini kinaendelea, kuna maisha...
Back
Top Bottom