KIGOMA:marehu adaiwa kufufuka

Waterbender

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
6,828
8,685
Mkazi mmoja wa kigoma alie zikwa miezi tisa nyuma kwa ajali ya gari aoneka kijiji jirani siku ya jana, wanainchi walio mzika waenda kuchimba kaburi hilo la marehemu na kukuta mabaki ya mifupa na kuipeleka kwa mkemia mkuu kwa vipimo ya DNA kujua kwamba alie zikwa na alie hai ni mtu mmoja au tofauti, muhanga akishuuhudia kaburi lake kujiona alivyo zikwa kama ni kwel, pia muhanga akapelekwa kanisani kwa ajili ya maombi.

source: azam tv
 
"muhanga akishuuhudia kaburi lake kujiona alivyo zikwa kama ni kwel"

Yuko wapi mhanga tumuone akishuhudia?
 
Back
Top Bottom